Kutoka Arusha: Mbowe ajibu tuhuma za ZITTO

Status
Not open for further replies.

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Katika hali ambayo haikutalajiwa na wengi mwandishi wa
Radio Arusha 94.8 FM alikuwa akimhoji mbowe dhidi ya yeye kukimbia POlice
mara mwandishi kaanza kuchomeka tuhuma dhidi ya mwanachama wake/ kiongozi mwenzake ZITTO

Mwandishi; Mheshimiwa leo katika magazeti ya leo mwanachama wako zitto anahusishwa na kuivuruga NCCR
je hili lina ukweli gani?

Mbowe: Sijapata taarifa hizo kwani mpka sasa magazeti yaliyoandika sijayapata

Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?

Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama

Mwandishi: NA wewe hapo nyuma vyombo vya habri virikutuhumu kwa kumuhujumu mwanachama mwenzako zitto
je hili lina ukweli wowote?

Mbowe: Sijawai kuhujumu mwanachama yeyote, Sisi tunajenga chama

Source radio arusha 94.8 fm

Mytake: GOGORO KUBWA LINAKUJA CHADEMA AMBALO HALIJAWAI KUTOKEA

Update.......

Maelezo ya zitto kipindi yuko india

Nimestushwa na shutuna za Mh Zitto juu ya Mbowe na Komu wa mwanahalisi, kama shutuma hizi ni za kweli basi ulimwengu wa demokrasia moja unatoweka. Nimejaribu kuwianisha dhana ya taaluma ya habari na umiliki binafsi nikili kuwa zitto kaweka jaziba mbele na busara nyuma katika kuelezea yaliyo moyoni mwake hata kama yana ukweli.
By Zitto

Watu hawana hata uungwana wa kusema huyu mtu ni mgonjwa, hajatoka hospitali. Huruma ya kibinaadamu hawana. Kuna uchawi gani zaidi ya huu? Mwelekeo ule ule >Tanzania Daima>MwanaHalisi yote yanamilikiwa na viongozi waandamizi wa chama changu. Nimechukia sana.
By Zitto

Nitawasilisha malalamiko rasmi kwa Katibu Mkuu wa chama ili Wamiliki wa Tanzania Daima (Mhe. Mbowe) na wa MwanaHalisi (Ndugu Komu) waeleze mwenendo wa magazeti wanayomiliki kuhusu mimi. Nimechoka kuzushiwa uwongo na magazeti haya kila kukicha.

By Zitto
Kwa nini magazeti hayo tu yanayomilikiwa na viongozi waandamizi wa chadema ndio yatoe habari hiyo? Kwanini sio RaiaMwema? Kwanini sio Mwananchi? Kwa nini sio Majira? Wamiliki wa magazeti wanaushawishi mkubwa kwenye sera ya gazeti. Ushahidi gani unaoutaka? Wao wametoa ushahidi gani kwamba nahusika na vurugu za NCCR kama sio kubwabwaja tu kwa mbunge wa Kasulu mjini ambaye kapata huo ubunge kwa mgongo wa Kafulila na anti chadema sentiments za watu wa Kigoma? Mimi mhusika ninapinga na nimeandika humu, wewe unahitaji ushahidi upi?

By Zitto
Sijawahi wala sina mpango wa kutoa hoja ili kushusha umri wa kugombea Urais. Mimi ninaamini katika misingi (principles). Katiba haiwezi kubalishwa kwa ajili ya matakwa ya mtu. Sina haraka na Urais. Kama its my fate, Mungu kaandika hata mfanye nini nitakuwa Rais tu. Kama sijaandikiwa hata nifanye nini sitakuwa Rais. By Zitto Siku zote nimekuwa nasimamia yale ninayoamini. Sifanyi kazi zangu ili kufurahisha watu bali kuzingatia maadili yangu na itikadi yangu na maslahi ya nchi yangu. Sifanyi siasa za drama maana naamini katika siasa za hoja. Kamati yangu ya Bunge ndio inaongoza kwa kusimamia vema fedha za Umma. Hutaki kuona kwa kuwa umelishwa sumu ya propaganda za kumchukia Zitto bila sababu yeyote ya msingi. Mimi sijali nafanya kazi zangu.

By Zitto
Sina magari ya kifahari. Siamini katika utajiri hata kidogo. Sina biashara yeyote. Kazi yangu ni Ubunge tu. Wenye magari ya kifahari huwaoni? Mmeaminishwa kwamba mimi nina hela nyingi sana nanyi mkaamini bila hata kuhitaji ushahidi. Ninaishi nyumba ya kupanga Tabata Dar es Salaam. Nina gari moja tu Dar es Salaam aina ya Freelander na moja Kigoma Jimboni GX niliyonunua second hand. Kama una gari yeyote ya kifahari unayoambiwa ni yangu ipige picha uiweke mitandaoni. Unalishwa sumu na kukubali bila hata kufikiri na unajiita great thinker? Gosh
 
Wewe unayoiona ni migogoro ya Chadema tu, Migogoro ya ccm inayotarajiwa kukisamabatisha chama vipande vipande huoni? Una avatar nzuri lakini mawazo ya kijinga.
 
hakuna mgogoro zito ni mwanafunzi kwa mbowe ccm wameshindwa cdm ni chama sio mtu hata akiondoka slaa kuna watu wapo labda waue fikra za watanzania mamilioni wenye maprnzi mema na cdm zama za propaganda umekwisha refer igunga
 
Katika hali ambayo haikutalajiwa na wengi mwandishi wa
Radio Arusha 94.8 FM alikuwa akimhoji mbowe dhidi ya yeye kukimbia POlice
mara mwandishi kaanza kuchomeka tuhuma dhidi ya mwanachama wake/ kiongozi mwenzake ZITTO

Mwandishi; Mheshimiwa leo katika magazeti ya leo mwanachama wako zitto anahusishwa na kuivuruga NCCR
je hili lina ukweli gani?

