Kutokana na Mgao wa Umeme huko Japan nawashauri waje wachukuwe wataalamu Tanzania

AirTanzania

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
1,139
1,033
Kutoka na Kinu cha nyuklia kupata msukosuko na kuharibika sasa hivi Japan kuna mgao wa Umeme kwa masaa 3 kila siku Asubuhi inategemea na sehemu. Wamesema Mgao utaendele kwa muda wa Mwezi tu na mwisho wa mgao utakuwa End of April na sasa hivi wataalam wa mambo ya umeme wapo busy kuhakikisha umeme mgao unakwisha kabla ya mwezi 1. Kwa kuwa Tanzania tuna wataalam wa mambo ya migao ya umeme ningeomba Serikali ya Kilaza Kikwete ipeleke wataalam ili iweze kuwasaidia wajapan au iwafundishe jinsi ya kufanya mgao.
 
Back
Top Bottom