Kutoka bungeni: Jimbo la Mtera limekosa mbunge!

Nov 13, 2010
91
7
1. Eti kama vipi tuzichape bungeni.......bla bla bla......
2. Eti Kikwete ni mpole na anawavumilia wapinzani wakati ni mwanajeshi ......bla bla bla....

bora Malecela.........kuliko huyu!
 
Ni mbunge kijana, nakusema kweli nimependa mno namna yake ya uwasilishaji wa hoja. Anatoa mifano dhahiri na anajiamini. Hakika miongoni mwa vijana wachache wa Taifa hili ambao Taifa linaweza kujivunia kuwa nao ni Livingstone Lusinde. Ni hazina kubwa iliyokuwa imejificha. Ni hazina kubwa kwa chama chake na taifa letu.

Ni mfano wa vijana wachache wenye uwezo wa kujenga na kutetea hoja yake. Kumbe bado Taifa lina vijana waalendo kama Freeman Mbowe, Livingstone Lusinde, Julius Mtatiro, Kabwe Zitto n.k
 
Kaumza

You may be wrong, and definitely not clear

Lusinde ni kiazi
 
huwezi mlinganisha FREEMAN AIKAELI MBOWE na shoga JULIUS MTATIRO na hicho kichoko cha CCM LIVINGSTONE LUSINDE,sio sawa na sio sahihi ni sawa na kumlinganisa ROBIN VAN PERSIE na JERY TEGETE
 
Lusinde ni MC kwa maana ya Msema chochote, Namfahamu na nimeongea nae, kichwani jamaa ni mtupu na ni mweupe kikweli kweli ila ni msemaji mzuri. Kwa CCM kuwa bingwa wa maneno ni sifa ya uongozi ndio maana kuna kina Yusuph Makamba, Tambwe Hiza etc etc ambao kichwani ni watupu kabisa ila kama lilivyo debe tupu, hupiga kelele sana na hii ndio moja ya silaha kuu za kuvutia vapiga kura watupu.
 
Watu wengine bana.

Anatakiwa akae ajifunze wenzie wanaongea nini.

ALL PEOPLE ARE WISE WHEN THEY SHUT THERE MOUTHS

WHEN ALL PEOPLE TALK, ONLY 1% WILL REMAIN WISE
 
Alikosea wapi Mhe Lusinde?? Aliyoyaongea ni haya:-
1. Aliongelea suala la elimu
2. Aligusia suala la amani na utulivu
3. Aliongelea suala la kilimo

Tatizo li wapi?? Jamani ushabiki acheni.
 
Hilo ndo bunge la 2011, matusi, kejeli, vijembe, ubabe, misifa.... basi raha tupu.
 
huwezi mlinganisha FREEMAN AIKAELI MBOWE na shoga JULIUS MTATIRO na hicho kichoko cha CCM LIVINGSTONE LUSINDE,sio sawa na sio sahihi ni sawa na kumlinganisa ROBIN VAN PERSIE na JERY TEGETE

Mkuu hii sio forum ya kihuni huni, hoja hujibiwa kwa hoja
 
halafu kuna kijana mmoja tuliambiwa amekamatwa na Interpool kwa kosa la kuiongoza Tovuti iliyokuwa inawachafua raia, na Viongozi kwa ujumla yaani ''theutamu.com''.

