Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,133
- 16,197
hii topic ina msaada kwangu, thanks!
Mkuu nenda kwa daktari wa meno ukasafishe meno.
Unauogonjwa wa fizi ambao unatoka na kutosafisha meno vizuri.hata ukitumia dawa ya mswaki hipi haitosaidia kwa sasa mpaka uende kwa daktari wa meno wakasafishe meno alafu ndio uanze kufuata njia sahihi za kusafisha meno.
Ni kweli huenda ana upungufu wa vitamin c mimi huwa inanitokea kutokwa na Damu kwenye mafizi ya mdomo haswa ninapopiga mswaki asubuhi ninatumia dawa inayoitwa (Supradyn) (Vitamin, Mineral and Blood Builders »Multivitamin, multimineral ) inanisaidia sana nikipiga mswaki sitoki tena na Damu kwenye mafizi. Jaribu kutumia hiyo Dawa una ukosefu wa vitamini mwilini na pia uwe unakula sana Machungwa na juice ya limau kurudisha Vitamin C kwa haraka.Scurvy.... inawezekana una upungufu wa vitamin C .
Mkuu nenda kwa daktari wa meno ukasafishe meno.
Unauogonjwa wa fizi ambao unatoka na kutosafisha meno vizuri.hata ukitumia dawa ya mswaki hipi haitosaidia kwa sasa mpaka uende kwa daktari wa meno wakasafishe meno alafu ndio uanze kufuata njia sahihi za kusafisha meno.
kwa muda sasa nimekua nikitoka damu kwenye fizi za meno kila ninapokua napiga mswaki,leo asubuhi wkt nakunywa chai ile nang'ata mkate nikaona damu kwenye mkate nadhani tatizo limekua kubwa,naombeni ushauri wenu kama kuna mtu mwenye idea ya hili tatizo na namna ya kulitatua.
mi kabla ya kukujibu ningependa kujuwa ni aina gani ya chumvi unayotumia katika vyakula vyako. zipo 2 ile ya unga na ile ya mawe (unrefined salt). nijibu kisha nitarudi kukupa jibu. nijibu mkuu tujifunzekwa muda sasa nimekua nikitoka damu kwenye fizi za meno kila ninapokua napiga mswaki,leo asubuhi wkt nakunywa chai ile nang'ata mkate nikaona damu kwenye mkate nadhani tatizo limekua kubwa,naombeni ushauri wenu kama kuna mtu mwenye idea ya hili tatizo na namna ya kulitatua.
natumia chumvi ya unga,ile ya kawaida iuzwayo maduka mengimi kabla ya kukujibu ningependa kujuwa ni aina gani ya chumvi unayotumia katika vyakula vyako. zipo 2 ile ya unga na ile ya mawe (unrefined salt). nijibu kisha nitarudi kukupa jibu.
kutokwa na damu kwenye fizi wakati wa kupiga mswaki au hata hupigi mswaki inaweza kuwa dalili ya ugonjwa/ugonjwa wa fizi(gingivitis).Hii inaweza sababishwa na kutosafisha meno vizuri na kusababisha utando(plague) kuota juu ya meno hasa chini ya meno ambayo huonekana kama na rangi ya njano.Hii baadaye huja kusababisha gingivitis.
Kusukutua meno kwa kutumia nguvu au pressure nyingi husababisha damu kutoka,kutumia mswaki mgumu sana,upungufu wa vitamin k ambayo ni muhimu kwa ugandishaji wa damu(blood coagulation).
cha kufanya epuka kusukutua meno kwa nguvu,tumia mswaki soft,epuka kutumia dawa ambazo ni antcoagulant mfano asprin,
nenda kaonane na dentist kama unaupungufu wa vit.k italazimika kutumia vidonge vya vit.k,pia jitahidi kula matunda ya kutosha kuimarisha fizi zako mfano machungwa,sukutua meno vizuri usiache utando kubakia kwenye meno yako.
Habari wana Jf,mimi ninatatizo la ktokwa na Damu kwenye fizi mdomoni hasa wakati ninapokua napiga mswaka.Hata wakati mwingine nikishika tama afu nikatema mate ,yanakua na damu.Fizi huwa haliashi.
Kwa mwenye kufahamu dawa ya kumaliza au kupunguza hali hiyo naomba anifahamishe.Aksante.:nerd: