Kutoka mdahaloni bibie Clinton azua mjadala picha iliyopigwa mgongoni

Hiyo ni nguo tu.....vingine mbwembwe tu na Propaganda maji taka, nimeona wengine leo wanasema kwenye mdahalo hakuwa yeye shenz typ......ila uzuri wanapiga propaganda uchwara huku ansongoza zaid ya 65% kwenye mdahalo wa leo, ni picha nzuri kwenye siasa za marekani, tusubiri midahalo mingine iyajo
Qwi Qwi Qwi..... what a brainwashed dude!? What a docile fella who denies the naked truth!!
Fyi Clinton is a https://jamii.app/JFUserGuide*ng cheater na ali cheat kwa Bernie ma sasa ana jaribu kufanya hivyo kwa Trump.
 
Mama yuko tafu sana.huyu Trump hana ubavu wa kupambana na mama Clinton. Hii picha ni kutaka kumchafua tu huyu mama.nadhani atashinda uraisi wa marekani .
 
Trump ni hopeless. Anajikanyaga tu kwenye mdahalo na kui-interupt Maelezo ya Hilary.

Usicheze na TRUMP ana mbinu nyingi sana - kumbuka huu ulikuwa ni debate ya kwanza bado mbili, na kama nakumbuka vizuri TRUMP alisema alikuwa na mengi ya kumbana Clinton lakini akamezea, nina uhakika debate ya kwanza Trump alitaka kupima upepo unavyo kwenda kwa debate zilizo baki TRUMP atakuja na gea mpya na kuwashangaza wengi.
 
Sawa, kila mmoja anamtazamo wake ila kiuwezo wa kujenga hoja, kujibu kiusahihi bila hamaki wala papara Hillary Clinton yupo vizuri zaidi ya Trump. Hii nasema kwa sababu nimetazama mdahalo wao uliopita na zile kampeni zao za ndani ya chama.
This is my thoughts.
 
Back
Top Bottom