“KUTONGOZA” - Kukubaliwa AMA Kukataliwa…. What gives??

tatizo girlfriend wake ana wivu mpaka basi,yaani hata kumpiga huwa aanampiga.
Actualy kilichoniponza ni kuwa naive,on reflection nilikuja kugundua kuwa kuna namna walikuwa wanatazamana,kuna namna walikuwa wanagusana,ningekuwa sharp ningegundua longtime.Siku hizi lesbian couple hata wawe mita mia nitawajua tu.
Back to your question ali win bana mi nikapigwa chini jumla,its life wala sina manung'uniko maana mkuki kwa nguruwe hata mimi wanawake kibao nimepiga kisha nikawamwaga.

Khaa!! We B' mbona hio analogy ya wewe kuwapiga na kuwabwaga haiendani na yalokutokea... Umetumia vigezo gani?? lol
 
Valid umenikumbusha jamaa mmoja anasema haata ukiwa na gari yenye plate namba za DFP au STK mwanamke hajali ili mradi ni gari...lol!!

wenye DFP na STK huwa wanachukua wake za watu, anamweka kama kampa lifti anamfungulia feni(sio a/c).
Kwisha kazi.
Lakini ni kwa wake ambao ni jobless,std 7 ndo wengi, form 4 wa div 0 pia wamo.
Wake wa za watu ambao wako classic wao ndo wenyeviti wa saccos mtaani hapa.
 
Mambo ya kutongoza ni ya Ulaya ,huku wanawake wananjaa tu mtu hata week haijaisha ashaanza eti Luku imeishana yuko kwa wazazi ,hata mimi na wazazi na haya mambo wala haina haja kupanic mtu anatögozwa akizingua anatongozwa mwingine mpaka apatikane mwema !
 
Mi nadhani mambo yamekuwa vice versa sana miaka hii...Kwa upande wangu wasichana wengi mi ndio wanan'tongoza!!Halafu mie naletaga pozi balaa, yaani they are so cheap!!
Ngoja n'kusimulie!! Siku moja nilikuwa nasafiri kwa meli nikitoka mtwara kwenda dar, kulikuwa na kibint flani (mgeni alifikia kwa jirani yetu) naye alisafiri siku hiyokwa meli, tukawa pamoja!! Basi ile nit yule binti uvumilivu ukamshinda, akaniapproach!!
Kwenye mastory kwa kuwa nilikuwa simfahamu vizuri, nilimuuliza niambie tukio ambalo hutaweza kulisahau kwenye maisha yako, akaniambia alishawahi kubakwa Moshi huko, na akanipa full mkanda ulivyokuwa. Mi nikabushit.

IN GENERAL NI KWAMBA MABINTI WENGI SIKU HIZI HUTUMII NGUVU KUWA NAO.
 
Asha kumbuka mkono mtupu haulambwi

hahahaha.... Kwa hiyo kama huna kitu... huna mtu??

Mi kigezo changu kikubwa ni wowowo tu siangalii sura wala rangi mimi fulushi tu.
Sasa nikibembeleza nikakataliwa huwa naingia gharama ya kukodi au kuazima usafiri najua wadada wanashoboka na usafiri ndani full Mufindi aaah salale hapo natangaza ushindi mapema naua tembo kiubua ni sawa na kumdondosha mlevi kwa kumpuliza.

Nakumbuka Fidel....lol.... Nakumbuka kabisa nini chakuchanganya siwezi sahau.... Umenifurahisha leo umedhihirisha ni to what extent.... mpaka kukodi?? Mie ndo hua nasema kua kwa jiji kama Dar, haitakiwi binti azuzuke kua anaemtongoza ana Usafiri hata kama wa nguvu - maana majority ya vijana wa Dar kazi yao ni kuazima magari kuendea kwa wanawake.... Na hivi wadada twapenda kutembea huku tumekaa.....
 
wenye DFP na STK huwa wanachukua wake za watu, anamweka kama kampa lifti anamfungulia feni(sio a/c).
Kwisha kazi.
Lakini ni kwa wake ambao ni jobless,std 7 ndo wengi, form 4 wa div 0 pia wamo.
Wake wa za watu ambao wako classic wao ndo wenyeviti wa saccos mtaani hapa.

Jamaa wanakula sio jobless tu hata watumishi na wafanyakazi
Yupo na mV8 anasimama kituoni anachagua mke mzuri mzuri anamwita anampa lift huku na huku anachukua mawasiliano akitoa tu amekwisha
 
hahahaha.... Kwa hiyo kama huna kitu... huna mtu??

Nakumbuka Fidel....lol.... Nakumbuka kabisa nini chakuchanganya siwezi sahau.... Umenifurahisha leo umedhihirisha ni to what extent.... mpaka kukodi?? Mie ndo hua nasema kua kwa jiji kama Dar, haitakiwi binti azuzuke kua anaemtongoza ana Usafiri hata kama wa nguvu - maana majority ya vijana wa Dar kazi yao ni kuazima magari kuendea kwa wanawake.... Na hivi wadada twapenda kutembea huku tumekaa.....

Inshort anajidhihirisha kuwa yeye ni MR. Hit & Run
 
Mie nakubaliana na unalo ongea... ila najua kua hivo vigezo lipo kwa a certain type of group or should i say ladies... Hao ladies wa kimjini mjini ambao wameweka maslahi mbele, na hata wewe mtongozaji hujua kabisa na kwa wazi kua usipokua na kitu huyo mtu humpati. Hio sasa ni desparation na naona sio nzuri kua utampata mtu sababu ya material things... I can however vouch for personality.... which can also say loads kugusu mtu at first glance...
Kwenye personality hapo tuko wote hilo halina haja hata ya kuliezea, but what i can tell you there's a trend which has already shifted from those ladies wa kimjini mjini...imevuka mpaka kwa watu ambao unaona kabisa huyu target yake ni kitu gani fulani anaponitongoza/anapotongozwa, what do i want tukubaliane tu ingawa when it comes to percentage hatuwezi kusema ni kiasi gani lakini kwa kiasi kikubwa sasa hivi the more money you have the more attraction you will get tena bila ya wewe kuhitaji kutongozwa badala yake wewe ndio utakuwa unatongozwa
 
Hahahaha haya dada ashadii,wajitaidi kukikataa kivuli chako.

Gari=lifti=misele

Fenicha=heshima kubwa kwa mwanamke zaid ya gari
=kigezo cha nyodo kwa wanawake wenzake
=tambo kwa wenzake.

Kama huamini jus fanya uchunguz kwa marafik wanaokuzunguka then jion uje na jibu.

Sikatai kivuli changu bana.... Mie hapo nimeona hujatumia haki... kweli nipo serious......

Mtazamo wako umenifurahisha kweli.... inafanya wanawake sometime tuonekana strange creatures... yaani fenicha ni ya boyfriend lakini nyodo awe nazo yeye... Nimekupata what you mean.. kwamba if a guy kaweza jidhatiti vizuri ina maana ataonekana kama vile afaa saana na nimtafutaji.... Lakini labda nikuulize; waweza mlaumu mwanamke kwa hili??
 
Khaa!! We B' mbona hio analogy ya wewe kuwapiga na kuwabwaga haiendani na yalokutokea... Umetumia vigezo gani?? lol

paragraph nzima umeona hicho tu,wanawake bana,najua hakuna kitu mnachukia kama hicho kulambwa na kutupiliwa mbali,lakini hayo si mambo ya kawaida mjini? Na kinamama siku hizi si ndo zenu,mnatutumia weeeeee tunawanunulia magari,tunawajengea,wadogo zenu tunawapelekea ulaya and then.....only kuanza kutukatia simu au kibaya zaidi tunawafumania na visakapoko ,kumbe hela yangu unavihonga vidampa,lol! Mi huwa nachoka kabisa na mambo haya.
 
Sikatai kivuli changu bana.... Mie hapo nimeona hujatumia haki... kweli nipo serious......

Mtazamo wako umenifurahisha kweli.... inafanya wanawake sometime tuonekana strange creatures... yaani fenicha ni ya boyfriend lakini nyodo awe nazo yeye... Nimekupata what you mean.. kwamba if a guy kaweza jidhatiti vizuri ina maana ataonekana kama vile afaa saana na nimtafutaji.... Lakini labda nikuulize; waweza mlaumu mwanamke kwa hili??

Mimi siwezi mlaumu.ila hapa tunazungumzia attracting tactics. Ndo mana nikataja icho kigezo.
Kimewatafuna wengi sana.
 
Jamani tuende mbele turudi nyuma.... Nyie guys mna vigezo hua mnatumia kuamua umfuate a lady or not... Kuna ubaya gani wa sisi kuweka pia vigezo.... Sasa uonekane ni mzembe huna mbele wala nyuma na binti ajicommit?? Kweli kabisa msilalame....

mwaka juzi mdogo angu alikuwa anaolewa, maza akamwambia, "mchumba wako ana nyumba,gari,kazi, mradi wa biashara?
Jibu ni alikuwa na kiwanja cha kujenga, na kazi tu.
Wakati huo jamaa alikuwa kweli tukisema msimamo wa maisha, alikuwa hana, kwanza anatumia gari la mdogo angu kama lake, kapigika mbaya.
Mungu MKUBWA.Jamaa alipata kazi ingine nzuri last year,sasa kafungua biashara mbili ameenga nyumba nzuri tu. Akanunua gari nzuri prado model mpyA.
Msimamo alikuwa HANA. Lakini with time mbona ulikuja.
Mkisema mnaangalia vigezo, MTAPOTEA. maisha YANABADILIKA.
 
Back
Top Bottom