Kutoga masikio-Vijana wa kiume

kumbe kuna suppoters wao. Sikujua hata kidogo
halafu Bluray wakati wa kuchangia mada epuka kutukana wachangiaji wenzako. I hate this and may be i hate ......... too

So Do I!
 
kumbe kuna suppoters wao. Sikujua hata kidogo
halafu Bluray wakati wa kuchangia mada epuka kutukana wachangiaji wenzako. I hate this and may be i hate ......... too

Umepata ile tenksi nenda ka audit mwenyewe....kuna kipindi unashukaga maponti sana ujue.
 
Hahaha! Mpwa bana. Wanaanzaga na masikio, then wanasuka nywele, kisha suruali inashushwa mpaka makalioni. Baada ya hapo wananunua line ya TiGo!
Baada ya kupata line ya tigo wanatafuta watu wa kuwarecharge hizo tigo zao!!
 
ulikua 'minor'....basi si kosa lako ila ishia hapo hapo...uvae suruali vizuri na usisubutu kusuka

Mbona hapa unaongea kama vile unijui? ulinipendaje hukuniona? suruale sishushi mi mtu mzima labda wewe ushushe kwa ridhaa yako mwenyewe bila kufosiwa na mtu wala kushawishiwa.
 
Mbona hapa unaongea kama vile unijui? ulinipendaje hukuniona? suruale sishushi mi mtu mzima labda wewe ushushe kwa ridhaa yako mwenyewe bila kufosiwa na mtu wala kushawishiwa.

jamani sikuwepo ulipotoboa, mi nakuonaga tu unakitundu sikioni.....kumbe sijawahi kuishusha ndo mana jana uliondoka na demu afu hukusunga safaty belt weweeee eeeh? u did hurt me
 
Mbona hapa unaongea kama vile unijui? ulinipendaje hukuniona? suruale sishushi mi mtu mzima labda wewe ushushe kwa ridhaa yako mwenyewe bila kufosiwa na mtu wala kushawishiwa.

ushaharibu mawazo nini nguli....weekend yako inaelekea imeanza mapema leo
 
Kizazi kilichopotoka chenye ukaidi,kisichotaka kuonywa,na ukijaribu kuonya huna bahati,utaambiwa enzi zako zimepita na maneno tele ya ajabu ajabu,juzi mdodgo wangu aliibiwa nilipopata taarifa nikamfata polisi alipokuwa ameenda kutoa taarifa,kwa kweli nilipofika huko nilishangaa maneno yakaniisha,mwizi wake ni mwananfunzi wa kidato cha tatu,jamani kijana kajichora mi-tatoo mpaka wote tulishangaa,mama yake pia akabaki anashangaa,sasa sijui tunakisaidiaje kizazi hiki kukielimisha ili kiache hizi tabia,maana huko tunakoelekea nahisi ndo kubaya zaidi.
 
Nu juzi tu nimemwona kijana wa kiune ametoga mpaka pua, tunakoenda mhhhhhhh
Tunawalea, tuanze na haya yafuatayo...
1. Akitangaza shoo ya muziki..... hatuendi na tunampa wazi kuwa sababu ni kutoga, tatoo, kata kei,...etc
2. Akifika dukani kununua chochote hatumuuzii (thijui kama wachaga wataliweza hili)........
3. Akikaa baa tunahama meza..........
4..... etc........
 
hata wangelelewa kwenye kapu, vijana wanapenda kuiga sana
mzazi atajitahidi kulea lakini wakitoka na macho yao yaliyo uchi wanabamba kila kitu pasipo kuchagua. Stupid sana nyie watoto

Suruhisho si kuwalelea kwenye kapu kama ulivyo bainisha bali kuwalea ktk njia iwapasayo,hata wakienda huko nje watajiepusha na uchafu wote.

Mlee mtoto ktk njia impasayo, naye hataiacha hata atakapokuwa mzee Mithali 22:6
 
Unajua siku hizi kila mtu anajidai mmarekani, utakuata hata hawa wanamuziki wametoboa masikio, wanajichubua, hivi kwani wakiimba bila kuvaa hiyo kata K, kusuka na kutoboa masiko hamtapenda nyimbo zao, au mashabiki mtawakimbia?
 
hiyo nayo ni ishu, hivi kwanini lakini?
 
Tunawalea, tuanze na haya yafuatayo...
1. Akitangaza shoo ya muziki..... hatuendi na tunampa wazi kuwa sababu ni kutoga, tatoo, kata kei,...etc
2. Akifika dukani kununua chochote hatumuuzii (thijui kama wachaga wataliweza hili)........
3. Akikaa baa tunahama meza..........
4..... etc........

Nakuunga mkono, naona hio itasaidia
 
Kasi ya vijana wadogo wa kiume, miaka 15 - 25 kutoga masikio imeogezeka sana sio mijini tu bali na vijijini sasa tabia hii imeshika kasi. Sababu ni nini? Nawaomba waache

M-CCM ya wale mbona hayana shida
Sijakufahamu...!

Tunawalea, tuanze na haya yafuatayo...
1. Akitangaza shoo ya muziki..... hatuendi na tunampa wazi kuwa sababu ni kutoga, tatoo, kata kei,...etc
2. Akifika dukani kununua chochote hatumuuzii (thijui kama wachaga wataliweza hili)........
3. Akikaa baa tunahama meza..........
4..... etc........

Unajua siku hizi kila mtu anajidai mmarekani, utakuata hata hawa wanamuziki wametoboa masikio, wanajichubua, hivi kwani wakiimba bila kuvaa hiyo kata K, kusuka na kutoboa masiko hamtapenda nyimbo zao, au mashabiki mtawakimbia?
Wacheni kubeza asili zenu, kutoboa masikio, pua na ghasia zingine za kujiremba zipo tele kwenye tamaduni zetu. Leo hii eti imekuwa kero? Au ni kwa sababu badala ya kutia betri chakavu ama vipande vya miti kwenye masikio na badala yake kuweka almasi na dhahabu?

Rudi nyuma na kuwatizama Wamasai wa kiume na hasa Morani, jinsi wanavyojitahidi kuweka vipande vya miti na betri kubwa kwenye masikio yao, tizama Wagogo na nyunda zao, waangalie Wamakonde na chanja zao.. Watidinga na vimini vya miti...

Haya yote sio kero kwenu, kero ni tu pale sikio linapokuwa na dhahabu ama almasi...? Wacheni ulofa wa mawazo. Kwangu, hii si kero bali ni ufinyu tu wa kutazama wapi tumetoka na wapi tunaelekea...

Jamaa zangu wa kiume wanaweka mpaka wanja, na wanaita ni suna, hamjaliona hilo?
 
Back
Top Bottom