Kutoka Zanzibar, CHADEMA yaanza kazi rasmi

Wakuu nitapambana kadri ya uwezo wote kadri inavyowezekana kuwajibika ili mpate taarifa za uhakika. Hakuna fabrication wala propaganda. Wanasema live bila chenga. Ingawa kadri tunavyoenda ndo wigo wa mawasiliano unapungua. Nitatafuta namna, so longer as the will is there... Suala la picha pia litafanyiwa kazi inavyotakiwa wakubwa. Natambua umuhimu wake. Tayari sumu kwa watoto imeanza kupandwa huku, naona ishara ya vidole na wanashangilia kando kando ya njia. Wakuu Zanzibar itaivishwa, so longer as Wazanzibar wanaonesha utayari wa mabadiliko, kudai uwajibikaji, kupitia forum ya serious political party, CHADEMA.

Kila la kheri makamanda.Tupo pamoja
 
Mkuu,ahsante sana kwa taharifa hizi za kutia matumaini!....ila ninaswali moja -:
Dr Slaa kwenye post yake moja kasema kuna msiba umetokea ghafla na msafara wenu utaelekea kwanza huko msibani.
Je, kwahiyo hizo kampeni mtazindua baada ya kumaliza mazishi au ndiyo mtahairisha mpaka kesho? please Mkuu,reply!
 
Mwenzako Rtz kasema atatembea uchi kutoka Posta hadi Kimara Bunyokwa. Leo simuoni humu JF sijui ndo kaenda kufanya Mazoezi!

Ahadi yangu ipo pale pale ujamalizia baada ya kutembea najiua kwa kunywa sumu au kujipiga risasi za kichwa.

Chadema kushinda Zanzibar ni ngumu sana ni sawa useme CUF kushinda ubunge Moshi Vijijini, na kuchukuwa viti vya Udiwani Kibosho.
 
Kila la kheri....
Japo ni ngumu sana inavyoonekana huku Zanzibari,
nipo pande za "kiyanga"
napiga mishe za kwenda sawa na makamanda!
Hawa watu ni wamechoka tu hamna cha kujivunia sana kwa hao CCM na CUF, kusema eti milango imefungwa kwa chama makini kama CDM....
 
Kudadalekiiiiiiiii!!Makamanda vitani wazimawazima hakuna kusita wala kupoteza muda kwa kurejea historia eti uuh cdm haiwezi kukubalika Zanzibar na blabla nyingi zisizo na mashiko.Songeni makamanda na Mungu awatangulie niko nanyi katika Sala zangu hata mbuyu ulianza kama mchicha bwana,hata hao cuf walianza kwa kukejeliwa hivyohivyo na mwisho wa siku ccm maji yalizidi unga wakaja na SUK songeni mbele I really believe cdm can make it .
 
Kidogo mnaanza kunishawishi kuwa mnaweza.

Kiongozi muhimu ni uthubutu uoga ni dhambi mbaya na sumu kali kwa maendeleo ya mtu na hizi nafasi cdm hawapaswi kuziachia ukizingatia ccm wao silaha yao ni historia ya kisiasa ya Zanzibar hawasomi alama za nyakati na wala hawawezi umiza vichwa vyao kuwaza kwa mfano mtiti waliokutana nao kule Igunga
 
Tumaini suala la picha ni muhimu sana kumbuka hilo plizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
sasa hivi ccm kiroho kinawadunda. moja haikai, mbili haikai wala tatu. safari hii magamba watajibeba. Mia
 
Kilaza............wakati unasoma pale Old Moshi secondary ulikuwa mnene kama ng'ombe wa maziwa...........siku hizi vipi?

Kweli mkuu huyo makupa ni Kilaza...yaani kilaza uwa hajifichi,angalia the way anavyochangia
 
Back
Top Bottom