Kutoka kichwa mpaka dafu

issabela

Senior Member
Jun 27, 2012
148
17
Katik mkutano wa madaktari bingwa unaoendelea uko copenhagen (denmark) madaktar 7 kutok china, 3 toka germany, 2 toka tanzania wakiw katk mapumzko walikua wanajisifia kutokana na taaluma zao wachina wakasema mafanikio yao kwe2 alizaliwa mtot hana mikon 2kamwekea mikon ya bandia sasa ni bingwa wa karate mjeruman nae akasema iyo ndogo kwe2 sisi alizaliwa mtoto hana miguu 2kamwekea ya bandia sasa ni bingwa wa olimpic m tanzania nae akasema nyote hamfiki kwe2 katk wilay ya bagamoyo alizaliwa mtot hana kichwa 2kamwekea dafu sasa ni rais
 
mabwepande inakuhusu issabela, wallah tena, mtaarifu Juma Mgaza mapema aje kukuokota!
 
Ningekwa mimi presidaa ningejiuzulu mnanichoka hivi? Hata kama ningekuwa mwanachama wa ccm tu ningemshauri ajiuzulu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom