Kutolewa kafara kwa Mwandishi Daud Mwangosi, mpango ulikuwa Chadema ifutwe!

Hivi nyie CDM do you think serikali inawaogopa? inawaogopa kwa lipi? Mnakitu gani cha kuogopwa? acheni ujinga tumieni akili. CDM ni kama debe tupu. Serikali inawatazama tu maana hamna chochote. Ni debe tupu hahaha kwi kwi kwi.
 
07-minister.jpg

Msemaji wa aliyekuwa rais wa Iraq enzi hizo A. Sahaf!.
attachment.php
 
tena lilikuwa bomu la moto, walilenga kulilipua katika haraiki, walitaka waseme ni chama cha kigaidi.
 
Kuuliwa alijitakia mwenyewe, unakwendaje kmvaa mkubwa wa polisi wakati umeambiwa sambaratika.

Nasema hivi kwanini aandike mwandishi na asiandike mwana chadema, au lina impact na sympathy zaidi na ndiyo maana akachombezwa akafanye alichofanya? maana Slaa alikuwa anajuwa watakaidi, ushahidi ni ujumbe aliomtumia Mwema. Kama alijuwa watakaidi asijuwe na hao wakaidi waliowachombeza huko?

Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Kwa hili la chaddema kuamrisha watu wavunje amani ili nchii isitawalike, hata wafanye nini, Watanzania walio wengi wanaelewa kinachiendelea na wala huu upuuzi hautoijenga chadema kama chama cha walio wengi.

Huyo alikuwa huko kwa kazi za chadema na alikuwa mmoja ya wailochombezwa na Slaa kufanya fujo.
Unataka kutuaminisha kuwa yule Afande aliyejuruiwa kwenye tukio la kifo cha D. Mwangosi naye ni MwanaChadema?
 
Hi ndio dalili ya serikali inayoanguka popote duniani inavyofanya,huwa inatoa visingizio vya uongo tu.ikumbukwe kwamba police ccm ilikwisha sema kwamba Mwangosi kauliwa na wana CDM lakini picha zimewaimbua imagine kama sio hizo picha mambo yangekuaje? Kumbuka mauaji ya Morogoro wamesema ilikuwa kitu chenye ncha kali kweli Watanzani tunadanganyika kipumbazu namna hii? THIS should be the last and no more other Mwangosi.
R.I.P BROTHER
 
Kwenye suala la Mwangosi (RIP) nitapata amani pale tu RPC Kamuhanda atakapoburuzwa mahakamani kwa kesi ya mauaji.
 
Siku ya kufa NYANI miti yote huteleza. IF YOU CAN'T TEACH the CHEAT them, that is what our (Woman Police) tried to teach us.
 
Ukiendelea kutafakari swala la mauaji ya Nyololo utagundua vitu vingi sana.
1. Askari waliitwa kwenda Nyololo, hilo halikuwa eneo la lindo la kwenda kila siku. La, ilikuwa ni operation! Askari waliitwa, wakapewa silaha za aina mbalimbali kama mabomu, risasi za moto, mabomu ya machozi, ngao, magari, nk
2. Wakapewa maelekezo, wewe utasimama hapa, wewe utapiga silaha hii, nk
3. Mkuu wa operation wa kwanza alikuwa ni RCO na wala sio RPC! RCO aliruhusu CDM kuendelea na mkutano wao wa ndani. Ilikuwa ni baada ya RPC kuja ndipo alipotoa amri ya kuusambaratisha mkutano wa ndani.
4. Hata baada ya vipigo kwa Mwangosi (RIP), OCS wa Mafinga aliwazuia polisi wenzie kuendelea kumpiga Marehemu lakini hawakutii amri ile. Kumbuka kwamba huyu ni bosi wao, kwa nini hawakumtii??? Labda kwa sababu hajui mpango mzima wa mauaji maana yeye anatokea Mafinga!!
5. Hata baada ya tukio, Askari waliendelea kuwasaka waandishi wa habari waliokuwapo pale, na mpaka leo wanamsaka Francis Godwin na Godfrey Mushi. Francis Godwin ameshahamisha familia yake huko Iringa. Kwanini wanawasaka hivyo?? Wanaamini kwamba wanaushahidi wote unaotosha kabisa kuwapeleka The Hague kwa uvunjifu wa haki za binadamu walioufanya.
6. Ukifuatilia matamshi ya viongozi wa Serikali akiwemo IGP haitahitaji degree kutafanya conclusion kwamba it was a planned death. What makes difference is sasa muuaji anajulikana wazi kabisa kitu ambacho wao hawakukitaka kabisa!
 
Tuanze kwa kujikumbusha huyu msemaji wa Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Mama Advera Senso alivyosema kuhusu kifo cha Mwandishi, Daud Mwangosi;

  1. Mwandishi alikuwa akikimbia kutoka upande wananchi na kuelekea walipokuwa Polisi.
  2. Marehemu inasemekana alipigwa na kitu ambacho mpaka sasa hakijafahamika bado mpaka uchunguzi ufanyike.
  3. Kuna kitu kilirushwa kikitokea upande wa Wananchi na kumfikia ambacho kilimjeruhi pia Askari akiwamo Mkuu wa kituo cha Polisi.
  4. Jeshi la polisi limewakamata 32 waliokuwa wakienda Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi.

Mpaka sasa najiuliza...hivi hali ingekuwaje kama picha zinazoonesha jinsi tukio zima lilivyotokea hazingekuwepo, lakini sipati jibu. Lililo wazi kabisa ni kwamba Chadema ingejikuta katika hali ngumu kweli kweli kwa sababu ingehusishwa moja kwa moja na kifo cha mwandishi Daud Mwangosi. DW, BBC, Aljazeera na vyombo vingine vya habari vya nje habari kuu ingekuwa Tanzania, kisiwa cha amani, yakabiliwa na hatari ya machafuko kutokana na kitendo cha chama cha vurugu...Chadema kumuua mwandishi wa habari.

Mpango ulisukwa ukasukukika na kuna watu wanalaani kwa nini haukufanikiwa kama ulivyopangwa na mbinu bado zinatafutwa za kuwajumuisha viongozi wa Chadema na kifo hiki. Lakini Mungu mkubwa...safari hii akasema imetosha, watu wangu wameteseka vya kutosha mikononi mwa hawa waovu! Watanzania tumepewa ishara na ndio sababu kubwa wasimamizi wakuu wa mpango huu hawawezi kutoa tamko lolote hadi sasa kwani giza nene limetanda mbele ya macho yao, wamepigwa butwaa na midomo imewakauka.

Sasa wameachiwa mavuvuzela kama Tendwa, Nape, Tambwe Hiza, Yusuf Halimoja, na vikaragosi vingine tunavyovishuhudia humu jamvini wakiongozwa na zomba, Ritz na wengineo. Lakini safari hii wamegonga mwamba na hawana pa kutokea, laana inawaandama kama kivuli na muda si mrefu wataanza kuumbuana kwani damu ya Daud Mwangosi haitowaacha wapate usingizi. Msemaji wa Polisi, ASP Advero Senso kaa chonjo, matamko unayoyatoa ni sawa na ya aliyekuwa msemaji wa Sadam Hussein, Tarik Aziz!
wa sababu mwangosi ni binaadamu ambaye kwa namna yeyote hakupaswa kufa kama vile,na kwa sababu mama huyu ni binaadamu basi na tumuombe mungu siku moja amfikishie mmoja kati ya wanae janga kubwa kama la mwangosi au zaidi ya lile ili auamshe uchungu wa huyu mama na siku ingine akumbuke kuchunga mdomo wake pale mabaya yatakapomfika binaadamu mwenzie.eeee mungu mjaalie majanga baba ili siku nyingine ajifunze kutoa haki na kuihubiri.japo mimi ni mpagani.
 
Zomba please you above this..Kwa hiyo akiwa mwanaChadema ndio inaswihi auawe?..Polisi wana jukumu la kumlinda nani kama sii mwananchi au Chadema hawa sii wananchi maana tuwe tunajiuliza maswali magumu japokuwa tuna mapenzi yetu badala ya kuwa kama wale waarabu wanaoua hata waandishi wa habari kwa sababu ni Wazungu na ni maadui zao..
kwa uwezo wa mungu ninaweza kufa kabla ya zomba lakini akifa kabla yangu nitafurahi sana nimemvumilia maneno yake ya kikatili siku nyingi leo naweka nukta hapa.
 
Tuanze kwa kujikumbusha huyu msemaji wa Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Mama Advera Senso alivyosema kuhusu kifo cha Mwandishi, Daud Mwangosi;

  1. Mwandishi alikuwa akikimbia kutoka upande wananchi na kuelekea walipokuwa Polisi.
  2. Marehemu inasemekana alipigwa na kitu ambacho mpaka sasa hakijafahamika bado mpaka uchunguzi ufanyike.
  3. Kuna kitu kilirushwa kikitokea upande wa Wananchi na kumfikia ambacho kilimjeruhi pia Askari akiwamo Mkuu wa kituo cha Polisi.
  4. Jeshi la polisi limewakamata 32 waliokuwa wakienda Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi.

