Kutoka magazetini leo sarakasi za bungeni zaendelea!

Wamejipatie publicity ya bure ona wanavyoonekana majasiri maamuzi mengine ya naibu spika yananufaisha Chadema

KUTOKA MAGAZETINI LEO SARAKASI ZA BUNGENI ZAENDELEA!

 
SARAKASI-1.jpg
 
UHURU: Wao ndiyo tumewachoka na ndiyo maana wanataka bunge liwe kama kikao cha CCM kitu ambacho hakiwezekani.
 
Tunajua gazeti lenyewe linauzwa wizarani na kwa mama zetu kwa ajiri ya kufunga vitumbua sasa wasipotoa kashfa watoto wao watakula wapi na wao wapo kwa ajiri ya mafisadi. Heko cdm
 
Hawa makamanda wamependeza sana pichani yani ukiwaangalia utajua wanajua wanachokifanya nzuri zaidi wananchi pia tunajua yani wasihofie chochote tunajua wanatutetea wanatupigania na tumewatuma kufanya kazi hiyo ndo maana wamefika nje wakiwa na imani ya kishujaa kwani wanaamini huku tunajua wanachokifanya na tunaimani nao mapambano yaendelee msihofie chochote makamanda wetu
 
Tunajua gazeti lenyewe linauzwa wizarani na kwa mama zetu kwa ajiri ya kufunga vitumbua sasa wasipotoa kashfa watoto wao watakula wapi na wao wapo kwa ajiri ya mafisadi. Heko cdm
<br />
<br />
Na kama
walivyokataa kuwa na Mungu
katika fahamu zao, Mungu
aliwaacha wafuate akili zao
zisizofaa, wayafanye
yasiyowapasa.
Warumi 1:28.
 
Nakubali ya kwamba bungeni kuna tatizo na nidhamu ninashuka, lakini kinachoonekana hapa ni kile ambacho kwa kiingereza wanaita the use of third dimension of power. Spika, Naibu na Mwenyekiti indirectly wanalazimisha wabunge hasa wa upande wa ushindani kuona hawatendewi haki.
 
Back
Top Bottom