Kutoka ITV: Mjadala kuhusu DOWANS; wachangiaji wataka maandamano nchi nzima

Maandamano yanatumika pale sheria ilipovunjwa. Je! DOWANS wamekosea kuvunja sheria???.
 
jamani wana jamvi

nawaomba wanaharakati,wasomi,wanafunzi wa chuo na wananchi wa vyuo wakiwemo wana harakati watusaidie kuanda vibali au talatibu za kuanda maandamano ya amani kupinga tamko la mahakama la kulipa dowans.natamani baada ya kupata vibali mtutaalifu ni lini watu tukutane tuingie barabarani maana hakuna jinsi

naomba hata viongozi wa dini zote tuungane,viongozi wa vyama vya upinzani muwe pamoja nasisi katika kufanyikisha hili mimi nipo tayari wewe je?

Ananilea Nkya ameongea hayo maneno yan huyu mama is very strong, i like her arguments.
 
Mkinga alishaga Kengeuka!Dunia ya leo si ya kuongea kwa Jazba hadi kwenye Luninga!
 
Mwita25 we mrisha kaoshe glass ulale waache watz wapenda nchi yao wajadili mambo ya msingi kwa taifa.
 
Suala hili likirudi bungeni bunge litageuka uwanja wa vita na serikali ndio mwisho wake!
 
Maandamano yanatumika pale sheria ilipovunjwa. Je! DOWANS wamekosea kuvunja sheria???.

kaka upo ulimwengu gani?
Dowans wamevunja sheria...
Kwanza kuingia mikitaba ya wizi kimya kimya
pili mchakato uliotumika kuanda mkataba ni haramu
tatu ......kaka ninajaziba siwezi kuendelea kukujibu.we ni nani kwanza maana tutaanza kujuana maana dowans mnajificha sasa we ngoja
 
kaka upo ulimwengu gani?
Dowans wamevunja sheria...
Kwanza kuingia mikitaba ya wizi kimya kimya
pili mchakato uliotumika kuanda mkataba ni haramu
tatu ......kaka ninajaziba siwezi kuendelea kukujibu.we ni nani kwanza maana tutaanza kujuana maana dowans mnajificha sasa we ngoja

Mkuu pamoja na kwamba siungi mkono malipo hayo lakini pia sioni DOWANS wamevunja sheria gani. Kama wangevunja sheria basi mahakama isingebariki hayo malipo. Tatizo si la DOWANS tatizo ni la viongozi wetu walioingia mkataba mbovu ambao kisheria una nguvu.
 
Hivi ni lini tutaingia barabarani na mitaani kote kwajili ya kuandamana?
Hamna wa kutuzuia sema ni woga wetu tu!

Police wanapewa/wana nn mpaka watii amri ya mkuu wao?(Je, ni nyumba za fullsuti wanazoishia au mishahara uchwara wanayopewa? Na watasema ndiyo afande mapaka lini ilhari hanapumlia mashine kuwasomesha watoto wao kwenye shule tena za Kayumba? Polisi hawataki mabadiliko au wanatii amri tu kwa sababu ahmna mwanzirishi wa maandamano?

JWTZ ni rahis sana kuwateka coz naamini wapo strong n they know watz behind CCM, wapo tiali kumuunga mkono kamanda wo Waitara mura ambaye hakuwa tayali kuendana na ****** kichwa empty zero brain mzee wa kuhongwa Suti!

Aaaaaaagh aaaaaaaagh aaaaaaaaaagh let's go fight for our real. Freedom!
 
Back
Top Bottom