Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
- Thread starter
- #41
Asante kwa kunikosoa hapo maana mwalimu wangu wa kiswahili alikufa nikiwa darasa la kwanza nikabaki na mwalimu wangu wa Kigogo.Picha safi sana Mkuu kazi nzuri, ila ni-comment katika ile ya pweza. Kiswahili cha kawaida, pweza ni kitoweleo au kitoweo na siyo mboga.