Kutofutiwa usajili JUMIKI Z'bar; SMZ ni Wahafidhina?

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Miaka michache iliyopita, Maalim Seif Shariff Hamad aliwahi kuleta mjadala kwa kusema tatizo la SMZ ni Wahafidhina walioko Serikalini. Sijui alimaanisha kama ni Uhafidhina wa Kidini au Kisiasa, ingawa yaweza kuwa ni wa aina zote au mojawapo.
Yaliyotokea Zanzibar wiki ilopita, maandamano na kuchoma moto Makanisa (ingawa yametokea mara nyingi) yanaweza kuthibitisha hayo kwa sababu Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu ilisajiliwa kwa makusudi ya kidini lakini imejihusisha kisiasa zaidi kuliko dini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom