Kutoka Dar; njia ya Ikulu-Ocean Road imefungwa!

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Kuna mabadiko yametokea Dar ambayo hata baadhi ya wakazi wake hawayafahamu. Yalianza kama miezi mwili ilopita. Kuna barabara maarufu kutoka Feri kwenda Aga khan hospitali kupitia pembezoni mwa Ikulu; mwezi ulipota ilikuwa si ruhusa magari kupita barabara hiyo baada ya saa 12.00 jioni lakini sasa imefungwa kabisa na hairuhusiwi kupita barabara hiyo.

Hiyo imenifanya nijiulize kulikoni? Maana inaashiria ule usala na amani tuliyokuwanayo vimepungua sana. Ni Al shabaab, au hali tete ya siasa Tanzania? Au?
 
Si unajua zile siku 100 alizopewa mkulu kuachia ngazi ndo zimeyoyoma! Bora kinga kuliko tiba!
 
Kuna mabadiko yametokea Dar ambayo hata baadhi ya wakazi wake hawayafahamu. Yalianza kama miezi mwili ilopita. Kuna barabara maarufu kutoka Feri kwenda Aga khan hospitali kupitia pembezoni mwa Ikulu; mwezi ulipota ilikuwa si ruhusa magari kupita barabara hiyo baada ya saa 12.00 jioni lakini sasa imefungwa kabisa na hairuhusiwi kupita barabara hiyo.

Hiyo imenifanya nijiulize kulikoni? Maana inaashiria ule usala na amani tuliyokuwanayo vimepungua sana. Ni Al shabaab, au hali tete ya siasa Tanzania? Au?

Ni Jambo la Kusikitisha na Kutia aibu!! Kwanza Kwa Mtu ambaye anafikiria just Kidogo zaidi Anaweza kuona lile Tangazo sio Yakuwa Limekataza, Bali Limedhalilisha Umuhimu wa Lile Eneo!! Kwenye eneo Muhimu (Sensitive) Kama Pale Mtu Unaweka Tangazo La Kuzuia Magari Kupita kwa Kuandika kwenye Kibao Kichakavu!! Tena Kwa Mkaa!! Hii Kweli ni aibu Kwani Kila nikifika pale kwa Kudharau Kile Kibao wala Huwa sisimami zaidi ya Kuendelea na safari!!
Pia kwa Upande Mwingine kwa Kushauri Tu Nawaomba Wahusika walioweka Hilo Bango (Japokuwa limeandikwa Kwa Mkaa) Wawe Makini kidogo waweke hata Reflecting sign board ili liweze Angalau kuonekana!! Kweli ni aibu!! Sipingi Barabara kuzuiwa kama kuna ulazima ila sio Kuandika na Kibao Kichakavu (No reflection) Tena kwa Mkaa!!
Kuhusu ile Barabara ya TEE kutoka the other side Nawashauri waweke Bango la Kuashiria Mwisho wa barabara na upande Mwingine ni Bahari Ili Kuwaepusha Watumiaji na HAtari ambazo zinatokea na Zitakazoendelea Kutokea!!
Lakini Nawaomba waweke Bango lenye Kureflect Mwanga na sio Kama Lile!! Au wakishindwa wawasiliane na Kampuni za Mabango waweke angalau Bango la Tangazo la Kinywaji Kukataza Ukilewa sana unaweza Kuzama Baharini!!
Nawasilisha!!
 
kufunga barabara sio ishu kama ni usalama wa mkuu wa kaya gaidi akiamua kuna lile gorofa kubwa karibia na ikulu ukiwa juu unaona kila kitu ndani ya ikulu na lenyewe livunjwe tujue moja.
 
Ni Jambo la Kusikitisha na Kutia aibu!! Kwanza Kwa Mtu ambaye anafikiria just Kidogo zaidi Anaweza kuona lile Tangazo sio Yakuwa Limekataza, Bali Limedhalilisha Umuhimu wa Lile Eneo!! Kwenye eneo Muhimu (Sensitive) Kama Pale Mtu Unaweka Tangazo La Kuzuia Magari Kupita kwa Kuandika kwenye Kibao Kichakavu!! Tena Kwa Mkaa!! Hii Kweli ni aibu Kwani Kila nikifika pale kwa Kudharau Kile Kibao wala Huwa sisimami zaidi ya Kuendelea na safari!!
Pia kwa Upande Mwingine kwa Kushauri Tu Nawaomba Wahusika walioweka Hilo Bango (Japokuwa limeandikwa Kwa Mkaa) Wawe Makini kidogo waweke hata Reflecting sign board ili liweze Angalau kuonekana!! Kweli ni aibu!! Sipingi Barabara kuzuiwa kama kuna ulazima ila sio Kuandika na Kibao Kichakavu (No reflection) Tena kwa Mkaa!!
Kuhusu ile Barabara ya TEE kutoka the other side Nawashauri waweke Bango la Kuashiria Mwisho wa barabara na upande Mwingine ni Bahari Ili Kuwaepusha Watumiaji na HAtari ambazo zinatokea na Zitakazoendelea Kutokea!!
Lakini Nawaomba waweke Bango lenye Kureflect Mwanga na sio Kama Lile!! Au wakishindwa wawasiliane na Kampuni za Mabango waweke angalau Bango la Tangazo la Kinywaji Kukataza Ukilewa sana unaweza Kuzama Baharini!!
Nawasilisha!!

Tena polisii wamegeuza mradi hasa nyakati za usiku wakati wanajua alama waliyoiweka haionekani vizuri, ukivuka hata mita mbili wamekudaka wanataka chao. Nishawahi kuyaona lo!
 
Kumbe! Yawezekana hata Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu hawana taarifa kuwa siku hizi hakuna njia kwenda Aga khan kupitia ubavuni mwa Ikulu.
 
Mkuu fanya uchunguzi vizuri,leo unakuta maandishi hairuhusiwi kupita kuanzia saa 12:00 jioni hadi saa 12 :00 asubuhi,kesho njia imefungwa ,si ruhusa kupita...ama upande mmoja una mabadiliko kwenye bandiko ilihali mwingine hauna...yote tisa,kwani ulitaka kupita kuelekea wapi ilihali ukizunguka way ya kuchepukia Karemjee unafika unakoelekea,amaaaaa?
 
Back
Top Bottom