Nyie ni watu w ajabu na kuhurumia sana juzi juzi humu JF mmeanza kutamba kuwa nafasi zote za juu zimeshikiliwa na waislam tena mkatuambia zile nyeti sasa leo yamekuwa hayo tena. Kuna mmoja wnu akazitaja
Rais(Tz&Zan)
Makamu(Tz&Zan)
Jaji Mkuu
Wizara ya Fedha
Mambo ya Ndani
Wizara ya Nje
Wizara ya Ulinzi na JKT
et al....
Sasa leo uonevu unatoka wapi mnajiona wanyonge nyie wenyewe poleni hatuna msaada zaidi mlie na viongozi wenu.
Member nae ni Muislamu siku hizi ee? wizara ya nje!!
Katiba mpya ni lazima iainishe mgawo wa madaraka kielimu, usawa wa dini, na geografia!
Suala la ukabila(Uchaga),(uhaya),(unyakyusa) undugunization katika kupeana madaraka tangu enzi za uhuru mpaka leo na kuwajaza wanajeshi na polisi wa kutoka mkoa wa Mara pia halina nafasi ktk katiba mpya!!!
Waislamu wanataka warudishiwe shule zao zilizotaifishwa na utawala wa Nyerere kwani Wakristo walisharudishiwa shule zao na zaidi wameingia mkataba na Serikali(Memorundum of Understanding 1992) wa kupewa sadaka ya mamilioni ya pesa kila mwaka kwa kodi za Watanzania! mkataba huu ni haramu!! ni lazima usimamishwe! hapa ni kodi zetu ndio wanapewa hawa jamaa ambao ukienda shule zao huwezi kusoma kwa utulivu bila ya kunusanusa harufu ya kitimoto na kukaa dawati moja na jinsia tofauti ambapo hii ni kinyume na utamaduni na desturi ya dini zingine!!!
Hakuna kulala safari hii mpaka kieleweke!!