kutoka jikoni 'live' TAZARA mbeya abiria waandamana.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
kisa ni ratiba ya garimoshi kutokueleweka. ilikuwa ikijulikana kabla kuwa garimoshi lla 'ordinary' lingepita jana jumapili, jioni saa 1, lakini wamekesha hapo na hakuna garimoshi. wanaambiwa eti kuna ajali imetokea behewa limeanguka huko mbele. watu wanataka chao, i mean nauli. ni vurugu.

wapi mwakyembe, dr.

mwenye simu yake ampigie amuambie.

nitawapa update.

source ni mimi mwenyewe nipo tabata.

update
=====
abiria wanachukua nauli; wengine wanakomaa. sa sijajua kati ya wanaochukua nauli na wanaokomaa nani chadema. stella matomato atatujuza.

ila hii hali siyo nzuri katika nchi yetu.
 
Haya na hili utasikia nyuma ya maandamano wapo chadema,,,mpenda ujiko mwakyebe nenda kazomwe huko mby,,,nchi imewshinda tokeni madarakani.
 
Thanks for update bro. Hii TAZARA sisi imetukuza hii hivyo tunaiheshimu sana. Tunaomba wahusika wafanye mabadiriko mapema sana ili huduma iwe bora kama zamani zile.
 
Chezea kwingine sio Mbeya wale wananchi wanajijua wenyewe huwezi dhulumu haki yao si jadi yao kusema ndio mzee
 
Stella Manyanya yupo maana hachelewi kusema kuwa kuna watu walipita na magwanda kuwahamasisha hao abiria wagome.
 
Stella Manyanya yupo maana hachelewi kusema kuwa kuna watu walipita na magwanda kuwahamasisha hao abiria wagome.
 
kisa ni ratiba ya garimoshi kutokueleweka. ilikuwa ikijulikana kabla kuwa garimoshi lla 'ordinary' lingepita jana jumapili, jioni saa 1, lakini wamekesha hapo na hakuna garimoshi. wanaambiwa eti kuna ajali imetokea behewa limeanguka huko mbele. watu wanataka chao, i mean nauli. ni vurugu.

wapi mwakyembe, dr.

mwenye simu yake ampigie amuambie.

nitawapa update.

source ni mimi mwenyewe nipo tabata.

update
=====
abiria wanachukua nauli; wengine wanakomaa. sa sijajua kati ya wanaochukua nauli na wanaokomaa nani chadema. stella matomato atatujuza.

ila hii hali siyo nzuri katika nchi yetu.

Taarifa niliyonayo sasa hivi ni kwamba garimoshi inatarajia kufika hapa Mbeya leo saa tano usiku. Baadhi ya abiria bado wanaendelea kuisubiri.
 
Back
Top Bottom