Kutoka vipele kwenye uume

mmh,kama huwa unauza mechi na hujaoa you better go to the hosp kwa uchunguz zaidi.
 
Vizuri uende ukamuone dokta lakini pia hujajieleza vizuri hata hapa wka wana JF, ukienda hospitali jitahidi umuoneshe dokta aone sehemu yenyewe ilioathirika atakusaidia vizuri zaidi usifiche fiche au usioneshe kama haupo comfortable hata kama dokta msichana mdogo.
 
Habari wanajf? Mimi ninavipele vyeupe mbele ya uume(pale kinapoishia ''kichwa'' from anterior) mniwie radhi kwa lugha iliyotumika. Vipele kama nilivyosema ni vyeupe lakini ukipasua havina usaha na wala haviumi. Swali langu ni kwamba,je hilo ni tatizo na nini tiba yake?

:bolt:
 
Kaka vipele unavyo vizungumzia nnavifaham saana coz hata mimi nnavyo. Kiukwel huo si ugonjwa wala disability, hapana. Kazi kubwa ya hivyo vipele ni kuongeza mkuno kwa mwanamke wakati unafanya nae sex, na hivyo kumfanya afurahie zaidi tendo hilo. Ni kama tu zilivyo salama kondom zile zenye vipele. Zilitengenezwa purposily kwa kazi hiyo. Kuongeza mkuno wakat wa kungonoka. Lakini kwa kesi ya vipele vya uume ni zaidi sababu vyenyewe ni nyama kwa nyama. Kama huamini nnacho ksema hebu fanya hivi.
1. Jaribu kukumbua vpele hvyo umeanza kuviona lini? Obviousily huwezi kukumbuka and I'm sure si jana wala juzi. Mimi hapa tokea nimegundu kuwa hivi vipele vipo mpaka leo ni mwaka wa 22, na sijapata madhara yoyote kiafya.
2. Angalia mpangilio wa vipele hivyo ktk uume wako, halafu husianisha na function yake. Unafikiri kwanin havijajipanga kienyejienyeji kama vya mgonjwa wa kisonono/kaswende ila vikajipanga mwishoni mwa kichwa cha uume tena kwenye kile kituta cha kukunia?.
3. Angalia size na sifa ya vipele hivi kwa ujumla. Kwanini ni vya size moja vyote, tena vidogodogo vile? Kwanini haviumi na hatakama ungefanya ngono dry namna gani usitegemee kukikuta hata kimoja kimepasuka wala hata kuchubuka tu. Kwangu mimi kabla sijajua undani wa vipele hivi nilikuwa nikijaribu kuvitumbua, lakini sikuwahi kufanikiwa kukitumbua hata kimoja. Hata sasa huwa najarbu mara mojamoja ili angalau nijue vina nini ndani lakini nashndwa kabisa. Sasa mwenzangu wewe sijui inakuwaje unavipasua.
4. Jaribu kuangalia kwa waschana woote ambao ulisha wahi kufanya nao ngono (simanishi lazima wawe 10, 20 etc, hata kama ni wawili hata 3 tu inatosha kufanyia uthibitisho) angalia je walionyesha kuridhishwa na wewe wakati wa ngono kwa kiasi gani. (sio lazima akwambie anaridhika vp lakini miitikio yake we uliiona vp?...) na hata baada ya ngono alikuhtaj kwa kiasi gan?.
-Labda nikwambie tu kitu bro. Ni wanaume wachache sana wenye hutu tudude, na ndio maana hata hzo cooments hapo juu zimeelekezea mtazamo kwenye ugonjwa sababu hawajui aina ya vipele vinavyo zungumziwa. They just know vipele kwenye uume ni ugonja. Imagine tangu mimi nizaliwe wewe ndo nimekusikia wa pili. Nilikuwa najhc niko pekeyangu na hata nikawa nadhan ni abnomality flani. Ikabidi nianze kutafta msaada wa kitabibu. Nimepita kwa wataalam mbalimbali wa magonjwa ya zinaa. Wengi waliniambia ni maumbile na baadhi walikiri kutojua nin tatzo na kuishia tu kunipa dawa ambazo hata hvyo hazkusaidia. Nakumbuka kna kpnd walikuja wataalam wa magonjwa ya znaa hpa tz (sikumbuki walitokea nchi gani) ndo hao walinieleza hicho nilicho kueleza na wewe pia hapo juu. Ilinipasa kuamini nikizingatia hzo point nne hapo juu. In addition to that nimekaa navipele hivi miaka zaidi ya 20 na sijaexperience effect yoyote mbaya.
 
