Kutochanganya siasa na utendaji kazi serikalini maana yake nini?

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
12,013
10,169
Nimekuwa nikifuatilia muda mrefu kuhusu hili jambo ambalo serikali imekuwa ikisisitiza kuhusu watumishi wa serikali kutojishughulisha na siasa hasa wanajeshi wetu na viongozi wakuu wa mawizara, lakini hivi majuzi ameteuliwa mnadhimu wa Jeshi ndugu Samwel Ndomba ambae alishashika post za ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa, though theoretically hizi nafasi zinaonekana kuwa ni za kiserikali kutokana na muundo wa serikali kuu lakini ukiziangalia kwa jicho la pili utagundua kwamba sifa ya kuteuliwa katika hizi nafasi lazima uwe mfuasi wa chama kilichopo madarakani. Hapa kitu nachotaka kufahamu kwa huyu jamaa kurudi tena jeshini huku tayari ameshika nafasi mbalimbali za kisiasa (ukuu wa wilaya na mkoa) inakuaje hapa maana mie huwa nadhani mtu akishaingia huku kwenye ukuu wa wilaya au mkoa huwa harudi tena unless kama atakuwa waziri etc ambazo lazima uwe mbunge kupitia chama cha siasa.
 
tunaomba utukumbushe mkuu hizo nafasi alishika lini? Ni baada ya kuanza kwa mfumo wa vyma vingi au kabla ya hapo? Kama ni kabla sio issue sana sheria hizi zilitungw baadae kutokana na mapendekzo ya Tume ya Nyalali (baadhi)
 
tunaomba utukumbushe mkuu
hizo nafasi alishika lini? Ni baada ya kuanza kwa mfumo wa vyma vingi au
kabla ya hapo? Kama ni kabla sio issue sana sheria hizi zilitungw
baadae kutokana na mapendekzo ya Tume ya Nyalali (baadhi)

ni baada ya mfumo wa vyama vingi!
 
tunaomba utukumbushe mkuu hizo nafasi alishika lini? Ni baada ya kuanza kwa mfumo wa vyma vingi au kabla ya hapo? Kama ni kabla sio issue sana sheria hizi zilitungw baadae kutokana na mapendekzo ya Tume ya Nyalali (baadhi)

Ni miaka hii ya karibuni tu
 
Back
Top Bottom