Kutoka mdahaloni bibie Clinton azua mjadala picha iliyopigwa mgongoni

huyu mama kuna uwezekano alikua kavaa earphones akawa anapokea maelekezo.
Kabisaaa unasema anapokea maelekezo tokea nyuma...akili yako ndo imefikia hapo ivii hata wew jaribu kufanya hilo jambo afu kwanza uliangalia hoyo debate au ndo nyie mnaoshikwa masikio na vijana wasio kuwa na uelewa....
 
Ahahahaaaaaa:D:D:D:D:D:D

Hizi siasa huwa zina vituko sana!

wapo walioona maajabu Hillary kusimama kwa dakika 90.

Wapo walioshangaa bibi wa watu kwenda dakika 90 bila kukohoa.

Sasa wapo wanauliza mgongoni kwa bibi kulikuwa na nini?
..interesting
 
Kabisaaa unasema anapokea maelekezo tokea nyuma...akili yako ndo imefikia hapo ivii hata wew jaribu kufanya hilo jambo afu kwanza uliangalia hoyo debate au ndo nyie mnaoshikwa masikio na vijana wasio kuwa na uelewa....
acha jazba bibie.
 
Acheni utani, kama kweli umefuatilia huo mdahalo, huitaji degree kujua clinton ana experience ya kuongea..uzoefu umembeba sana na anaongea huku akiwa amerelax.
Trump anaonekana kabisa hakutulia na ana jazba na hii ni kwasababu hana uzoefu na afikirii anachokiongea.
 
Hiyo ni nguo tu.....vingine mbwembwe tu na Propaganda maji taka, nimeona wengine leo wanasema kwenye mdahalo hakuwa yeye shenz typ......ila uzuri wanapiga propaganda uchwara huku ansongoza zaid ya 65% kwenye mdahalo wa leo, ni picha nzuri kwenye siasa za marekani, tusubiri midahalo mingine iyajo
Huko kuongoza kwa 65%,umekuona cnn i believe hembu jaribu kufuatilia vyombo vingine vya habari lama,CNBC,FOX,DAILYWIRE,CBSNY,USA TODAY,,ATLANTA PATCH,NEWS NASH,n.k,halafu uje tena hapa.
 
Hiyo ni nguo tu.....vingine mbwembwe tu na Propaganda maji taka, nimeona wengine leo wanasema kwenye mdahalo hakuwa yeye shenz typ......ila uzuri wanapiga propaganda uchwara huku ansongoza zaid ya 65% kwenye mdahalo wa leo, ni picha nzuri kwenye siasa za marekani, tusubiri midahalo mingine iyajo
Winning a battle is not winning a war. In case you didn't notice kuna mengi ambayo Trump angeweza kusema but aliyareserve. Bado wana debates nyingine so he was simply saving the best for last. It's a mind game... At the moment Bi Hilary yupo comfortable.
Tis too early kurise ur hopes up for now mudhee, the tables might (and trust me they will) turn. don't count ur chickens before they're hatched
 
Kwa mara ya kwanza Gazeti la republican inayopatokana Arizona limemu endorse Hillary
 
Anapitia figisu kama za EL wanaosema mgonjwa watamuacha mama wa watu anadunda ndio maana wanasema usiukumu
 
Back
Top Bottom