Kutoka BC - Regia & JF Friends Meeting....

Melo amenigusa sana kwa maneno yake, Finest tupo pamoja sipo mbali sana kutoka hapo ulipo.. Pdidy ndio wewe!? nimefurahi sana kuwaona JF members
 
Duh nimeishia mlangoni. Nina kasilaha kangu jamaa wamekagundua kwa metal detector na siwezi ku risk kukaacha kwenye gari. Mkutano mwema. Ila nimemuona Rejao
 
oh FF, sisi tuko mbali na hapo ina maana na wewe hujahudhuria pamoja ma hili suala kuandaliwa kwa muda ilihali uko Kidongo Chekundu hapo Gerezani!?

Nipo Mkuranga, kijiji kinachoitwa Shungubweni, hapo ndio maskani yangu, karibu sana. Kariakoo kuna assets zangu tu na nyumba ya kufikia nikiamuwa kukaa mjini, lakini huku Shungubweni ndio makazi yangu kwa sasa. Karibu sana, maembe mengi huku.
 
Back
Top Bottom