Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 481
Naam nami nakutakia kila kheri katika uchaguzi wa chama cha mafisadi. Mungu awape nguvu ua kuvumila yote.kapige kura Mangi uongeze ruzuku ya NGO ya home bana (Chaga Development Manifesto)
Naam nami nakutakia kila kheri katika uchaguzi wa chama cha mafisadi. Mungu awape nguvu ua kuvumila yote.kapige kura Mangi uongeze ruzuku ya NGO ya home bana (Chaga Development Manifesto)
Mwinyi anamfagilia Jk, ila anasoma, inaonekana kama huo ujumbe kaandaliwa maana anausoma!!!!!!!!,
Warioba na Mkapa watakuwa wamebembelezwa na kupigiwa magoti mpaka kufika pale. At least wamefikisha ujumbe wao kwa kukaa kimya na kujitenga na JK ili atakaposhindwa kwa kishindo, iwe aibu yake yeye, Salma na Ridhiwan.
Nimeongea na bibi yangu mida tu, ataipigia kura CHADEMA kesho -kwa mara ya kwanza kabisa!!
Ngoja niweke MTV Base nijiliwaze...... ITV wameelekea Jangwani GHAFLA...
Naona mzee mwinyi anashusha heshima yake, anatudanganya kikwete katimiza 95% ya ahadi zake
Mgombea mwenza msomi amehitimisha kwa kujiamini kuwa sasa yupo tayari kuchukua kazi kumsaidia rais, natamani kauli kama hii ingekuwa inatoka kwa std seveni nione konfidensi yake.