Kutoka Dodoma!

Of course, naomba kuwasisitiza wana JF kufikiria mbali zaidi. Hakuna uchawi, kuna kitu inatumiwa na inaua taratibu na mwisho mlengwa anakuwa ndio hivyo tena.

Tatizo kubwa ni kuwa sidhani kama kuna wataalam wa kuigundua hii kitu ikitokea imetumiwa na watumiaji wa kitu hii kutekeleza azma zao naamini wanajulikana japo yawezekana wanalindwa. Ni watu hatari kwa taifa letu na wa kuepukwa kwa nguvu zote. Wale wanaodhani hilo halipo Bongo basi niwahakikishie LIPO na tena wanajitahidi kuhakikisha watu mnaamini kuwa ni uchawi tu na ikiwezekana kukatokea lolote msahaulishwe na walengwa wawe wanaishia taratibu tu.

Beware!
Kama DR Mwakyembe ishamuingia sasa si siku zake zinahesabika? hii biashara si kapelekwa Dar kwa uchunguzi tutasikia anapelekwa South Africa alafu yanakuja mengine. Huyu Andrea vijisenti kachukua na roho za baba wa watoto watu
 
Of course, naomba kuwasisitiza wana JF kufikiria mbali zaidi. Hakuna uchawi, kuna kitu inatumiwa na inaua taratibu na mwisho mlengwa anakuwa ndio hivyo tena.

Tatizo kubwa ni kuwa sidhani kama kuna wataalam wa kuigundua hii kitu ikitokea imetumiwa na watumiaji wa kitu hii kutekeleza azma zao naamini wanajulikana japo yawezekana wanalindwa. Ni watu hatari kwa taifa letu na wa kuepukwa kwa nguvu zote. Wale wanaodhani hilo halipo Bongo basi niwahakikishie LIPO na tena wanajitahidi kuhakikisha watu mnaamini kuwa ni uchawi tu na ikiwezekana kukatokea lolote msahaulishwe na walengwa wawe wanaishia taratibu tu.

Beware!

Invisible....Kama ni hivyo..Then inaaNza kuniigia akilini.

Na kama nihivyo tatizo ni kubwa kuliko tunvyofikiri.

Nilijiuliza maswali:

1. Kwanini Mbunge Muhusika asinge mlipa mtu ili afanyehiyo kazi?
2. Kwa nini Arisk kamera AND all those things kuingia na kufanya mwenyewe?

Now:

Gradualy some light is comming out....THE SUBSTANCE was safely handeled by himself!

Kama ndio hivyo tumefika mbali.

Na DR MWAKYEMBE ASIICHULIII HII ISSUE KIMZAHA.
 
Sawa uchawi upo maana hata biblia inakiri hivyo. Lakini kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti tunavunja nguvu ya matunguli au kila aina ya madawa ya uovu ili kuendeleza mtandao wa ufisadi. Tunaamini Mungu yupo upande wetu na mwisho tuta rise tukiwa washindi.

Na sie wenye imani za kiafrika tutaweza kuukemea uchawi kwa jina gani?
Naona mwenzangu wewe mwenye dini ya kizungu umemtumia mnazareti......
 
Muhusika alionwa kwenye camera akiweka hivyo vitu!sasa kwa nni hatua yeyote haikuchukuliwa?kwa mfano hata kujua chemistry ya hivyo vitu vinavyosemwa kunyunyizwa!ok leo tunaambiwa kahojiwa police sasa inasaidia nini?kama hawajui hata vitu vilivyonyunyizwa ni nini?Hainiingii akilini kwa kweli!
 
Shukrani Mkuu FMES kwa datazz na yaliyojiri huko Dodoma. Swali....hivi ni kwanini tunawaachia kikundi cha maharamia wachache...RA, AC, EL, YM na wengineo wasio na mapenzi ya dhati na nchi yetu...kuendelea kufanya 'madudu' ya ajabu na nchi yetu tukufu....kama viongozi na serikali yao....hawatawadhibiti...then sitashangaa...'wenyenchi' wakichukua sheria mkononi!