Mpaka sasa najiuliza...hivi hali ingekuwaje kama picha zinazoonesha jinsi tukio zima lilivyotokea hazingekuwepo, lakini sipati jibu. Lililo wazi kabisa ni kwamba Chadema ingejikuta katika hali ngumu kweli kweli kwa sababu ingehusishwa moja kwa moja na kifo cha mwandishi Daud Mwangosi. DW, BBC, Aljazeera na vyombo vingine vya habari vya nje habari kuu ingekuwa Tanzania, kisiwa cha amani, yakabiliwa na hatari ya machafuko kutokana na kitendo cha chama cha vurugu...Chadema kumuua mwandishi wa habari.

Mpango ulisukwa ukasukukika na kuna watu wanalaani kwa nini haukufanikiwa kama ulivyopangwa na mbinu bado zinatafutwa za kuwajumuisha viongozi wa Chadema na kifo hiki. Lakini Mungu mkubwa...safari hii akasema imetosha, watu wangu wameteseka vya kutosha mikononi mwa hawa waovu! Watanzania tumepewa ishara na ndio sababu kubwa wasimamizi wakuu wa mpango huu hawawezi kutoa tamko lolote hadi sasa kwani giza nene limetanda mbele ya macho yao, wamepigwa butwaa na midomo imewakauka.

Sasa wameachiwa mavuvuzela kama Tendwa, Nape, Tambwe Hiza, Yusuf Halimoja, na vikaragosi vingine tunavyovishuhudia humu jamvini wakiongozwa na zomba, Ritz na wengineo. Lakini safari hii wamegonga mwamba na hawana pa kutokea, laana inawaandama kama kivuli na muda si mrefu wataanza kuumbuana kwani damu ya Daud Mwangosi haitowaacha wapate usingizi. Msemaji wa Polisi, ASP Advero Senso kaa chonjo, matamko unayoyatoa ni sawa na ya aliyekuwa msemaji wa Sadam Hussein, Tarik Aziz!

Hapa ujue kuwa hii mijamaa imekosa maadili, Walifanya kwa DR Ulimboka wakijua israel anabeba mtu wake, lakini Israel mwenyewe hata hamu na ulimbuka hakuwa nayo akatoka akijua kila kitu...Wameumbuka hapo pia...Mwacheni Mungu aitwe Mungu
 
Tuanze kwa kujikumbusha huyu msemaji wa Polisi, Mrakibu Msaidizi wa Polisi Mama Advera Senso alivyosema kuhusu kifo cha Mwandishi, Daud Mwangosi;

  1. Mwandishi alikuwa akikimbia kutoka upande wananchi na kuelekea walipokuwa Polisi.
  2. Marehemu inasemekana alipigwa na kitu ambacho mpaka sasa hakijafahamika bado mpaka uchunguzi ufanyike.
  3. Kuna kitu kilirushwa kikitokea upande wa Wananchi na kumfikia ambacho kilimjeruhi pia Askari akiwamo Mkuu wa kituo cha Polisi.
  4. Jeshi la polisi limewakamata 32 waliokuwa wakienda Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi.

Mpaka sasa najiuliza...hivi hali ingekuwaje kama picha zinazoonesha jinsi tukio zima lilivyotokea hazingekuwepo, lakini sipati jibu. Lililo wazi kabisa ni kwamba Chadema ingejikuta katika hali ngumu kweli kweli kwa sababu ingehusishwa moja kwa moja na kifo cha mwandishi Daud Mwangosi. DW, BBC, Aljazeera na vyombo vingine vya habari vya nje habari kuu ingekuwa Tanzania, kisiwa cha amani, yakabiliwa na hatari ya machafuko kutokana na kitendo cha chama cha vurugu...Chadema kumuua mwandishi wa habari.

Mpango ulisukwa ukasukukika na kuna watu wanalaani kwa nini haukufanikiwa kama ulivyopangwa na mbinu bado zinatafutwa za kuwajumuisha viongozi wa Chadema na kifo hiki. Lakini Mungu mkubwa...safari hii akasema imetosha, watu wangu wameteseka vya kutosha mikononi mwa hawa waovu! Watanzania tumepewa ishara na ndio sababu kubwa wasimamizi wakuu wa mpango huu hawawezi kutoa tamko lolote hadi sasa kwani giza nene limetanda mbele ya macho yao, wamepigwa butwaa na midomo imewakauka.

