charger
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 2,320
- 1,369
Habari zenu wana jamiifulani,
Katika mapenzi na mahusiano nimekuwa nikisikia manung'uniko ya chini chini wapenzi wengine wanapokua wanaenda kutalii Mlima Kilimanjaro hawawafikishi wenzao kule kwenye peak yaani Kibo au Mawenzi.
Sababu za hii hali zimekua ni nyingi wengine wanachoka mapema shauri ya kupanda kwa pupa,wengine wenzi wao wanatembea polepole sana wanashindwa kuwavumilia,wengine style wanazozitaka kupanda na kufika huko wenzao hawazipendi au hawazijui.
Je hii ni kweli?
Na kama kweli mwongozaji kila siku anakuachia njiani unaweza tafuta mwingine hata wa kuibia siku mojamoja?Je unaweza kumweleza mwongozaji wako unapohisi ni goigoi?Na kama ulishawahi aliichukuliaje?
NB:SUMU YA PANYA NI JINA TU JARIBU UONE KAMA NI YA PANYA!