Kutoka Mlimani City: Mkutano wa Makandarasi Tanzania 2011!

Taratibu za kiusalama zinawekwa sawa kwaajili ya ujio wa mheshimiwa Rais!
Makandarasi naona wamejitokeza na wengine wanaendelea kuja! Tutawaletea yanayojiri hapa!

Msaada kwenye tuta...Huo ni Mkutano wa Wakandarasi (Contractors) au Mkutano wa Wahandisi (Engineers)?
 
Mh rais anaingia sasa eneo la tukio wajumbe wamambiwa kuwa watasimama na baada ya rais kukaa kuna wimbo maalum!!

Bendi ya THT inaendelea kutoa burudani na wimbo wa enzi hizo wa "Masudi amekuwa jambazi"
 
Msaada kwenye tuta...Huo ni Mkutano wa Wakandarasi (Contractors) au Mkutano wa Wahandisi (Engineers)?

mbona hamuendelei kutuhabarisha kinachoendelea? au walinzi wa m.k.w.e.r.e wamewanyanganya simu zenu hapo ukumbini? endeleeni kutupatia news!!!
 
Mh rais anaingia sasa eneo la tukio wajumbe wamambiwa kuwa watasimama na baada ya rais kukaa kuna wimbo maalum!!

Bendi ya THT inaendelea kutoa burudani na wimbo wa enzi hizo wa "Masudi amekuwa jambazi"

Baada ya burudani kutoka kwa vijana wa ruge nini kinaendelea?
 
kati ya mikutano ya "kisiasa" nilowahi kuisikia na kuiona huu umepita kiwango...professionals na wanasiasa hawana uhusiano wowote zaidi ya kuwa ni wananchi wa nchi moja...ngoma na midundiko haiwezi hata sikumoja kugeuza gravitational forces na kuongeza creativity ya wataalamu wetu wa ujenzi..50yrs plus blahblah..thats just politicx.... SITAKI HATA KUSIKIA HABARI ZA UPUUZI HUU.
 
Tht wanaburudi ukumbi na wimbo wa hongera rais,waziri na makandarasi
 
Mw/kiti crb Eng Consolata Ngimbwa anazungumza anawatambulisha baadhi ya viongozi!
 
Msaada kwenye tuta...Huo ni Mkutano wa Wakandarasi (Contractors) au Mkutano wa Wahandisi (Engineers)?

Aisee mada imepotoshwa hii, ni mkusanyiko wa wahandisi (Engineers), wapimaji (QS), Wabunifu majengo(Architects) etc.Na wadau wote wa fani ya uhandisi (mifumo laini na mazingira jengwa) a.k.a (Engineers day).

Nawasilisha
 
Mw/kiti crb Eng Consolata Ngimbwa amemaliza kuzungumza!
Sasa anazungumza Mw/kiti wa AQRB!
 
hivi dr magufulii naye ni mkandarasiii??? maana anajuaa sanaa barabara...
 
Back
Top Bottom