Kutokana na giza linaloendelea hapa tz wengi tumekimbilia solar

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Kutokana na giza tororo linaloendelea hapa tz wengi wetu tumekimbilia solar na wind mil.mimi nikiwa mmoja wao tatizo linakuja hiv charger inakuwa haitoi moto unaotoka kwenye invetor nimemleta fundi lakini tatizo ni lile lile nifanyeje?
 
Rudi kwa waliokuuzia.
 
sasa hapa si jf doctor? jf doctor ana kazi kweli kweli hadi kutibu inventor dah
 
vp mkuu una mke mzuri nni mana fundi aneza kawa kafanya makusudi ili ae anakuja daily................huh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom