Kutoka Bungeni: Maswali kwa Waziri Mkuu

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
maswali ya papo kwa papo,pinda anafuta lens ya miwani kwa tai yake
 
WM wetu anachagua sana maneno wakati wa kujibu maswali kiasi kwamba hajibu maswali anayoulizwa.
 
akilia mnijulishe, au akianza kujibu kwanini amechukua ng'ombe tisa za walala hoi huko maswa..maana namjua ni muongo kuliko hata shetani
 
Last edited by a moderator:
Aulizwe kwanini Hussein Mwinyi mbunge kutoka Zanzibar ni waziri wa Afya wakati wizara ya Afya sio ya muungano?
 
isee mbatia amekaa karibu na mrema

Mbatia anamsoma mrema. kuna tetesi kwamba kamati ya Mrema ya LAAC itavunjwa wakati wowote baada tu ya wale wajumbe wengine wanne kufikishwa mahakamani - yaani Idi azzan, Zambi na Zubein Mahita na selasini.

Mbatia ndiyo atakuwa mwenyekiti mpya wa LAAC -- baada ya kupitishwa na Wabunge wengi wa CCM.
 
makinda hataki miongozo,machali kaomba mwongozo wa spika mama hataki
 
Back
Top Bottom