Mkuu Heshima mbele, according to the dataz kuna mengi yaliyojiri na yanayoendelea kujiri:-

1. Wahusika wote wa Richimonduli wameitwa tena kwenda kujibu maswali kwa Taukukuru, ikiwa ni part ya uchunguzi wa kamati ya Pinda, kabla ya kurudi kwa bunge on ile miezi mitatu.

2. The dataz ni kwamba Hosea kutemwa, lakini AG kubaki, behind the scene kuna ambao kamati inataka wafikishwe mahakamani, lakini el na kundi lake wanamwaga hela sana ili hayo yasifanyike, lakini muamuzi ni Pinda, ambaye wabunge wameshamuonya kuwa asipokuja na majibu sahihi huenda na yeye akaondolewa kwa muswaaada maalum.

3. el alionywa mapema sana na tinga2 kuwa hili soo la Richimonduli halitaisha hivi hivi, akaambiwa aunde kamati yake itakayosema ukweli wazi na ahusishe wabunge, lakini mkulu akagoma na kwenda kwa muuungwana kumshitaki kuwa ndiye anayeleta choko choko za hiii ishu, el alipotoka tu muungwana akambonyeza mukulu kila kitu el alichosema, ndipo moto ulipoanzia lakini according to the dataz the whole thing ya Richimonduli comes down to mtoto wa el anayeitwa Federick na Msomali anayeitwa Gire, nasikia kamati haielewi cha kufanya na huyu mtoto ambaye sio kiongozi wa taifa!

4. According to the dataz ni kwamba muungwana aliambiwa mapema kuwa hii deal ni bomu, lakini akawakabidhi uwt ambako ag wa sasa na mstaafu wa idara, ambao wote ni wa huko idara, ndio waloukuwa wakimchezea muungwana na kumpa info za uongo, sasa deal likaja kubumburuka kwa vile Mwakyembe naye ni idara pia, na hasa kushindwa kwa Richimonduli ku-deliver!

Sasa hivi kuna juhudi kubwa sana za kujaribu kui-divert ishu ya EPA na Kiwira, lakini wabunge wetu wanajaribu kuwa makini sana ili wasipoteze focus!
Wakuu tunaendelea kuzifuatilia, zikipatikana tutahabarishana kama kawa, JF mbele alyways one step ahead!

Ahsante Wakuu Ngoja Nirudi Kwenye Post ya kuzi-monitor huko Dodoma!
 
Dah,

ES hizi umezinyaka pia? Basi nimekukubali. I had em by me. Ni kweli uliyoandika. Just to comment on!

Sasa wakishasoma JF watabadilisha maamuzi...?
 
Na DR MWAKYEMBE ASIICHULIII HII ISSUE KIMZAHA.

Mpaka jana jioni mjini Dodoma, hii ishu kwa ujumla ilikuwa ni mzaha na kichekesho, lakini sio leo hakuna mbunge wala kiongozi hata mmoja huko leo anayecheka tena.

Ninasema kuwa hatimaye mafisadi wameshikwa pabaya, maana haya yote sio tena as susal politics, nimeongea na wabunge wengi leo wasiotaka mchezo na wenye uchungu na taifa, walikuwa very tense na emotional, kwamba pole pole tunaanza kukaribia kulikomboa taifa, lakini nikawakumbusha kuwa bado tuko mbali sana hilo.

Cha muhimu hapa ni kumuombea Shujaa Mbunge Mwakyembe, awe safi na salimini.

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Mpaka jana jioni mjini Dodoma, hii ishu kwa ujumla ilikuwa ni mzaha na kichekesho, lakini sio leo hakuna mbunge wala kiongozi hata mmoja huko leo anayecheka tena.
Ni suala la kuchukulia makini zaidi na tena usalama wao kuimarishwa. Wabunge wakiumizwa kwa namna moja ama nyingine itabidi watanzania tufanye kila liwezekanalo kuwaepusha na mabalaa haya.

Binafsi kwakuwa najua nini kinaendelea siwezi kuchukulia mzaha suala kama hili. Hivi viti vya wabunge viko salama kiasi gani? Nani atavisafisha? Nini hatma yao? Upuuzi wa namna hii si wa kunyamaziwa, asiye na haya si wa kuonewa haya hata siku moja. Kama alijua kuna cameras akaamua liwalo na liwe basi si ajabu akishughulikiwa 'live' ili liwalo na liwe!

Kuna watu wanatakiwa kuwa mifano ili wengine wasirudie...
 
sawa mkuu tuhabarishe sisi tuko wazi kupokea dataz halafu tutaaanza kufanya unyambulifu yakinifu
 
ES hizi umezinyaka pia? Basi nimekukubali. I had em by me. Ni kweli uliyoandika. Just to comment on! Sasa wakishasoma JF watabadilisha maamuzi...?
Mkuu Wangu Invisible,

Heshima mbele kaka, vipi mambo yanaendeleaje mkuu, nitaku-buzzz soon, mkuu tumesema jana kuwa hatuna suluhu nao waamue kusuka au kunyoa, lakini hatuwezi kuwachezea,

Mkuu according to the dataz nilizonazo huyu el alikuwa amefika mbali sana na kulifanyia uhuni taifa letu, majuzi alisikika in private akisema kwa hasira sana kuwa hakutegemea kuwa hawa wabunge wapumbavu pumbavu wanaweza kumshusha cheo, anakubali kuwa aliwa-underestimate, sasa mkuu wangu hiyo inasema nini kuhusu sisi wananchi?

Kama mkuu aliamini kuwa wabunge wetu ni wajinga wajinga je sisi wananchi alikuwa anatuonaje na sasa je anatuona vipi? Ndugu zangu ni lazima tuwe macho, nasikia jamaa wanapiga hela kushoto na kulia ili hii ishu isije fika kwenye sheria, sasa ni wajibu wetu wote wananchi kujaribu anything kuwapa wabunge wetu nguvu ili wasimame imara!

Ashante Wakuuu!
 
Dk Mwakyembe ana afya njema na kwamba jana alizungumza naye akiwa na pamoja Spika wa Bunge Samuel Sitta ambaye aliwaaga jana kwenda safarini Dar es Salaam

Leo kutakuwa na more news kwenye magazeti yetu, lakini JF mbele na one step ahead!
 
.......... Ndugu zangu ni lazima tuwe macho, nasikia jamaa wanapiga hela kushoto na kulia ili hii ishu isije fika kwenye sheria, sasa ni wajibu wetu wote wananchi kujaribu anything kuwapa wabunge wetu nguvu ili wasimame imara!

Ashante Wakuuu!
Such a good comment either. Leo naona uko fit ile mbaya. Uzuri hii issue naona umeifuatilia vema na kwa karibu kabisa.

More credits to you!
 
Katika ya miaka ya tisini ofisi ya mkemia mkuu wa serikali ilipoteza takribani wataalamu watano katika vifo vyenyeutata na wakati uliokaribiana sana.
Wachunguzi wa mambo walihusisha vifo hivi na uingizaji wa chakula chenye sumu cha Mohamed enterprise. Hakuna uchunguzi wowote uliofanywa wala habari hizi kukanushwa au kudhibitika.

Nakumbuka mkemia mkuu (FUPI) wa wakati ule aliwahi kuwaambia watu wake wa karibu alipokwenda shauri tanga alihisi thin dust kwenye kitanda alicholalia. Kwani mara baada ya kulala hapo alianza kuugua kifua mwisho akafa. Wengine walipata ajali na wengine kufa ghafla.ila wote walikufa walihusika na upimaji wa viwango na utoaji majibu wa kontena zenye chakula za mohammed enterprise. Wakati mohamed anatafuta jinsi ya kutoa rushwa kwa Fupi, alijibiwa fedha yako haiwezi kunifikisha kwa Mungu.Fupi aliendelea hayuko tayari kuona wengi wanaumwa kwa fedha ya rushwa.

