Kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue: Siku 100 za Rais Magufuli

Magufuli na serikali yake hawataki kukosolewa. Mbona hamuyasemi haya? Ndiyo maana wanafinya na kubinya uhuru wa vyombo vya habari na upatikanaji wake. Tumeona serikali ya JPM ikizuia TBC kurusha bunge live kwa visingizio vya kitoto. Tumeshudia serikali hii ikilifuta gazeti la Mawio bila sababu za msingi. Na ni jana tu kivuko cha Kigamboni kilipata hitilafu nusura kizame wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakazuiwa eti mpk wapate kibali toka TEMESA. Mbona Ombeni Sefue huyasemi haya?
JK alikuwa na mapungufu makubwa ya kiuongozi lkn aliruhusu watu waseme watakavyo, waandike watakavyo na vyombo vya habari vilikuwa na uhuru kuliko sasa. Ombeni yaseme na haya.
 
Kama kawaida yao watasema hakuna kilichofanyika, na muda eti ni mchache kumpima utendaji wake!
 
Kumbukumbu zinaniambia tangu mwezi wa t4 mwaka Jana watu ,viongozi wa dini na misikiti walianza kumuomba mungu wapate rais mungu atakaye pendezwa nae hakika mungu alijibu
Akatupa magufuli sisi wanyongwe tunamshukuru
 
Mbona misifa tu...Hakuna dira angalao ya mwaka mmoja?ongezeni wigo was kukusanya kodi.Hatuwezi kusifia kuwa mapato yameongezeka kutoka ya Jk maana shilingi yetu nayo inaporomoka kwa kasi. sana.
Q
Anza kujitadhimini umefanya nini ndani ya siku mia moja,
 
Mbona misifa tu...Hakuna dira angalao ya mwaka mmoja?ongezeni wigo was kukusanya kodi.Hatuwezi kusifia kuwa mapato yameongezeka kutoka ya Jk maana shilingi yetu nayo inaporomoka kwa kasi. sana.
Mmebakia kuhamisha magoli tu
Cc Mwanakijiji
 
Movie nzuri.
kuvutia.

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Sijawah kupendezwa kabs na Rais wang Magufuli Mungu anisameh, nature yake tu hainibariki istoshe hajafanya makubwa kama inavyosemekana usanii mwng
 
Sijawah kupendezwa kabs na Rais wang Magufuli Mungu anisameh, nature yake tu hainibariki istoshe hajafanya makubwa kama inavyosemekana usanii mwng

Huyu ni raisi wa vyombo vya Habari...
 
hawezi kumkosoa hata siku moja japo kuwa kuna ukweli 67% juu ya anachokizungumza kuhusu siku 100 za rais.
 
Mtu kutegemea mabadiliko ndani ya ccm ni sawa na kusubili Fast Jet Ubungo terminal
 
Mtu kutegemea mabadiliko ndani ya ccm ni sawa na kusubili Fast Jet Ubungo terminal

endelea kusubiLi tu ubungo terminal, itatokea tu kwa fastjet kutua pale, kwani ndio maana ya muujiza.. kwa kasi ya fast jet wanavyo ongeza route kila baada ya muda mfupi, watafika tu.. usikate tamaa, subiLi tu..
 
Hahahhahaah asubiLi tu!
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom