Kutoka Viwanja vya Mashujaa Mtwara: Kampeni ya Vua gamba, vaa gwanda yaendelea

acha ujinga we kukt wa kienyeji.si tulikuwepo kwenye mkutno na mida hii ndo umeisha mtu ilikua nyomi gamba mkubwa wewe mpelekee mmeo nape akulipe ujira
 
is

Chadema katika harakati za kupanua wigo nchini, wamepata PIGO baada ya mkutano wao leo uliosha muda si mrefu katika Manispaa ya Mtwara kuhudhuriwa na watoto. Wakati kwa Chadema yakitokea hayo, CCM imeziidi kujiimarisha kwa mkutano wake kuhudhuria na maelfu ya wakazi wa Misenyi kama picha zinavyojionyesha. Hii ni ishara tosha kuwa Chadema hawana chao mkoani Mtwara
 
Katika mkutano ambao utaacha historia mbaya katika mikutano ya CHADEMA basi mkutano wa leo mtwara utaongoza. IKUMBUKENI siku hii.
 
CCM ipo Kusini - Kaskazini, Magharibi na Mashariki!!!

CDM ipo kipande kidogo cha Kaskazi
 
Haya maneno yananikumbusha yule Ally Mchekeshaji Al Sahaf wakati majeshi ya Marekani yameshaiteka Baghdad yeye akawa anakanusha na kusema hakuna Mmarekani atakayekanyaga Baghadad!!

Ahahahahahahahahahahahahahah!!!!!....
Poleni sana CCM RIP.
 
is

Chadema katika harakati za kupanua wigo nchini, wamepata PIGO baada ya mkutano wao leo uliosha muda si mrefu katika Manispaa ya Mtwara kuhudhuriwa na watoto. Wakati kwa Chadema yakitokea hayo, CCM imeziidi kujiimarisha kwa mkutano wake kuhudhuria na maelfu ya wakazi wa Misenyi kama picha zinavyojionyesha. Hii ni ishara tosha kuwa Chadema hawana chao mkoani Mtwara
wewe mbona leo unawashwa,hutulizani kabisa,umepokea posho ya nape kuja kuandika pumba hapa nin?
 
MAFILI, posts kama hizi ndizo zinawapa watu uhakika kuwa kila wanachosema CCM ni uwongo - uwongo tupu! Kwa sababu kama unadanganya kwenye jambo la wazi kama hili itakuwaje kwa mambo ambayo umma hauna uwezo wa ku-verify?
 
is

Chadema katika harakati za kupanua wigo nchini, wamepata PIGO baada ya mkutano wao leo uliosha muda si mrefu katika Manispaa ya Mtwara kuhudhuriwa na watoto. Wakati kwa Chadema yakitokea hayo, CCM imeziidi kujiimarisha kwa mkutano wake kuhudhuria na maelfu ya wakazi wa Misenyi kama picha zinavyojionyesha. Hii ni ishara tosha kuwa Chadema hawana chao mkoani Mtwara

Mafilili mbona una wadhalilisha ccm? inamaana hapo ndio wapo uwanjani?
Na huku umetupostia ya Mtwara kweli we umechoka kichwa mazee!
children.jpg
 
Back
Top Bottom