Sasa wameachiwa mavuvuzela kama Tendwa, Nape, Tambwe Hiza, Yusuf Halimoja, na vikaragosi vingine tunavyovishuhudia humu jamvini wakiongozwa na zomba, Ritz na wengineo. Lakini safari hii wamegonga mwamba na hawana pa kutokea, laana inawaandama kama kivuli na muda si mrefu wataanza kuumbuana kwani damu ya Daud Mwangosi haitowaacha wapate usingizi. Msemaji wa Polisi, ASP Advero Senso kaa chonjo, matamko unayoyatoa ni sawa na ya aliyekuwa msemaji wa Sadam Hussein, Tarik Aziz!

Hapa ujue kuwa hii mijamaa imekosa maadili, Walifanya kwa DR Ulimboka wakijua israel anabeba mtu wake, lakini Israel mwenyewe hata hamu na Ulimboka hakuwa nayo akatoka akijua kila kitu...Wameumbuka hapo pia...Mwacheni Mungu aitwe Mungu
 
Kuuliwa alijitakia mwenyewe, unakwendaje kmvaa mkubwa wa polisi wakati umeambiwa sambaratika.

Nasema hivi kwanini aandike mwandishi na asiandike mwana chadema, au lina impact na sympathy zaidi na ndiyo maana akachombezwa akafanye alichofanya? maana Slaa alikuwa anajuwa watakaidi, ushahidi ni ujumbe aliomtumia Mwema. Kama alijuwa watakaidi asijuwe na hao wakaidi waliowachombeza huko?

Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Kwa hili la chaddema kuamrisha watu wavunje amani ili nchii isitawalike, hata wafanye nini, Watanzania walio wengi wanaelewa kinachiendelea na wala huu upuuzi hautoijenga chadema kama chama cha walio wengi.

Huyo alikuwa huko kwa kazi za chadema na alikuwa mmoja ya wailochombezwa na Slaa kufanya fujo.

Wewe Jamaa unatafuta riziki yako kwa njia ngumu sana aisee!
 
Zomba please you above this..Kwa hiyo akiwa mwanaChadema ndio inaswihi auawe?..Polisi wana jukumu la kumlinda nani kama sii mwananchi au Chadema hawa sii wananchi maana tuwe tunajiuliza maswali magumu japokuwa tuna mapenzi yetu badala ya kuwa kama wale waarabu wanaoua hata waandishi wa habari kwa sababu ni Wazungu na ni maadui zao..

If you argue with a fool, other people will end up thinking that you are a fool too. Just ignore him, you have a lot to do.
 
alijitakia mwenyewe eti eeh.

kuuliwa alijitakia mwenyewe,

images

unakwendaje kmvaa mkubwa wa polisi wakati umeambiwa sambaratika.

Nasema hivi kwanini aandike mwandishi na asiandike mwana chadema, au lina impact na sympathy zaidi na ndiyo maana akachombezwa akafanye alichofanya? Maana slaa alikuwa anajuwa watakaidi, ushahidi ni ujumbe aliomtumia mwema. Kama alijuwa watakaidi asijuwe na hao wakaidi waliowachombeza huko?

images

ukweli ubaki kuwa ukweli.

Kwa hili la chaddema kuamrisha watu wavunje amani ili nchii isitawalike, hata wafanye nini, watanzania walio wengi wanaelewa kinachiendelea na wala huu upuuzi hautoijenga chadema kama chama cha walio wengi.

Huyo alikuwa huko kwa kazi za chadema na alikuwa mmoja ya wailochombezwa na slaa kufanya fujo.
 
Kuuliwa alijitakia mwenyewe, unakwendaje kmvaa mkubwa wa polisi wakati umeambiwa sambaratika.

Nasema hivi kwanini aandike mwandishi na asiandike mwana chadema, au lina impact na sympathy zaidi na ndiyo maana akachombezwa akafanye alichofanya? maana Slaa alikuwa anajuwa watakaidi, ushahidi ni ujumbe aliomtumia Mwema. Kama alijuwa watakaidi asijuwe na hao wakaidi waliowachombeza huko?

Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Kwa hili la chaddema kuamrisha watu wavunje amani ili nchii isitawalike, hata wafanye nini, Watanzania walio wengi wanaelewa kinachiendelea na wala huu upuuzi hautoijenga chadema kama chama cha walio wengi.

Huyo alikuwa huko kwa kazi za chadema na alikuwa mmoja ya wailochombezwa na Slaa kufanya fujo.
Kwa hiyo unataka hata Polisi wangeandikwa wana CCM badala ya Polisi sio?
 
Back
Top Bottom