Kutoa mzigo wa msaada bandarini

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Dear Members,

Naomba mtu anisaidie maelekezo ya kutoa mzigo ambao umetumwa kwenye taasisi ya elimu ambao unakuja kama donation. Kuna jamaa yangu anasoma huko nje sasa sehemu ya project yake amekusanya vitabu na vitu vingine ambavyo anataka kuvituma huku Tanzania kwenye shule ambayo itakuwa Singida au Arusha. Ameniuliza utaratibu wa kutoa bandarini unakuwaje? hebu naombeni malezo wakuu.
 
Shule usika inamwandikia kamishna wa TRA kuomba msamahaa wa kodi,ila inabidi all docs za mzigo husika ziwe na jina na address za shule husika.
 
Shule usika inamwandikia kamishna wa TRA kuomba msamahaa wa kodi,ila inabidi all docs za mzigo husika ziwe na jina na address za shule husika.

Hiyo process inatakiwa ifanyike muda gani kabla?

Je huwa inachukua muda gani hadi huo msamaha utolewe (kibali) je inaweza kuwa rejected?
 
Back
Top Bottom