Kutoka Dodoma!

FMES,



..hilo tukio lilikuwa recorded anywhere? manaake camera huwa zinapeleka images kwenye studio. kule kwenye studio ndipo RECORDING inapofanyika. sasa kuna yeyote aliye-press "record."

Mkuu naelekea kufikiri kuwa Ku-press "PLAY" ndo-shuguli nzito! je hizo CCTV footage/Video Rec. hazijawa 'Doctored' kweli???
Alafu naomba kuuliza: ukiachilia spika wa Bunge na wasaidizi wake,hivi wabunge wana utaratibu maalumu wa ukaaji ndani ya bunge?? je Dk.Mwakyembe anakiti chake maalum??
Msaada kwenye tuta jamani.
 
Mwanyika kukalia kiti chake baada ya yeye amekuwa kama zezeta anasoma haelewi anaambiwa hasikiii na sasa aliona anaweza kufanya zali kule jumbani

Jamaa according to the dataz ni uwt, kumbe na yeye kuna deal nyingi ndogo ndogo ambazo amewahi kukatiwa mpango hata kabla hajawa ag, na pia kwenye hili deal inasemekana kuwa amekatiwa, kwa sababu kisheria yeye ndiye aliyetakiwa kuwa mstari wa mbele sasa hivi kudai sheria imevunjwa, lakini ndio kwanza najivuta vuta,

Sasa subiri tuone majibu ya Pinda, maana nasikia huko ndani kunawaka moto, waliokula wote wanahaha, kinachosikitisha hapa ni how sisi as a nation tuliweza kuwa na Waziri Mkuu mjinga mjinga kama Lowassa? The man is so arrogant nasikia ilifikia mahali alikuwa ani-run serikali kama Kingdom yake vile, yaaani nasikia viongozi wetu watu wazima na akili zao wenye wake nyumbani na watoto walikuwa wakimsujudia huyu fisadi, how? na WHY?

Wakuu kwa kweli inasikitisha sana kusikia ambayo hayajasemwa hadharani kuhusiana na huyu mkuu, yaani ndani ya bunge mkuu alikuwa akibadili wabunge kina mama kama nguo, ambao wote walilia sana ile siku, halafu eti anasema kuwa hakutegemea kuwa hawa wabunge wajinga wajinga wangeweza kumuondoa? Unajua wakuu ninaomba mzitafute dataz za huyu mkuu yaaani ni aibu hata kuitwa m-Tanzania!
 
hahahahaaaaaaaaaa... si ndio yule aliyekuwa na jeuri ya kusema hawezi kujiuzulu uwaziri wa miundombinu na uteizi wake wa uwaziri wakamuulize JK, jumbe ni jeuri ya tatu nane.... kwisha habari.........
 
Mwanyika kukalia kiti chake baada ya yeye amekuwa kama zezeta anasoma haelewi anaambiwa hasikiii na sasa aliona anaweza kufanya zali kule jumbani

Mkuu ndani ya bunge kuna utaratibu wa kila mbunge kukaa sehemu ile ile kila siku, either hupangiwa na Spika, au wanaweza kuomba rasmi kwa Spika, Mawaziri hukaa sehemu yao maalum, na kunapokuwa na hoja nzito against serikali, wao hujifanya kama vile sio wa-Tanzania wenzetu,

Kwenye hizi video za siku ya lowassa kuna wakati, Msabaha alirushiwa mawe kiroho mbaya sana na mbunge wa Chadema, Anna Komu, sasa Dr. Husein Mwinyi, akashindwa kuvumilia na kuanza kumcheka Msabaha, ambaye aligeuka na kumuona kwa ghafla, mkulu akauwa lakini ni aibuu!
 
Mkuu ES
What I know na nimeshuhusia baadhi ya vi note ni kwamba from the start JK alimtaka mtoto wa Mkulima yaani Pinda .Mtandao ukasema kwa ukali kwaba hata hujaanza kazi unatak kutumwaga ? Wakamwambia kama maongezi yalivyo kuwa kabla ya chakula mezani we want to see Ndanda Kosovo( Lowasa) your PM .JK akawa hana namna na aka heed the call .SO ndanda ni mafia na alijua how to manipulate ila akakosea kwenye richmondoli .

Ndanda hakutaka kujiuzuru na pale Bungeni alitishia toto kwa kuamini kwamba never happened before kwa waziri Mkuu Tanzania kuondoka kwa mazingira yale na akaamini waumini wake ndani Bunge na Chama watamsimamia kumbe akawa kakosea hesabu .

