Kutoka Karimjee Hall: Mjadala juu ya Tamko la Uongozi wa Waislamu Jan 15, 2010

jamani kuna watu ukisikia maneno na madai yao yanashangaza kweeli....aisee...mfano ni huu tu wana JF..
SIKU MOJA NILIKUWA NAPITA KARIBU NA MSIKITI WA BONDENI HAPO ARUSHA KULIKUWA NA MKUTANO MKUBWA WA WANAOJIITA WAISLAMU SHEHE MMOJA AKWA ANADAI ETI WIMBO WA TAIFA NA DUA (SALA) YA KUFUNGUA BUNGE NI LAZIMA IBADILISHWE KWANI NI ZA KIKRISTO....AKASEMA WATAPELEKA MAPENDEKEZO SERIKALINI VIBADILISHWE....MIMI KTK KUTAFAKARI KWANGU...NIKAJIULIZA SASA VIBADILISHWE VIWEJE BADALA YA ILIVO SASA HIVI........HAPO NDIPO NIKAGUNDUA JAMANI KUWA......FIKRA ZA ALIYENDANI MYA BOKSI HUTEGEMEANA SANA NA UKUBWA WA BOKSI ALILOMO.
 
Waislam waliiosoma wako tofauti sana na wale ambao shule hakuna kichwani ...ambao hawana shule wanawaza kuonewa tuu.
 
Siku zote na katika jamii yoyote siku zote kuna tofauti kubwa sana kwa aliyesoma na asiyesoma. Kwa msomi huona mengi sana na kuyapambanua na kisha kutazama faida na hasara ya jambo hilo.

Siku zote tunaamini ukimwona msomi ameamua kutema asali na kutamani pilipili basi ujue kuna jambo hapo.

mtu makini siku zote anasikiliza kilio cha wanyonge.

Kumbuka lisemwalo lipo na kama halipo laja.

Mzalau mwiba ...

Hawa ndugu zetu waislam walio wengi tatizo lao ni upeo wa kuona/kufikiri/kutafakari/kupambanua jambo na kupata hitimisho/suluhisho.
Ukisema halfhalf ukapewa halafu utakuwa umemaliza kila unachotaka?
Hapa lazima utakuja utataka upewe 1 na ukishapewa lazima utaibua lingine tena kwamba nusunusu.
Tatizo ndiyo liakuja pale kwamba 'hawajui wanalotaka' ktk mission nzima hakuna mwisho ndiyo maana unaona wanadai wanaonewa, waulize wanaonewa kwa lipi hawana jibu sahii atabaki kukwambia anaonewa.
Nendeni shule jamani mkapate vision hamtaki mnaenda chuo eti madrasa, lini utaelewa/maono ya kinachoendelea duniani. Lazima useme unaonewa kwa sababu huelewi Nundu alifanyafanyaje/alipitia njia gani mpaka akawa waziri.
Mtabaki na nusu kwa nusu ambayo haipo
 
Ni kweli tulianza kunyanyaswa tangu zamani kwani hata shule tulilazimishwa kulisha nguruwe, wengine wakaacha shule. Hii yote ilikuwa ni mbinu ya kupunguza wasomi wa kiislamu. Sasa tunae mtetezi.
 
Wanataka katiba mpya inayosema uongozi wa nchi ni nusu kwa nusu.

Kweli akili ni nywele. Hivi hawa jamaa katika kukaa kwao na kutumia muda wao kutafakari sana nini cha kuchangia katika mjadala wa katiba, hii ndio wakaona mojawapo ya point za maana kuingiza kwenye katiba mpya, na wakapiga makofi kuunga mkono?
 
Leo nimesikia kutoka kwenye kongamano la waislamu pale viwanja vya carimjee wakilalamika wanataka usawa na wamechoka kunyanyaswa.

Wanataka katiba mpya inayosema uongozi wa nchi ni nusu kwa nusu.

Mimi nikajiuliza hilo limetoka wapi? Je Zanzibar itakuaje? Nako iwe nusu kwa nusu?

Mi nadhani uongozi wa nchi si wa kupeana bali ni uzoefu na kua na dhamira ya dhati ya kuikomboa chi na kuwaondolea wananchi wake umaskini, haijalishi we ni dini gani

Aidha, wameitaka serikali kuwaonya Maaskofu wanaotoa matamko ya kutotambua viongozi.

jamani kuna watu ukisikia maneno na madai yaoyanashangaza kweeli....aisee...mfano ni huu tu wana JF..
SIKU MOJA NILIKUWA NAPITA KARIBU NA MSIKITI WA BONDENI HAPO ARUSHA KULIKUWA NAMKUTANO MKUBWA WA WANAOJIITA WAISLAMU SHEHE MMOJA AKWA ANADAI ETI WIMBO WATAIFA NA DUA (SALA) YA KUFUNGUA BUNGE NI LAZIMA IBADILISHWE KWANI NI ZAKIKRISTO....AKASEMA WATAPELEKA MAPENDEKEZO SERIKALINI VIBADILISHWE....MIMI KTKKUTAFAKARI KWANGU...NIKAJIULIZA SASA VIBADILISHWE VIWEJE BADALA YA ILIVO SASAHIVI........HAPO NDIPO NIKAGUNDUA JAMANI KUWA......FIKRA ZA ALIYENDANI MYABOKSI HUTEGEMEANA SANA NA UKUBWA WA BOKSI ALILOMO.

hii siyo nzuri...ni bora tu ungemuelezea kistaarabu sababu zilizoleta uwiano usio sawa katika nafasi za kazi serikalini na nini kifanyike...kejeli na dharau hazitatufikisha popote...!

jamani kuna watu ukisikia maneno na madai yaoyanashangaza kweeli....aisee...mfano ni huu tu wana JF..
SIKU MOJA NILIKUWA NAPITA KARIBU NA MSIKITI WA BONDENI HAPO ARUSHA KULIKUWA NAMKUTANO MKUBWA WA WANAOJIITA WAISLAMU SHEHE MMOJA AKWA ANADAI ETI WIMBO WATAIFA NA DUA (SALA) YA KUFUNGUA BUNGE NI LAZIMA IBADILISHWE KWANI NI ZAKIKRISTO....AKASEMA WATAPELEKA MAPENDEKEZO SERIKALINI VIBADILISHWE....MIMI KTKKUTAFAKARI KWANGU...NIKAJIULIZA SASA VIBADILISHWE VIWEJE BADALA YA ILIVO SASAHIVI........HAPO NDIPO NIKAGUNDUA JAMANI KUWA......FIKRA ZA ALIYENDANI MYABOKSI HUTEGEMEANA SANA NA UKUBWA WA BOKSI ALILOMO.
 
Haya majitu ya Kanisa kitu ambacho mpaka leo hawakielewi ni kuwa, hata usome upindukie, lakini unaposhindwa kutofautisha Mungu na Binaadam na kukubali kuwa mtu mmoja anaekula, kwenda haja na kafa kwa dhambi zako, kuwa huyo ni Mungu wako, sijuwi kama shule iliyokufundisha hayo imekupa elimu au uporoto?

Ikiwa elimu ndio hiyo, hawana dhambi hawa, kuuwa, kufanya dhambi nyingine yoyote ile kwao sio dhambi si mungu wao alishazibeba dhambi zote? Kwa hiyo wao ni malaika! Na kuendelea kuwaambia amani, amani, amani, ni kama kumpigia Mbuzi gita! Watakuelewa? Ikiwa shule zenyewe ndio hizo?

jamaa kadata jamani duh
 
Back
Top Bottom