kaka nmekukubali hyo ni ukwel bas hata mie nilikuwa najua ni ugonjwa bana thx kwa kuelezea vzur
 
mi ni zaidi ya miaka 6 sasa na kila ulichosema ndicho nime-experience hata mimi, nashukuru kwa maelezo mazuri na yenye ukweli.
 
Nna vipele vidogovidogo vyeupe chini ya kichwa cha uume sasa yapata mwaka m1.Nimeenda kwa madokta wawili tofauti nikiwapa maelezo wananiambia nichukue kipimo cha magonjwa ya zinaa,majibu yanakuja 'no reaction' so wanajf naomba msaada wa mawazo yenu inaweza ikawa tatizo gani.haviumi wala kutoa usaha,vipimo vikubwa pia nishafanya.
 
Kuna common skin manifestation(inatokana na ngozi yenyewe) inaitwa Pearly Penile Papules(PPP) ambayo kunakuwa na vipele vinavyozunguka kichwa cha uume ambavyo havisababishi muwasho wala maumivu yeyote na mara nyingi inawakumba watu wasiotahiriwa japo na waliotahiriwa inawapata pia.
Hii hali haina madhara kwa aliyekumbwa nayo na wala haiambukizi kupitia sexual contact lakini mara nyingi hufanya mtu asiwe comfortable na mwonekano wa sehemu zake za siri.
Mara nyingi huchanganywa na ugonjwa unaoitwa Genital warts ambao huambukiza kama Sexually Transmitted Diseases(STD's) nyingine.
Kuna namna ya kimatibabu ya kuviondoa ya karibuni zaidi(sina uhakika kama imefika Bongo) inaitwa Lumenis CO2 laser ambayo ni kwa njia ya mionzi inaviondoa bila maumivu yeyote.

NB: Ni muhimu sana ukamuone Dermatologist(daktari wa magonjwa ya ngozi) ili aweze kukueleza na kukushauri vizuri kuhusu hili,hayo maelezo niliyotoa sio ya kitaalamu sana kwa kuwa sijafuata proper diagnostic procedures kama kwanza kuviona hivyo vipele na kufanya vipimo vingine.
 
asante sana mkuu kwa ushauri wako,ntafanya hivyo
 
Mods!
Majukwaa kama haya hasa ya Doctor,Tech and Gadgets ni ya muhimu sana lakini kuna wapuuzi wanakua wanaleta ujinga wao naomba muwe mnawapa BAN hata ya miezi mitatu ili kuwatia adabu...
Hebu fikiria mtu umeenda kwa daktari halafu ndio uwe unajibiwa ujinga kama huu mgonjwa utajisikiaje?? Tuwe waungwana masikhara yawepo lakini sio kwenye afya zetu...
 
kwa kawaida kwenye kichwa cha uume kunakuwa na vipele vidogo dogo ambavyo vinasaidi kuongeza sensitivity kazini , nahisi huenda vikawa ndo vinyewe espl kama haviumi wala kutoa usaha unless otherwise viwe vikubwa sana vya kutisha!
 
Mods!
Majukwaa kama haya hasa ya Doctor,Tech and Gadgets ni ya muhimu sana lakini kuna wapuuzi wanakua wanaleta ujinga wao naomba muwe mnawapa BAN hata ya miezi mitatu ili kuwatia adabu...
Hebu fikiria mtu umeenda kwa daktari halafu ndio uwe unajibiwa ujinga kama huu mgonjwa utajisikiaje?? Tuwe waungwana masikhara yawepo lakini sio kwenye afya zetu...

seriously
 
Back
Top Bottom