Kwa nguvu zile zile na ushawishi ule ule kuna very mounting evidence kwamba wakuu wa mikoa 2 kuto kwenda kwa Pinda akiwa huko ni kazi yake na ndiyo mana Pinda wa bitter ila anaujua ukweli kwa kuwa bado ni UWT senior .
 
Mkandara

sisi wenda hua si wagunduzi kwa sababu kitu tukikiona cha staajabisha tunakita imani.

UCHAWI si imani Ni sayansi ambayo bado tafiti zake hazijatoa majibu hii ni kutokana na Techonojia tuliyonayo hajikomaa ila theory zipo za kutosha,Ni kama vile theory za fibre optics zilikuwepo karne nyingi ila implementation ilikua ngumu kutokana na technolojia wakati huo haijakomaa.

kifupi.
electrons hua zinaishi kwenye valency band ktk maada yoyote lakini hiyo maada ukiipa energy mfano mwanga,moto,chemical(uchawi,kemia) hua electorn inaruka na kwenda kwenye condunction band,sasa basi electorn ikipoteza hiyo energy inaanguka kutoka conduction hadi valency band na nguvu iliyopotea inapaa hewani kama photons.

Na kwa vile electrons hua zinatofautiana energy vivyo hivyo photons hewani zitatofautiana energy na hii energy ndio ina characterize masafa (frequency) yake ,sasa basi hili bando la photons lililo na energy tofautitofauti huitwa spectrums,Na photon zenye energy kubwa ndizo zina frequency kubwa kumbe basi spectrum sio continuous bali discrete.

Sasa basi ktk bando hili la photons(spectrum) wanasansi ambacho wameshaona ni-
1.Radio wave 0.3-3KHz ambazo ndio masikio ya mtu yanaweza sikia,hivyo electron yoyote iliyo ktk masafa hayo masikio ya mtu yanausikia mwendo huo.

2.microwave 3-300kHz electrons iliyo ktk masafa hayo inaweza kuchemsha maji .hapa watu wengi hujiuliza kwanini ukiweka chakula kwenye microwave ni chakula tu ndio kina pata joto walakini chombo hakipati joto.kumbuka michrowave inachemsha maji tu kumbe chakula kinachemka kwa sababu kina majimaji.
3.Light 3-30GHz electrons ktk masafa hayo inatoa mwanga ambao macho ya binadamu unaweza kuyaona.
4.infrared
5.ultraviolet
6.x-ray 30-300PHz hii inaweza penyeza kwenye nyama na ndio elecrons zilizo ktk mwendo huo hua zinatumika kule hospitali kupiga x ray
7.gamma ray 30-300 EHz

Sasa basi Wataalamu wa jadi hua wanatumia chemical means (kuchanganya miti,nyama ya mtu,ubongo wa mtu)kuzirusha electrons ambazo hua zinapaa ktk spectrums with very specific frequency ambazo hazipo hapo juu Na

zinakua ktk makundi mawili 1. kuyahadaa macho na akili ya binadamu yani hizi photons zikigonga akili na macho kinafanyika modulation yani signal inahamisha frequency iliyozoa macho ama akili ndio maana badala ya mtu unaweza ona mbuzi badala ya karatasi unaweza ona fedha(mazingaombwe) mfano mtu akikupiga ngumi vizuri ktk macho unaweza ona shimo refu sehemu iliyotambalale,kumbe hii ni energy aliyo apply ktk macho ni sawasawa tu na energy ya electrons ila tofauti ziko ktk form tofauti ya energy moja ni mechanical nyingine ni electromagenet.

2.Ni hiyo ya kudhuru ambayo unaiua cell za binadamu kama ilivyo tu neuclear,x-ray ama gamma-ray.

Na kumbuka kila kitu cha moto kinatoa (emmit) microwave ndio maana upo unajotojoto na kila mwili unakua ktk resonance frequency fulani sasa mtaalamu(mchawi) anaweza kukutrace sehemu yoyote ulipo yani anachukua band yote ya microwave anaifanyia kitu kinaitwa filtering anaipeleka kwenye kitu kinaitwa matched filter anakupata.Hii matched filter kazi yake na kucompare signal inayoingia na reference aliyo nayo.

Hii reference signal anakua nayo anakua ameichukua mapema physically kutoka kwako ndio maana kuna kamsemo wanasema mlozi hawezi loga mtu asiye mjua maana anakua hana reference signal.Hii technologia nadhani hata akina bush wanatumia kuwatafuta akina Ossama.

Hizi ni theory zangu risechi sijaiweza maana wachawi hawataki kutoa ushirikiano.
Samahani kwa kuvamia maada.
 
