Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

Nadhani ni moja kati ya wabunge wenye elimu ya shule ya msingi (std VII). Mwenye cv yake aweke hapa nijiridhisheeee
 
Sasa anataka gereza la isanga lihamishiwe Tabora kwa kuwa lina nuksi vile watu hunyogewa hapo
 
Wakuu natoa ruhusa kwenye hilo neno ambalo nimelibold mtu au mods waliedit waweke neno wanaloona wao linafaa, mimi binafsi nimeshindwa niweke neno gani!

He was swept to power by euphoria. Sasa nadhani wana mtera wanakumbuka walikotoka.
 
Jamani kuna mbuge huyu wa jimbo la Mtera ama kweli ni kilaza,hivi sasa amemaliza kuchangia hoja bungeni kuhusu bajeti ya Wizara ya mambo ya ndani.

Kinachonishangaza ni kuona baada ya kuzungumzia matatizo ya wananchi waliyomtuma kwa ku-link matatizo hayo na wizara husika yeye muda wote anaumalizia kwenye kurusha vijembe na kuwashambilia wapinzani.

Huyu huyu ndie jana aliyeomba muongozo wa kuwataka wabunge waletewe daktari awapime akili mda mfupi tu baada ya mbunge wa cdm kumaliza kutoa mchango wake,lakini kumbe nimegudua kuwa yeye ndiye anatakiwa kupimwa akili maana baada ya kutoa michango ya kuitaka serikali ililetee jimbo lake maendeleo yeye ndio kabsaaaa kageuka kuwa Waziri wa wizara husika na kuanza kuitetea serikali.
 
java error input mismatch.................. uwezo wakufikiri mkuu tunatofautiana ....hao ndio wakupiga vibao tu akili zikae sawa wanatia hasira sana aggggggggggggggrrrrrrrrrrrrrrrrrrhhhhhhhhhhhhhhh
 
Mtera wangejua bora ata wangemwacha Mzee wao Malecera mana uyo ***** hakuna alichokifanya cha zaid ni kwamba si msaada kwa wanaMTERA next time wampige chini
 
kwanza darasa dogo likienda sambamba na uwezo wa kufikiri, pili professional yake ni MC wa kwenye shughuri kama vile kitchen party. so cshangai kuona muda wote yeye huwa anachangia utumbo mtupu, tatu alishawahi toroka milembe.
 
yule jamaa ni zaidi ya vilaza wooote duniani.. eti anasema magereza hayana haja ya kuboreshwa kwa kuwa watu watapenda kukaa gerezani... Huo ni upuuuuzi ulizo kiasi..

Mi ninachojua maamuzi magumu ya wana-mtera ni kumvua gamba huyu kilaza anaongea bungen kama mipasho vile au mtoto wa kike akigombana na shoga ake...
upuuuuuzi tuu
 
Hebu ndugu Willium Malecela rudi kutoka huko uliko ukawasaidie watu wa jimboni kwako....itapendeza kama utakuwa mgombea wa CCM vs mgombea makini wa Chadema.Sasa hivi jimbo la Mtera halina mbunge,lipo wazi.
@ New York, USA, nimepata taarifa amenunuwa gari mpya NISSAN sasa muda mwingi yeye anapiga misele tu kwenye mitaa ya New York, sidhani kama atauona huu ujumbe wako, maana hana hata muda wa kulog in JF.
 
yule jamaa ni zaidi ya vilaza wooote duniani.. eti anasema magereza hayana haja ya kuboreshwa kwa kuwa watu watapenda kukaa gerezani... Huo ni upuuuuzi ulizo kiasi..

Mi ninachojua maamuzi magumu ya wana-mtera ni kumvua gamba huyu kilaza anaongea bungen kama mipasho vile au mtoto wa kike akigombana na shoga ake...
upuuuuuzi tuu

Natumaini Hospitali ya Mirembe ipo Jimboni mwake.
 
Wenje anasema elimu ni haki na si upendeleo, CCM imeifanya elimu kwa wananchi ni previledge na matokeo yake ni kunyima fursa watu kusoma na kumtolea nafasi mheshimiwa Lusinde kuwa matunda ya mfumo huo wa CCM, amekosa elimu kwa sababu tu muono hasi wa CCM na kumsihi Waziri Nahodha alione hilo....
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom