Kutoka Karimjee Hall: Mjadala juu ya Tamko la Uongozi wa Waislamu Jan 15, 2010

Nusu kwa nusu wana maana gani kama wawakilishi wao ndo hawa vilaza wanaoturudisha nyuma c bora tuwapige chini jumla!
 
Sikubaliani kabisa na dhana kwamba eti wanaonewa! Wanaonewa na nani?

Halafu nusu kwa nusu nayo siyo sawa. Kama hivyo ndivyo lazima tujue dini zote zilizopo Tanzania na tuwape pia nafasi hizo nusu nusu. Mtu mvivu huwa siku zote hakosi sababu. Siamini dawa ya mafaniko yetu ni kuwa na idadi kubwa serikali kama tunaenda kufanya ibada. Dawa ni kusoma kwa bidii na kuelimika maana dunia ya leo wapiga story wanaabika sana. Mfano tunao hapa hapa Tanzania.

Sisi wengine hatupiganii kujazana serikalini. Tunapigania kuelimika ili tuweze kuwa competitive in the global stage. Baade mambo yakibadilika msije mkasema tena mnaonewa. Ni strategies tu ndio zinatofautiana
 
papuuzi hawa, hata kama kigezo kingekuwa dini wapagani nao wangepata ngapi? walichelewa shule hawa
 
Baraza kuu la waislamU BAKWATA limeitaka serikali kuwaonya maaskofu kuacha kutoa matamko ya kutotambua viongozi wa kisiasa.

Hayo yamesemwa hii leo na kiongozi mmoja wa bakwata na kuwashutumu maaskofu kwamba wanataka kugeuka kama watu wenye mamlaka ya nchi na kwamba wao kila wanachotaka wanataka kiwe hivyo.

Wakati hayo yakitokea wiki moja iliyopita waziri Steven Wassira aliwataka maaskofu kuendelea kuikosoa serikali pale inapo hatarisha umoja wa watanzania na amani ya nchi. Alitoa kauli hiyo alipohudhuria sherehe za kusimikwa kwa askofu mkuu mpya wa mwanza Jude Thadeus Ruwaichi.
 
Is that demanding too much? for you.

Kwa hiyo wewe unataka vigezo viwe
75% christian
25% others (all)

hapo hakun udini ha!

Hopeless!!!!!!!
Udini mbona mnausemea sana, hizi chokochoko za dini zatoka wapi tena, mbona mna mambo ya kinyonge namna hiyo. Kwa hiyo mtu kama anavigezo vyooote vya uongozi isipokuwa siyo wa dini yako basi apewe???
 
Hata Bungeni wakristu walidai ni zaidi ya 75%.............................................

HOLLY MOLLY........ Yaani Siamini huuu Upuuzi, hapa hakuna hoja.... Sasa kama wabunge wanachaguliwa na wananchi Je tuwape viti maalumu waislamu ili namba zao ziongezeke? This is rubbish naomba waislamu wenye akili zao wawapinge hawa mazuzu sababu they give muslims a bad name.
 
Viongozi wa nchi ni Raisi na makamu wake, Jaji Mkuu, Spika na Waziri Mkuu. Je hali ikoje sasa hivi mpaka waone hakuna usawa. Kama hakuna usawa ni upande gani?
JMT
Raisi - Muisilamu
Makamu - Muisiliamu
Jaji Mkuu - Muisilam
Spika - Mkristo
Waziri Mkuu - Mkristo

ZANZIBAR:
Raisi - Muisilamu
Makamu wa Kwanza - Muisilamu
Makamu wa Pili _ Muisilamu
Jaji Kiongozi - Muisilamu
Spika - Muisilamu
 
Haaahaaa! Hizi mbio hizi mwisho wake si salama hata kidogo. Kuna busara na jazba zinaambatana kama mtu na mwanae.
 
Viongozi wa waislamu wanajulikana kwa propoganda na sio wawakilishi wazuri wa waislam. Najua kwa dini yoyote inatakiwa kusimamia haki pale inapokuwa haijatendeka.

Sasa wenyewe wanasema dini zikae kimya zitakuwa zinatupeleka wapi? Acheni kubeba waovu maisha yatatushinda si mkristo wala muislam. Angalia bei za vitu zinavyopaa tatizo ni nini?

Nawaunga mkono maaskofu kwa kukemea maovu yanayotendeka nyie endeleeni kujikomba tu tutaona mtafika wapi.
 
Kama hii ni kweli basi kazi tunayo...... lakini am sure hawa wapuuzi wachache sio representation ya ndugu zetu waislamu, na watu kama hawa ni wa kuogopa kama ukoma.

unadiriki vipi kuwaita viongozi wetu wapuuzi, kwa hili kila muislam atasimama kidete na kwa taarifa yako kaa ukielewa huu ndio msimamo wa waislamu wote, njoo misikitini utasikia mambo.
nyinyi si mnajifanya wajanja, kama nchi ni ya kwetu wote sasa tutagawana nusu kwa nusu kwa nini iwe kwa jinsia isiwe kwa dini. ya zanzibar waachie wazanzibari wenyewe kazi mnayo
 
Really? you are joking kwahiyo walipojazana serikalini na nafasi nyeti ni kwakuwa walisoma sana?

Kutokuwepo kwa jaji mkuu musilamu miaka 49 ya uhuru ni kwasababu hawajasoma

you can fool people sometime but not all the time.
Nyie ni watu w ajabu na kuhurumia sana juzi juzi humu JF mmeanza kutamba kuwa nafasi zote za juu zimeshikiliwa na waislam tena mkatuambia zile nyeti sasa leo yamekuwa hayo tena. Kuna mmoja wnu akazitaja
Rais(Tz&Zan)
Makamu(Tz&Zan)
Jaji Mkuu
Wizara ya Fedha
Mambo ya Ndani
Wizara ya Nje
Wizara ya Ulinzi na JKT
et al....

Sasa leo uonevu unatoka wapi mnajiona wanyonge nyie wenyewe poleni hatuna msaada zaidi mlie na viongozi wenu.
 
Kama waislamu wangelijua wao sio adui wa ukristu sijiu wangelifanya nini. Mimi naamini adui wa ukristu ni groups kama freemasons, illuminati, mafia etc. Haya magroup ni hatari kwasababu yanaweza kupenyeza watu ndani ya system za kikristu na taratibu kuanza kuingiza mafundisho yao yenye lengo la kupotosha.

Ndio maana wakristu mara nyingi wanawasikiliza hawa wapuyukaji na kuwaacha kama hawawasikii maana hawajui wanalolifanya.
 
HOLLY MOLLY........ Yaani Siamini huuu Upuuzi, hapa hakuna hoja.... Sasa kama wabunge wanachaguliwa na wananchi Je tuwape viti maalumu waislamu ili namba zao ziongezeke? This is rubbish naomba waislamu wenye akili zao wawapinge hawa mazuzu sababu they give muslims a bad name.

usivishe watu vilembe wewe kijana, suala ni hivi yeyote aliye muislam yuko timamu hata kama akili zako hazikupi hivyo kwa hiyo huwezi kumpiga muislam mmoja alafu mwengine akafurahi labda mkute muislam poa ambaye hata sisi hatuna haja naye. hapa ni nusu kwa nusu na hili ni given iwapo katika hii mpya itasimama, si mmeanza na sisi tunafuata..
 
Nadhani sio suala la nusu kwa nusu, maana hakuna dini mbili tu hapa Tanzania. Labda tutafute dini zote zilizopo Tz na kugawanya uwakilishi. Baadaye wakristo nao wataanza kulalama wakatoliki wengi kuliko waprotestanti. Waislamu nao watasema Sunni wengi zaidi.

Nani kakwambia ukisikia mtu anaitwa John basi ni mkristo au Mohamed ni mwislamu? Dini ni siri ya mtu. Watu wana majina mazuri yanayowakilisha mitume wa dini zetu lakini utasikia hajaingia kanisani au msikitini zaidi ya miaka kadhaa, sasa huyo utamwita muumini?

hebu tufikirie zaidi ya dini? Umaskini tulionao hautokani na mimi kutokuwa mkristo au mwislamu. Tuna nafasi sawa za kukopa benki, tuna nafasi sawa za kwenda shule, mitihani inasahihishwa bila kujali huyu mhindi au mkristo, hata za kupiga na kuhesabu kura.

Lakini kuna wakati tuwe wakweli jamani. Kwa wenzetu ambao mlikuwa mnasomea degree ya pili au phd kulikuwa na mgawanyo gani wa dini? Ukigeuka kulia, kushoto, mbele na nyuma kulikuwa na mtu wa dini gani? Usijali kuhusu kabila maana lazima mchaga alikuwepo. Nahisi labda ingesaidia kama dini zote zingepigwa marufuku.
 
Viongozi wa nchi ni Raisi na makamu wake, Jaji Mkuu, Spika na Waziri Mkuu. Je hali ikoje sasa hivi mpaka waone hakuna usawa. Kama hakuna usawa ni upande gani?
JMT
Raisi - Muisilamu
Makamu - Muisiliamu
Jaji Mkuu - Muisilam
Spika - Mkristo
Waziri Mkuu - Mkristo

ZANZIBAR:
Raisi - Muisilamu
Makamu wa Kwanza - Muisilamu
Makamu wa Pili _ Muisilamu
Jaji Kiongozi - Muisilamu
Spika - Muisilamu
Hao ni mazuzu hata ukiwafanyia nini hawataacha kulalama! Wanaambiwa wasome wanaleta uswahili tu, wanatoa majibu rahisi kwa maswali magumu!
Watataka wakristo wawachangie uendeshaji wa mahakama ya kadhi sasa hivi nyie ngojeni muone!
 
unadiriki vipi kuwaita viongozi wetu wapuuzi, kwa hili kila muislam atasimama kidete na kwa taarifa yako kaa ukielewa huu ndio msimamo wa waislamu wote, njoo misikitini utasikia mambo.
nyinyi si mnajifanya wajanja, kama nchi ni ya kwetu wote sasa tutagawana nusu kwa nusu kwa nini iwe kwa jinsia isiwe kwa dini. ya zanzibar waachie wazanzibari wenyewe kazi mnayo
Tena wewe ndio mpuuzi kuliko wote hapa nipo rafiki zangu Halima, Ali na Zuberi... hawakubaliani kabisa na huu upuuzi.... kwa hiyo wewe unataka viwepo viti maalumu vya waislamu, kweli wewe mdomo wako una kasi kuliko akili zako....., hapa rafiki yangu Rasta anasema Je na yeye atapata asilimia ngapi kwenye hii nusu kwa nusu
UPUUZI IS WHAT MPUUZI DOES
 
Back
Top Bottom