Kutoka na punguzo la kodi Je bei za ngano,gesi na vingamuzi kushuka?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Katika pitia pitia yangu nimekuta ivi vitu vitatu kwa bajeti
1.Alisema ushuru wa forodha umepunguzwa kwa ving’amuzi kutoka asilimia 25 hadi asilimia sifuri ili kuwezesha mabadiliko katika teknolojia ya analogia na kwenda katika teknologia ya digitali.

2.Alisema katika Bajeti hiyo, pia ushuru wa ngano umeondolewa kuwa asilimia 0 badala ya asilimia 35

3.Katika eneo hilo, Serikali imeondoa VAT kwa vifaa mbalimbali vya kuhifadhia, kusafirisha na kusambaza gesi asilia ili kuongeza matumizi ya nishati hiyo katika sekta mbalimbali za kiuchumi, kwenye magari, majumbani na viwandani.
MY TAKE:
KUondoa au kupunguza ushuru ktk ivyo vitu vitatu will be useless kama serikali haitafanya follow up kuhakikisha vinashuka bei.
Imagine just recent serikali ilitoa tamko kuwa unga uuzwe 800 kwa kilo ila bado kuna watu wanapiga mpaka 1200tshs kwa kilo.
Sichelei kusema serikali legelege huwa haifuatilii ilichokisema ie maisha yanakuwa mepesi kwenye mikaratasi yenu na ya yanakuwa magumu in real sense bse hakuna follow up
 
hata kama punguzo lipo litachelewa sana kumfikia mlaji maana wafanyabiashara hawakawii kusema wanamzigo wa zamani.!
 
Katika pitia pitia yangu nimekuta ivi vitu vitatu kwa bajeti
1.Alisema ushuru wa forodha umepunguzwa kwa ving'amuzi kutoka asilimia 25 hadi asilimia sifuri ili kuwezesha mabadiliko katika teknolojia ya analogia na kwenda katika teknologia ya digitali.

2.Alisema katika Bajeti hiyo, pia ushuru wa ngano umeondolewa kuwa asilimia 0 badala ya asilimia 35

3.Katika eneo hilo, Serikali imeondoa VAT kwa vifaa mbalimbali vya kuhifadhia, kusafirisha na kusambaza gesi asilia ili kuongeza matumizi ya nishati hiyo katika sekta mbalimbali za kiuchumi, kwenye magari, majumbani na viwandani.
MY TAKE:
KUondoa au kupunguza ushuru ktk ivyo vitu vitatu will be useless kama serikali haitafanya follow up kuhakikisha vinashuka bei.
Imagine just recent serikali ilitoa tamko kuwa unga uuzwe 800 kwa kilo ila bado kuna watu wanapiga mpaka 1200tshs kwa kilo.
Sichelei kusema serikali legelege huwa haifuatilii ilichokisema ie maisha yanakuwa mepesi kwenye mikaratasi yenu na ya yanakuwa magumu in real sense bse hakuna follow up[/QUOTE]

Na hivi ndivyo ilivyo
 
hata kama punguzo lipo litachelewa sana kumfikia mlaji maana wafanyabiashara hawakawii kusema wanamzigo wa zamani.!

Spot on! Na serikali hii legelegele ishawekwa mfukoni zamani, kwa hiyo ni business as usual
 
Back
Top Bottom