Tabia ya mafisadi kuuwa watu wanaotetea wanyonge au kuwatisha imekidhiri sana kwenye ile nchi.
Mimi naamini kabisa alichokuwa anafanya chenge sio uchawi bali aliweka sumu ya mauuaji, kama wapo wataalamu wazuri wa toxicology tanzania watagundua hilo. Ila imani zitapoteza kabisa ushahidi kwa kuamini ushirikina hapa ni uuwaji wa sumu.

Lazima kikundi hiki kidhibitiwe kwani huwa wanabaraka kutoka juu wakati mwingi.
Je atarudi tena mwanza kuwaambia wapiga kuraka na hili anaonewa wivu. Je CCM mkoa itatoa mapokezi ya nguvu shujaa wao mwizi, muuaji , mshirikna na aliyedhalilisha kwa kiwango kikubwa elimu yake na chuo maarufu duniani cha harvard.

Kikundi cha akina Rostam ni kikundi cha mafia sasa wanaanza kuonyesha makucha yao. Wanajambo tutafute ni wangapi wamekufa ili kunyamazishwa na wangapi wamefichwa ili kunyazishwa.
 
Field Marshall ES said:
el alionywa mapema sana na tinga2kuwa hili soo la Richimonduli halitaisha hivi hivi, akaambiwa aunde kamati yake itakayosema ukweli wazi na ahusishe wabunge, lakini mkulu akagoma na kwenda kwa muuungwana kumshitaki kuwa ndiye anayeleta choko choko za hiii ishu, el alipotoka tu muungwana akambonyeza mukulu kila kitu el alichosema, ndipo moto ulipoanzia lakini according to the dataz the whole thing ya Richimonduli comes down to mtoto wa el anayeitwa Federick na Msomali anayeitwa Gire, nasikia kamati haielewi cha kufanya na huyu mtoto ambaye sio kiongozi wa taifa!

FMES,

..EL na Tingax2 wamekosana lini tena? ninavyoelewa mimi Tingax2 ndiye aliyemuibuka EL toka AICC na kumpa uwaziri wa nchi ofisini kwa Tingax2.

..vijisenti alikuwa ana-handle vipi hivyo vimbwanga alivyokuwa akinyunyiza? manaake vitu hivyo ni hatari sana inabidi ujue jinsi ya kuvi-handle.

..usalama wa taifa, ama serikali nzima, wako ktk usingizi mzito sana. haiwezekani hivyo vimbwanga vikaingizwa nchini na kusafirishwa mpaka ktk jengo la bunge bila ya usalama wa taifa kuwa na habari.

..kama hili suala ni la kweli, na limegunduliwa na camera men waliokuwa eneo la tukio kwa bahati mbaya tu, basi ni aibu kubwa mno kwa taifa letu. upuuzi kama huu ulikuwa hautokei miaka ile ya Mzee Mzena na Afande Sawaya.

NB:

..hilo tukio lilikuwa recorded anywhere? manaake camera huwa zinapeleka images kwenye studio. kule kwenye studio ndipo RECORDING inapofanyika. sasa kuna yeyote aliye-press "record."
 
Wakuu,
Habari hii nzito sana na naikubali....
Ama kweli tumefikia mahala ambapo sasa Utamaduni wa sayansi ya mwafrika inachukua nafasi kubwa ya maisha yetu. Uchawi ni sayansi hiyo hiyo mnayoizungumzia isipokuwa haina vipimo vya maabala zetu isipokuwa hizo za makati za ufundi..
Hata huyo Moses alikuwa na nyanga zote kuweza kukabiliana na manyanga ya Pharaoh ambaye kama sii uchawi asingeweza kubadilisha mkongojo wake kuwa nyoka. Tukumbuke tu ndani ya uchawi hutanguliwa na mkulu fulani iwe Mungu ama Nyamuhanga au RA the Egyptian Sun God...kifupi wote wanatumia magical substances ambazo leo tunazipa majina ya kisayansi kutokana na powerful supernatural substances iwe zinatokana na mizizi, miti, madini ama ritually miili ya viumbe kama binadamu na kadhalika.
Sasa mchawi akichukua embryo stem cell na kuzifanyia kazi watu tunaona maajabu lakini madaktari wa Ulaya wakichukua vitu hivyo hivyo ili kuponya ugonjwa tunawaona wao ndoo wakweli hali Wamasai wameshaufanyia kazi karne na karne..
Kifupi tunao wanasayansi kwa sababu kuna vitu na magonjwa ya ajabu ambayo yanatakiwa wataalan na pia kuna waganga wa kienyeji kwa sababu kuna Uchawi.. Hili swala la imani lipo iwe ktk imani ya kizungu ama kiafrika kwa sababu kama huamini magonjwa kama HIV ambayo kwa lugha ya kiafrika ni uchawi tu tusingekuwa na waganga wa maabara. Na kifupi HIV hata waganga wa kizungu huko Bagamoyo kwao wameshindwa!

Haya huku nimeenda mbali sana na kile kilichotokea Dodoma lakini nachojaribu kusema ni kwamba wapo wanaudhulika.. iwe sumu iliyotokana na nyongo ya nyoka ama binadamu na imetengenezwa kienyeji haina maana haiwezi kuleta madhara!...maadam, ktk maisha yetu tutaendelea kuwa na contact na hizi ritual paraphernalia madhara lazima yatakuwepo...Na gharama yake sio kubwa kama sumu ya mzungu ambayo ina complication kibao ktk kuzipata.. results ni zile zile kumwondoa mtu!..
wameondoka kina Malima, Kolimba, AC, Balali oooops! tena ktk mahospital makubwa na sababu mlizopewa hazina hata kichwa bado mnataka ushahidi gani kuwa uchawi upo na imani pekee haiwezi kusaidia isipokuwa nawe unatakiwa uwe na zana haswa! Kama ni Biblia au Kuran sio tu kuibeba mkononi na kuamini Yesu au Mungu laaah! unatakiwa uzijue aya zinazoweza kupambana na uchawi uliorushwa! Kinga haiwezi kuwepo kama hujaweka ngao yako kule kunakotokea mashambulizi...
je, naamini uchawi?... ooooh YES! kwa sababu uchawi ni sayansi kama sayansi nyinginezo na dawa ya sumu ya nyoka ni lazima uwe na antivenom.
 
Mzee mwenzangu.. siyo usangoma....na kilichohusishwa siyo ulozi wa kiafrika mzee.. hakuna uchawi wa kiafrika hapo isipokuwa wa kizungu. Tangu nimeandika na kusema futeni ushirikina... na jaribu kuweka ushirikina wa kisayansi.... mtaelewa jambo hili na uzito wake. Kuna mtu atavuliwa uanachama muda si mrefu.....!

..hii habari si ndogo!.
 
FMES,

..EL na Tingax2 wamekosana lini tena? ninavyoelewa mimi Tingax2 ndiye aliyemuibuka EL toka AICC na kumpa uwaziri wa nchi ofisini kwa Tingax2.

..vijisenti alikuwa ana-handle vipi hivyo vimbwanga alivyokuwa akinyunyiza? manaake vitu hivyo ni hatari sana inabidi ujue jinsi ya kuvi-handle.

..usalama wa taifa, ama serikali nzima, wako ktk usingizi mzito sana. haiwezekani hivyo vimbwanga vikaingizwa nchini na kusafirishwa mpaka ktk jengo la bunge bila ya usalama wa taifa kuwa na habari.

..kama hili suala ni la kweli, na limegunduliwa na camera men waliokuwa eneo la tukio kwa bahati mbaya tu, basi ni aibu kubwa mno kwa taifa letu. upuuzi kama huu ulikuwa hautokei miaka ile ya Mzee Mzena na Afande Sawaya.

NB:

..hilo tukio lilikuwa recorded anywhere? manaake camera huwa zinapeleka images kwenye studio. kule kwenye studio ndipo RECORDING inapofanyika. sasa kuna yeyote aliye-press "record."

Kuuliza si ujinga mimi bado hua sielewi mantiki ya kua kila mbunge kua na kiti chake maalumu.haya ni mazingira mabovu sana.
 
Back
Top Bottom