Huyu kijana aliitwa somebody Lusinde...
Kuna mwenye habari zake?
Au ndio huyu mropokaji?
Au wana undugu wowote?
 
mwacheni kijana afanye kazi aliyotumwa na wapigakura wake,msiwaingilie bana,mbona hamsemi ya cdm kutoka nje ya bunge? ama ndivyo walivyo tuma na wapiga kura wao kuwa uwakilishi wao utakuwa wa kutoka nje kila mara? shame upon them,mapinduzi hayaji kwa kukimbia tatizo pigana ndani ya tatizo na sio kukimbilia nje

msema UKWELIII HAPENDWIIII DAIMAAAAAAA:clap2:
 
Lusinde ni MC kwa maana ya Msema chochote, Namfahamu na nimeongea nae, kichwani jamaa ni mtupu na ni mweupe kikweli kweli ila ni msemaji mzuri. Kwa CCM kuwa bingwa wa maneno ni sifa ya uongozi ndio maana kuna kina Yusuph Makamba, Tambwe Hiza etc etc ambao kichwani ni watupu kabisa ila kama lilivyo debe tupu, hupiga kelele sana na hii ndio moja ya silaha kuu za kuvutia vapiga kura watupu.
respect pasco... umesema kweli kabisa, kile ni kiazi chenye vuvuzela
 
huwezi mlinganisha FREEMAN AIKAELI MBOWE na shoga JULIUS MTATIRO na hicho kichoko cha CCM LIVINGSTONE LUSINDE,sio sawa na sio sahihi ni sawa na kumlinganisa ROBIN VAN PERSIE na JERY TEGETE
mkuu lugha hapo aisee
 
Ni mbunge kijana, nakusema kweli nimependa mno namna yake ya uwasilishaji wa hoja. Anatoa mifano dhahiri na anajiamini. Hakika miongoni mwa vijana wachache wa Taifa hili ambao Taifa linaweza kujivunia kuwa nao ni Livingstone Lusinde. Ni hazina kubwa iliyokuwa imejificha. Ni hazina kubwa kwa chama chake na taifa letu.

Ni mfano wa vijana wachache wenye uwezo wa kujenga na kutetea hoja yake. Kumbe bado Taifa lina vijana waalendo kama Freeman Mbowe, Livingstone Lusinde, Julius Mtatiro, Kabwe Zitto n.k
Alisema "kama ni mabomu mimi nilishapigwa mabomu sana enzi zile Mrema akiwa waziri wa mambo ya ndani" Baadae anasema haya mliyopigwa si mabomu, mabomu ni yale ya mbagala bwana! likilipuka hakuna anayesimama.
Swali kama yeye anasema alipigwa mabomu sana wakati wa mrema, je alipigwa yanayofanana na ya mbagala?
Yaani alisahau alichoongea katika sentensi mbili zilizokuwa zimetangulia!!
Kweli huyu kumlinganisha na akina Zitto na Mbowe si kuwatendea haki, huyu ni kiazi kweli, wakati naangalia TV tulikuwa na wana CCM - hata wao waliguna na kumshangaa!!
 
Ni mbunge kijana............

Ni mfano wa vijana wachache wenye uwezo wa kujenga na kutetea hoja yake. Kumbe bado Taifa lina vijana waalendo kama Freeman Mbowe, Livingstone Lusinde, Julius Mtatiro, Kabwe Zitto n.k

ana zaidi ya miaka 45 na bado ni kijana!!!!!!!...:clap2:
 
huwezi mlinganisha FREEMAN AIKAELI MBOWE na shoga JULIUS MTATIRO na hicho kichoko cha CCM LIVINGSTONE LUSINDE,sio sawa na sio sahihi ni sawa na kumlinganisa ROBIN VAN PERSIE na JERY TEGETE
pia huwezi kumfananisha livingstone lusinde nahuyo tapeli wenu mkubwa anaeweka madanguro watu wanauza miiliyao hivi huyu mbowwwewe nani asiemjua uoza wake?
 
1. Eti kama vipi tuzichape bungeni.......bla bla bla......
2. Eti Kikwete ni mpole na anawavumilia wapinzani wakati ni mwanajeshi ......bla bla bla....

bora Malecela.........kuliko huyu!

Kumbe na wewe mkuu ulimsikia yule pubavu/mjinga! Yaani nilitamani kuzima tv. I dont know kwa nini wananchi wanachagua hizi takataka??
 
Back
Top Bottom