Mbowe: Sijapata taarifa hizo kwani mpka sasa magazeti yaliyoandika sijayapata

Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?

Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama

Mwandishi: NA wewe hapo nyuma vyombo vya habri virikutuhumu kwa kumuhujumu mwanachama mwenzako zitto
je hili lina ukweli wowote?

Mbowe: Sijawai kuhujumu mwanachama yeyote, Sisi tunajenga chama

Source radio arusha 94.8 fm

Mytake: GOGORO KUBWA LINAKUJA CHADEMA AMBALO HALIJAWAI KUTOKEA

Umejitungia hiyo interview ccm imewashinda mnakuja kugombanisha watu
 
Na huyo mwandishi ni kilaza wewe mtuana issue ya mahakamani wewe unauliza mabo ya wanachama
 
Wewe unayoiona ni migogoro ya Chadema tu, Migogoro ya ccm inayotarajiwa kukisamabatisha chama vipande vipande huoni? Una avatar nzuri lakini mawazo ya kijinga.

Ka statement hako kwenye Red kwa mbaaaaaaaali naanza kuhisi kama akiwa ndiyo picha yake mwenyewe huyo ............ taratiiiiibu. Kama uliamua kuua ua tu sio kuweka katahadhari
 
hii habari haijaenda shule
hata mwandishi alomhoji kahoji maswali ya kitoto, angemuuliza hatma ya tanzania na ubabe wa jeshi la polisi kuwajuu ya sheria
hayo ya nccr hayana tija,na ww mtoa mada mgogoro gani unaotaka kuzungumza usiokuwa na kichwa wala sikio? ya nape,sita,makinda huyaoni?
 
`kutapatapa tu kwa kinachoelekea kifo....come up with something else to disqualify CDM members/leaders....sio hilo na hakuna kitu hapo cha kusema kinatisha...
 
Mbowe alikuwa anahojiwa na mwandishi au mtangazaji? Mjusi gurugunda.
 
Katika hali ambayo haikutalajiwa na wengi mwandishi wa
Radio Arusha 94.8 FM alikuwa akimhoji mbowe dhidi ya yeye kukimbia POlice
mara mwandishi kaanza kuchomeka tuhuma dhidi ya mwanachama wake/ kiongozi mwenzake ZITTO

Mwandishi; Mheshimiwa leo katika magazeti ya leo mwanachama wako zitto anahusishwa na kuivuruga NCCR
je hili lina ukweli gani?

Mbowe: Sijapata taarifa hizo kwani mpka sasa magazeti yaliyoandika sijayapata

Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?

Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama

Mwandishi: NA wewe hapo nyuma vyombo vya habri virikutuhumu kwa kumuhujumu mwanachama mwenzako zitto
je hili lina ukweli wowote?

Mbowe: Sijawai kuhujumu mwanachama yeyote, Sisi tunajenga chama

Source radio arusha 94.8 fm

Mytake: GOGORO KUBWA LINAKUJA CHADEMA AMBALO HALIJAWAI KUTOKEA
Akili pumba hizo, mbona huzungumzii gogoro zito lililopo CCM badala yake umejigeuza marehemu sheikh kwa kutabiri unafiki. Peleka unafiki wako huko, toa kibanzi chako halafu ukione kibanzi kwenye jicho la mwenzako. Hopeless kabisa wewe.
 
Katika hali ambayo haikutalajiwa na wengi mwandishi wa
Radio Arusha 94.8 FM alikuwa akimhoji mbowe dhidi ya yeye kukimbia POlice
mara mwandishi kaanza kuchomeka tuhuma dhidi ya mwanachama wake/ kiongozi mwenzake ZITTO

Mwandishi; Mheshimiwa leo katika magazeti ya leo mwanachama wako zitto anahusishwa na kuivuruga NCCR
je hili lina ukweli gani?

Mbowe: Sijapata taarifa hizo kwani mpka sasa magazeti yaliyoandika sijayapata

Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?

Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama

Mwandishi: NA wewe hapo nyuma vyombo vya habri virikutuhumu kwa kumuhujumu mwanachama mwenzako zitto
je hili lina ukweli wowote?

Mbowe: Sijawai kuhujumu mwanachama yeyote, Sisi tunajenga chama

Source radio arusha 94.8 fm

Mytake: GOGORO KUBWA LINAKUJA CHADEMA AMBALO HALIJAWAI KUTOKEA
Hujatujulisha na majibu aliyotoa kwa kuwakimbia polisi.
 
Mwandishi: Je Zitto kama kiongozi wa chadema, ndo atakuwa anaivuruga NCCR kutumia rungu la chadema?

Mbowe: Mambo ya zitto na NCCR na kafulila ni ya kwao wenyewe sio ya chama
sASA HAPO MGOGORO NI NINI? KAJIBU SAHIHI KABISA...SI MAMBO YA CHAMA!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom