Elections 2010 Kutoka star tv: Matokeo ya udiwani kata nyingi nyamagana na ilemela chadema yanyakua

wihanzi

Member
Feb 10, 2009
62
3
Wakazi wengi na has vijana, wamejaa sana halmashauri ya jiji la Mwanza kusubiri matokeo na matoke hayo kulingana na STAR TV kwa nafasi ya udiwani viti vingi vimechukuliwa na chadema kwa majimbo yote mawili yaani ilemela na Nyamagana.

Ikumbukwe kwamba mmiliki wa STAR TV ndiye alikuwa anagombea kupitia CCM hivyo kuna uhakika wa habari hizi

SOURCE STAR TV
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom