Kutoka CHADEMA: Updates juu ya msiba wa Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema

kiongozi tuliomba kujua exactly mahala gani pale tbt chang'ombe ili tuweze kujumuika kwenye kuomboleza
 
Inaumiza sana kupoteza dada mwenye busara kama Regia,Japo sikumfahamu kwa kuonana nae ana kwa ana lakini busara yake na hekima aliyokua nayo ilinifanye nimheshimu na kumsikiliza kila aongeapo/aandikapo maada JF.RIP Regia wanaJF,tumepotelewa na Mtu mhimu sana hasa nikikumbuka juhudi zake katika kutupa habari kwa wakati muafaka.RIP once again
 
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehem mahali pema peponi.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Familia ya marehemu poleni sana kwa msiba huu mzito. Na pia wanaharakati wote na wote walioguswa na msiba huu poleni sana.
 
Rest in peace Regia. We will always remember you. You have been an inspiration to majority of people in Tanzania but i think God loved you than us. I know God has a plan on you and us and thats why he has called you to his kingdom. Its so sad but we will always live in hope....:disapointed:
 
BWANA ametoa na BWANA ametwaa, jina lake libarikiwe.

ni majonzi makuu kwa wapigania haki za wanyonge kuondoka mapema wkt mchango wao 2nauhitaji, mpendwa DADA REGIA PUMZIKA KWA AMANI.MSALIMIE MPIGANAJI MWENZIO PHILIPO MAGADULA SHELEMBI. UWAPE RAHA YA MILELE NA MWANGA WA MILELE UWAANGAZIE WAPUMZIKE KWA AMANI. AMINA
 
Tunatoa salam za pole sana, kwa familia ya marehemu Mh. Regia, CHADEMA na wananchi wote wa mkoa wa morogoro na taifa kwa ujumla.

Mheshimiwa Myika tunaomba utoe giographia ya kufika msibani tabata. ili wananchi tuweze kushiriki
 
Poleni jamani wanandugu,marafiki,wanachadema na taifa kwa ujumla.Mungu amlaze marehemu Regia mahali pema peponi.AMINA!
 
Poleni sana Wanafamilia, Poleni sana wana CHADEMA kwa msiba huu mzito!
 
You were a candle in the wind, blown off before your time. So difficult to accept the reality that you are gone. Bye dear sister.
 
Back
Top Bottom