Mkuu "Hollo",

It is about time sasa unahitaji kusubiri kwanza kabla hujakurupuka, maana this is very humiliating, kama sio aibu kwa mtu mzima, maana hapa sasa watu wote wenye akili timamu wanajua kuwa wewe ni nani kama nilivyosema mwanzoni kuwa unageuza hii JF kuwa ni kama mahali pa watoto wadogo, wakati sisi wote ni watu wazima, sasa ona mkuu aliyesema mambo ya ushirkina ni Spika wa Bunge letu la taifa, sasa kama wewe ni mstaarabu kama unavyotaka hii forum ikuamini basi ukishikwa pabaya kama hapa ukubali hadharani kuwa umekurupuka, badala ya kuwa kimyaaa!

utabadili majina mpaka utachoka lakini nilikuambia mkuu kuwa sisi huwa tunasafishwa na ukweli tu, na tutadumu sana hapa JF na mahali popote tulipo kwa sababu siku zote huwa tunaongozwa na ukweli, na sio chuki za binafsi, majungu wala uzandiki, ninarudia tena kuwa ni wenye ukweli, facts na hoja nzito ndio watadumu sana hapa JF!

Ahsante Mkuu!

Maneno mazito hayo, waropokaji wote wamekimbia moto hapa ni mkali.

Sasa subiri tuone majibu ya Pinda, maana nasikia huko ndani kunawaka moto, waliokula wote wanahaha, kinachosikitisha hapa ni how sisi as a nation tuliweza kuwa na Waziri Mkuu mjinga mjinga kama Lowassa? The man is so arrogant nasikia ilifikia mahali alikuwa ani-run serikali kama Kingdom yake vile, yaaani nasikia viongozi wetu watu wazima na akili zao wenye wake nyumbani na watoto walikuwa wakimsujudia huyu fisadi, how? na WHY?

Wakati umefika kwa bunge kubadili sheria ya masurufu ya wale ambao wamekuwa mawaziri wakuu, haiwezekani mwizi kama EL aendelee kutafuna pesa ya walipa kodi pamoja na wizi mkubwa alioufanya na kulihujumu taifa.
 
sio kama nataka kushabikia ULOZI aka UCHAWI ila nataka kusema kuwa binafsi naamini ulozi upo na unafanya kazi kikweli, isipokuwa mtu mwenye akili timamu huwezi kufanya mambo hayo ya kijinga na ndo mana wengi kama si wote wa vongozi wetu wamezoea ulozi kiasi kwamba hata akili hazifanyi kazi tena wanaishia kujitetea kwa kujibu tuhuma nzito eti uongo.... uongo...... uongo.....uongo.... ooh mi sihusiki nimesingiziwa.... ooh I will grant your wish.... ooo ni magazeti ya udaku.... this foolish kabisa
 
Ukweli ni kwamba Lowassa, alikuwa anataka kugombea urais lakini akaamua kutumia common sense kuwa ilikuwa ni zamu ya Mu-Islam isingewezekana yeye kuingia, hivyo aka-make a deal na muungwana, kuwa amuachie na yeye atakuja kumuachia,

From what I know sasa, ni kwamba muungwana hakutaka kumpa u-PM el, Pinda naamini kuwa alikuwa chagua la the brass wa CCM na muungwana alikuwa down, lakini ni ra ndiye aliyeamua, kwa sababu betweeen muungwana na el, rafiki wa karibu zaidi wa ra ni el , kwa sababu nafasi ya pm ilikuwa imekubaliwa mapema kuwa ni ya six, na spika ilikuwa awe akukweti(RIP), dakika ya mwisho ni ra ndiye aliyemuambia akukweti amuachie six uspika, atapewa uwaziri, six hakuridhika hivyo kukawa na uhasama mkubwa kati ya el na six,

Anyways, sasa kivumbi kinakuja ninasema kwa mara ya kwanza ninaamini muungwana will have a hard time kupata term ya pili, unless awateme mtandao wote, ambao wengi wao nasikia bado wako royal to el na ra, kuliko muungwana. Kinachonisikitisha tu ni kusikia kwamba eti hawa viongozi wetu hawakutegemea hata siku moja kuwa kuna siku wabunge na sisi wananchi tutaamka, it so bad kwamba hawakuwa wala wanajali kuficha nyendo za ufisadi zao, yaani nasikia uko wazi kabisaa ni sasa tu ndio wanajaribu kuwapa wanaohusika mapesa mengi sana ili wafunike bakuli la mfalme, lakini hawakuhi kabisa kuficha wizi wao, believing kuwa hatutakuja kugundua hata siku moja kwa sababu watalindana.
 
Dah,

ES hizi umezinyaka pia? Basi nimekukubali. I had em by me. Ni kweli uliyoandika. Just to comment on!

Sasa wakishasoma JF watabadilisha maamuzi...?

Sasa kwanini wewe hukuzileta wa kwanza Mkuu.

Usitubaniee wewe weka tuu hapa hela za kukutoa rumande tunazo na itafikia muda sasa tutawabadilishia kibao. Mimi naamini kwa elimu yangu na uwezo wangu wa kuhoji mambo nauhakika kila linalowekwa humu ndani kuhusiana na MASLAHI YA TAIFA YAMELETA MATOKEO 100% KWA NCHI NZIMA HASA KWA WALE AMBAO TULIKUWA HATUJUI KINACHOENDELEA na wale wenzangu na Mimi Wabunge wetu wasiojua basi hapa ndio DESA LAO kama nasema uongo wajitokeze wabishe.

MUNGU IBARIKI JF
 
Yawezekana mkapa alihudhuria kikao ili naye akanyunyizie viti vya wabaya wake! Hopefully hakupata mwanya huo!
 
Field Marshall ES said:
Mkuu Steve D,

Heshima mbele kwa kujaribu kumsaidia ndugu Mtanzania mwenzetu ili naye aelewe, ingawa bado sio rahisi lakini dawa ni kama ulivyofanya, yaaani kuchapa bakora!
Hivi kwa akili yako nilikuwa sijaelewa au?sasa Steve alikuwa ananisaidia kwa ushauri na wewe unasema kanichapa bakora!hivi wewe una matatizo gani lakini?any way siyo tatizo lako!
thanx!
Hollo
 
Kwa sasa wanakazana sana wananchi wa vijijini wasije amka na wale wanao enda shule za kata kubakia waliko wasije mjini wakasoma JF na kurudi kuwapa shule wa kule kijijini .

Hata viongozi na watu walio kuwa waaminifu wa Chama sasa wanaona CCM ni genge na kwa kuwa RA na EL wana timu nzito dhidi ya JK hapa patamu .Mwaka huu ni mzito sana na utaisha kwa maajabu mengi .It is too late to press a control button.The button is hot and untouchable .

Makundi yale ambayo walidhani yameisha sasa yanaanza kuonekana kwa kasi ya ajabu na lazima kitaeleweka tu .Uchaguzi wa CCM na hasa kuwapata wabunge mwaka 2010 ni mgumu na CCM wamesha jua kwamba wana JF wanaanza kampeni ya kueneza haki ya kuchagua so inawapa taabu sana .

Wanajiandaa sasa kuinunua JF .Wazee huko jikoni haya tunayasema wazi .Walianza na Ansbert wakamkosa , wakaja kwa Mwanakijiji akawatamkia kwamba hana bei , wakaanza kumtafuta Kishoka akajitokeza wakarudi nyuma, wanamtafuta Lunyungu nami nasema mbona niko nanyi ofisini kila mara ? Wanamchukia na kutaka kumjua Bubu atala kusema na wakulu wengine hapa kisa wanamwaga nyeti mno .

Mkuu ES malizia list ya wanao tafutwa maana kwa jinsi ninavyo kujua nawe unayo hiyo list ya wanao tafutwa .
 
FMES, ahsante sana kwa kazi nzuri!! Na wewe uwe makini huko, wasijekukunyunyizia! Mungu anasikia sauti ya watanzania sasa! Tukaze uzi
 
FMES, ahsante sana kwa kazi nzuri!! Na wewe uwe makini huko, wasijekukunyunyizia! Mungu anasikia sauti ya watanzania sasa! Tukaze uzi

Mkuu

heshima mbele, I know maana juzi usiku muungwana likuwa anafoka kama kifutu kuwa JF tunapata wapi hizi nyeti.........kwamba Kenya wamesoma bajeti yetu kabla haijatangazwa? Ikulu kuliwaka moto!, well somebody got to do it for the sake of our people na our beloved nation, ila nimekusikia mkuu maneno mazito sana hayo.

Lunyungu,

Check yr pm.
 
I cant wait to see Chenge going back to bariadi in a motorcade!!!!!!!!!!!! Haya wanabariadi jiandae kumpokea shujaa wenu. Safari hii atachinja ng'ombe zaidi! Maskini Chenge, sasa hata SFO nao atawafanyizia?
 
Baada ya kusoma posts hizi zoote, mie naamini Balali kweli alikolimbiwa. Kama hawa jamaa wanahaha namna hii, mpaka kuleta ``sayansi`` waziwazi je huko alikokalibishwa Balali ktk sherehe si waliweza kunyunyuzia kiurahisi tu
 
Back
Top Bottom