KUTOKA VIKINDU: Polisi wapambana na majambazi, askari mmoja adaiwa kuuawa

Walijuaje kama ni NGAMIA bila kuangalia NUNDU lake mgongoni?
Yaani kwenye hali tete kiasi kile umkamate mtu na kubaini kuwa ni kanali? bila kitambulisho, maelezo ya kutosha wala ushahidi wa kuaminika? labda ni dogo aliyekuwa anatumia nickname ya ukanali.
 
polisi hawatak kusema ukweli,kuna kitu wanaficha,aidha kwa ajil ya uchunguz au wanawaua wote,hawatak kelele za kina kijo bisimba
mbona cjakia. In kamamda flani voice ' katika mapambano makali polisi wetu e
Amefanikiwa kuyauwa majambazi kumi na nne na naomba nitowe tu onyo kwa wale wanao....."
 
Mambo yangekuwa murwa(safi) kama mwanajeshi yeyote anayefukuzwa kazi(na ikiwezekama wanao staafu wenye uraia tata) wawekewe microchip for monitoring their movements kwa usalama wa taifa letu. Note wengine wameenda kujiunga na kampuni binafsi za ulinzi(security companies) ambapo wanaweza kuwa transferred to foreign countries for the same job or more than that!!!! ushauri kwa serikali tu mimi kama raia wa kawaida (ila kiona mbali).
Hawa watu wa usalama ukiwahakikishia uhakika wa kula hawana shida...ni watu wa amani sana, ila tatizo ni pale ambapo anastaafu na maisha duni bila serekali kumjali...kwa nini asiwe mwizi?
 
Imetokea usiku huu Mkuranga. Askari wazingira nyumba ambayo walikuwa wanafanya uchunguzi baada ya mauaji ya polisi Mbande.

Radio WAPO.

========

UPDATES;


> Mapigano makali yanaendelea kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani.

> Timu ya Mwananchi iliyo eneo la tukio imeshuhudia magari ya polisi (difenda) zaidi ya 16 yakifika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini mkubwa.

> Kadhalika, magari yanayokwenda maeneo ya Vianzi Mkuranga, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru njia zimefungwa kutokana na mapambano hayo.

=> Inadaiwa wamekamatwa majambazi 14 na wengi wao ni askari wastaafu. Kiongozi wa wahalifu wao anadaiwa kuwa Kanali wa Jeshi mstaafu.

=> Polisi yaweka kizuizi cha barabara eneo la Kongowe, Mkuranga, magari yote yanayotoka na kuingia Dar yanapekuliwa.

=> Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Kuzuia Majambazi kutoka Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Thomas Njiku amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi ya kichwa katika maeneo ya Vikindu Mkoani Pwani na watu wanaosadikika kuwa ni magaidi.
View attachment 388235 View attachment 388237 View attachment 388238 View attachment 388239
Nyumba waliokuwa Wanaishi hao Majambazi

=> Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Vikindu Mashariki, Mohammed Ismaili ambaye alikuwa bega kwa bega na askari hao alisema kwenye nyumba hiyo waliokamatwa ni watu 7, Wanawake, Watoto na Mwaume mmoja.

Hakuna Jambazi yeyote aliyeuawa katika tukio hilo zaidi ya afisa huyo wa polisi.

=> Waandishi wa Habari walipata wakati mgumu kwani Walikatazwa kusogelea eneo la tukio wala kupiga picha.

Picha ni taraaatibu,,,mbande ilikua ni kwa sababu ya ukuta,,,leo naona taraatib tumesogea kwenye ugaidi.....some popcorn pls
 
Mkuu Nina miaka said I ya 30 mifano unayotoa no mfuu. Huko mwambechai askari waliingia msikitini kughasi waumini ulitegemea nini?huko kote cchanzo cha police kuuizwa ilikuwa police wenyewe .


Ndugu yangu nadhani wewe umehadithiwa tu, wenzio tulikuwepo...anyway naishia hapo kuhusu mjadala huu
 
Ndio matatizo ya kutumia vyeti vya watu Savimbi hastahiri kuwa hapo alipo huyu madale huyu hafai mimi toka mipango yake ya Uchaguzi wa Nzega na ile issue ya Lwakatare nilimdharau sana huyu Mwiguu.ona polisi inavyozaraulika hivi majambazi 14 wakae nyumba moja imekuwa Hostel hiyo manasomea mapishi.
 
Nilishasema kwenye mojawapo ya comments zangu juzi kuwa hayo mahuaji ya askari yanahusiana na lile tukio la yule jamaa aliyepigwa mawe akauliwa na akakutwa na mabomu ya kurusha maeneo ya Temeke au somewhere.
Shida ya polisi na viongozi wetu wanapenda kudandia treni kwa mbele bila kujiridhisha mapema.
Hawa jamaa wanajitahidi kukusanya silaha za kivita kwa kuiba kutoka vituo vya polisi, pesa wanazo ila hawawezi agiza silaha nje ndio maana wamejikita kwenye kuvamia vituo.
Serikali iamke au kuna siku watajutia na intelijensia zao uchwara. Yaani hii ni kitu rahisi unaunganisha tu dots kuazia yale matukio ya nyuma na zote jamaa wanafanana jinsi wanavyofanya uhalifu.
yes magaidi wanakusanya silaha. lazima kuzuia na kuwabomoa kabla. l hope ndio walinzi wetu wanafanya. sote tuwaunge mkono.
 
Back
Top Bottom