Kutoa hewa ukeni(kujamba)

Caritha sina utaalamu na ku-send You Tube lakini BOFYA HAPA kusikia K. ikiimba wala sio kuj****
Nimesema ni starehe kwa umpendaye na usishangae kuna mashindano yanafanyika jukwaani kabisa kwa zaidi ukishamPM zomba na mm usinisahau kwa picha zaidi ambazo zinatakiwa tukutane Jukwaa la MK
 
Mwezi Mtukufu kwani watu hawaumwi? zomba

K kucheka ni kuumwa? kuwa makini, usitishe watu kwa manufaa yako. Na niliongelea Ramadhan kwa namna ya comments zinavyofunguka siyo watu kuumwa. Nakwambia tena, ukisoma kuwa makini uelewe maana usiwe unakurupuka. Wewe mtu kaandika kabisa "ukeni" wewe umekurupuka na kuandika mambo ya digestion, nikakuuliza "ukeni" digestion ipi tena? ukakaa kimya hukujibu, hili la Ramadhan nalo unakurupuka eti "hawaumwi" inahusu nini? vipi kijana una msongo wa mawazo tukusaidie?:

Saga lozi vijiko vitatu vya chakula changanya na unga wa habat-sawda nusu kijiko cha chai, koroga na maziwa fresh glass moja, uwe unakunywa kila siku kabla ya kulala itakusaidia kuupooza ubonga na kukufanya uwe makini (sharp). Hiyo ni sadaka yangu ya Eid kwako na kwa wengine.
 
Hakuna uchafu unaotoka huko, wakati mwingine unaweza kuwa na PID ( pelvic inflammatory disease) ambayo husababisha kutoa gas ukeni hii yaweza kuwa ni sababu, kama hakuna uchafu sasa sijui nenda kwa Dr akakuone kama kunauchafu then we need to treat the conditions.
 
K kucheka ni kuumwa? kuwa makini, usitishe watu kwa manufaa yako. Na niliongelea Ramadhan kwa namna ya comments zinavyofunguka siyo watu kuumwa. Nakwambia tena, ukisoma kuwa makini uelewe maana usiwe unakurupuka. Wewe mtu kaandika kabisa "ukeni" wewe umekurupuka na kuandika mambo ya digestion, nikakuuliza "ukeni" digestion ipi tena? ukakaa kimya hukujibu, hili la Ramadhan nalo unakurupuka eti "hawaumwi" inahusu nini? vipi kijana una msongo wa mawazo tukusaidie?:

Saga lozi vijiko vitatu vya chakula changanya na unga wa habat-sawda nusu kijiko cha chai, koroga na maziwa fresh glass moja, uwe unakunywa kila siku kabla ya kulala itakusaidia kuupooza ubonga na kukufanya uwe makini (sharp). Hiyo ni sadaka yangu ya Eid kwako na kwa wengine.
Kinachotakika utoe Dawa au maelezo hapa sipo mahali pa kulaumiana usilete Zogo zako bado hujaelemika tu mkuu wewe ni mtu wa wapi? zomba?
 
Last edited by a moderator:

Mimi mtu wa Dar Es Salaam, Kariakoo. Hupendi kuambiwa kweli na unapokosea hukubali, nna mashaka sana uelewa na upeo wako. mpaka mtu anachoandika unshindwa kukielewa tena kiko kwenye heading! Hiyo ndivyo ulivyo ekimika?

Hata ushauri ni dawa na huo nimeshautowa huko juu (yale yale, husomi unakurupuka) na hata wewe nimekupa prescription huko juu, soma vizuri utaona nimekupa dawa ya kukuongezea ufahamu, tena nimekwambia hiyo ni sadaka yangu ya Eid kwao. Ina maana nayo pia hukuona?

Kuelimika kwako koooote si sawa hata ya asilimia 1 ya upeo wangu! hilo zingatia sana. Upeo wako ni finyu sana tena sana na una mengi ya kujifunza kutoka kwangu na kwa wengine.
 
Nimekukamata kumbe wewe ni Mzaramo? nyie watu wa Kariakoo kila kitu mnajifanya mnajuwa na kupenda kuwakosoa wenzenu wewe utakuwa mmojawapo kati ya Mpenzi wa timu ya Simba au Yanga nimeshakupata sasa siwezi kupoteza muda wangu na mtu ambaye anapenda mambo ya kushindana humu ndani ya JamiiForums asante sana kwa kunifahamisha ukweli wako kwa heri sitoweza tena kukujibu wewe mtu wa Kariakoo zomba
 
Sina sababu ya kudangaya kama ufanyavyo wewe, huo ndio mwisho wa uelewa wako, kuwa na mapenzi na simba au yanga ni dhambi? ulitaka niwe mpenzi wa Malindi au Kikwajuni?

Mimi nimekustukia uelewa wako mapema sana na ndio nikakupa dawa ikusaidie. Kila unavyoendelea kujibu kwa ufinyu, ndivyo unavyozidi kudhihirisha kuwa bado sana, itabidi uanze kuitumia hiyo dawa haraka sana na unipe jibu baada ya siku 40.
 
ZOMBA analeta Udini kwenye Matibabu.... Ndo Tatizo la Jamaa ametawaliwa na Udini kila mahali utaweka Udini.. Anaongea Vitu ambavyo havina faida.

Huo si Ugonjwa ni Hewa Kujaa kwenye Uzazi na Mara nyingi hutokea kama Mwanamke atakuwa anafanya Mapenzi huku uke upo Juu(doggstyle) au kainama

Daaaaamn.jpg
 
Ni siku za karibuni amekuwa akilalamika kuwa akiamka asubuh huwa anatoa hewa inayoambatana na sauti hvi hki ni ktu gani?

Title ya thread yako umesema KUTOA HEWA UKENI; ina maana unajamba tokea kwenye K??? Hii kweli inabidi wataalam watusaidie kama kweli unajamba kwa MBELE.....
 
Duh HII KALI KWANI USHUZ UO UNA HARUFU GANI? NA KASHESHE LAKE NI UGUMU WA KUUBANA USTOKE, DUH KT DALADALA C UTAHAIBIKA? BADILI STYLE YA KUTIWA NDG YANGU, KUNA CKU UTAKUTOKA MBELE YA WAKWE, HII KALI YA MWAKA, K.. YAKO INATOA USHUZI?? POLE
 
ZOMBA analeta Udini kwenye Matibabu.... Ndo Tatizo la Jamaa ametawaliwa na Udini kila mahali utaweka Udini.. Anaongea Vitu ambavyo havina faida.

Huo si Ugonjwa ni Hewa Kujaa kwenye Uzazi na Mara nyingi hutokea kama Mwanamke atakuwa anafanya Mapenzi huku uke upo Juu(doggstyle) au kainama

Daaaaamn.jpg

Udini uko wapi hapa, hebu nioneshe, wewe hujalala au bado upo usingizini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom