Kutoka vipele kwenye uume

Mimi ni kijana wa miaka 23 tatizo langu nimetokewa na visundo sundo kwenye shina la uume wangu kama vinavyoonekana kwenye picha plz msaada juu ya hili nipate japo tiba mwenzenu genital-wart_3.jpg
 
Mimi ni kijana wa miaka 23 tatizo langu nimetokewa na visundo sundo kwenye shina la uume wangu kama vinavyoonekana kwenye picha plz msaada juu ya hili nipate japo tiba mwenzenuView attachment 198399

Nawewe yako ni size hii au? Ok hujasema vina muda gani, vinawasha au la, hujasema upo mji gani( kuna madhara ya uvaaji wa aina fulani za nguo za ndani kwa miji yenye joto kali). Aina ya mafuta unayotumia kujipaka je unapaka mpaka kwa jamaa? Je ni aina gani ya condom unayotumia ( kuna watu wana mzio na aina fulani za mipira). Je unafanya nyeto na unatumia kilainishi gani?. Je ushawahi gonga demu tigo bila ndomu au kilainishi?
Ops so many quest.
 
sina kumbukumbu ndugu yangu kalianza kama kauvimbe kamoja kukakuna ndo vikaanza kuongezeka saivi mpaka aibu
 
Nawewe yako ni size hii au? Ok hujasema vina muda gani, vinawasha au la, hujasema upo mji gani( kuna madhara ya uvaaji wa aina fulani za nguo za ndani kwa miji yenye joto kali). Aina ya mafuta unayotumia kujipaka je unapaka mpaka kwa jamaa? Je ni aina gani ya condom unayotumia ( kuna watu wana mzio na aina fulani za mipira). Je unafanya nyeto na unatumia kilainishi gani?. Je ushawahi gonga demu tigo bila ndomu au kilainishi?
Ops so many quest.
sijawahi kula demu tigo mafuta nayo tumia ni nivea condom ni dume vipele vina mwaka sasa kila nikienda hospital hakuna msaada nao pata zaidi ya kupewa dawa zisizo nisaidia mpaka nishakata tamaa mi niko mkoa wa mara wilaya serengeti na sijawi kula demu tigo
 
Hii inanihusu pia. Nina vipele kama hvyo maeneo hayohayo haviwashi wala haviumi na nikivikata inatoka damu tu. Ni miezi kama sita tangu nivipate. Sijui ni tatizo gani pia
 
Mimi ni kijana wa miaka 23 tatizo langu nimetokewa na visundo sundo kwenye shina la uume wangu kama vinavyoonekana kwenye picha plz msaada juu ya hili nipate japo tiba mwenzenuView attachment 198399
Hii inanihusu pia. Nina vipele kama hvyo maeneo hayohayo haviwashi wala haviumi na nikivikata inatoka damu tu. Ni miezi kama sita tangu nivipate. Sijui ni tatizo gani pia
 
sijawahi kula demu tigo mafuta nayo tumia ni nivea condom ni dume vipele vina mwaka sasa kila nikienda hospital hakuna msaada nao pata zaidi ya kupewa dawa zisizo nisaidia mpaka nishakata tamaa mi niko mkoa wa mara wilaya serengeti na sijawi kula demu tigo

Ok, hii inaoneka ni mzio, Njia bora ya kuponya mzio ni kujua nini chanzo chake, bila kujua kisababishi, hata unywe dawa haitasaidia, itakuwa inazuia kwa muda tu .

Ok, tuanze na aina ya sabuni unayotumia kuogea, (1) Jaribu kuacha kutumia sabuni ya kuogea ambayo unatumia mara nyingi, tafuata sabuni nyingine tofauti (2) usipake losheni kwenye dushe lako kama inabidi paka Vaseline ile ya watoto wadogo (3) Sijui vizuri hali ya hewa ya huko uliko ila tumia chupi za pamba tu, acha matterial nyingine kwa sasa, usivae chupi inayo bana sana (4) Jaribu kubadilisha sabuni unayotumia kufulia nguo hasahasa chupi, ikiwezekana kwa sasa acha kabisa kutumia sabuni za unga (5) Hakikisha chupi unavaa mara moja tu na ikifuliwa iache ikauke vizuri na piga pasi kabla ya kuivaa (6) MWISHO katika kipindi hiki jaribu kuacha kufanya mapenzi kabisa hata kwa kutumia mpira angalau kwa mwezi mzima.
 
Tatizo Lakuumwa Nakiuno Mimi Nina Miaka 33 Huwakiuno Kinanisumbua Sana Tatizo Ninini? Msaada
 
Hivi vijipele vya kwenye dushe mara nyingi sana watu vinawapata, najua itakuwa ni skin infection ila mara nyingi huwa havina maumivu kama vijipele vyengine katika ngozi. Kuna mwana JF post #229 #TECHMAN actually ameelezea vzr sana kama utafata hayo nadhani unaweza pata jibu zuri. Fanya hilo zoezi kwa mda flan then utaona mwenyewe. Mara .nyingi mtu anayeishi sehemu za baridi huwa havimpati vijipele hivi mpka mtu aishie mazingira ya joto.
 
Ilianza na kasehemu kadogo kuwasha then kuanza vipele vidogo, now vimekua kama kidonda ingawa ni kasehem kadogo ka uume, haviumi sana. Kuna dokta jiran nilimuonyesha nikamwambia last j'mosi nilikunywa mitakelfin n 4rm j3 ndo vipele vikaanza. Akaniambia nitakua nina alegy na dawa zenye sulphur akanipa vidonge vimeandkwa cosmos. Bt bado hali iko vile vile. Naomba Ushauri jf doctor

habari wakuu, nilipost hali niliyokua nayo kipindi hicho. Nilifata ushauri wenu nikaenda hospital, miaka ikasogea nikajisahau tena last week nikanywa metekelphin ambayo nina allergy nayo sasa tatizo limejirudia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom