Kutoa hewa ukeni(kujamba)

kwa afya ya kizazi na afya yangu pia sipend mastail haya. tena kwa wale wanaoweka lupu kama njia ya kupanga uzazi staili hii inaweza kukuRIP kwa magonjwa na maumivu atii.

hii ni kweli kabisa dadangu wa moyoni, hzo style ni hatari kwa afya ya uzazi. hebu dr. Riwa na MziziMkavu wafunguke kuhusu hz style na afya ya uzazi!
 
Last edited by a moderator:
hii ni kweli kabisa dadangu wa moyoni, hzo style ni hatari kwa afya ya uzazi. hebu dr. Riwa na MziziMkavu wafunguke kuhusu hz style na afya ya uzazi!

yaani watu huwa hawajui ama anadharau ila kiukweli baadhi ya stail ni unfit for afya ya uzazi. namjua mtu kaugua kisa anatumia hii mbuzi kagoma kwenda yaaan kumbe tena alikuwa na lupu imebidi kufanyiwa upasuaji wa kizazi.
 
Unapojamba (farting) huna Matatizo tumboni, hiyo ni dalili kuwa digestion inafanyakazi vizuri kwani kitendo hicho huwa kinatoa gas na sumu tumboni. Unapobanwa usijizuie saana, jiachie kwa faida yako....ndiyo Caritha
MziziMkavu, muuliza swari kasema kutoa hiyo hewa ukeni, sasa kwa mujibu ya maelezo ya jibu lako inaonekana ni hewa inayotekea kwa njia ya haja kubwa..Na kama si hivyo nilivyokuelewa, swali..Je kuna kuna uhusiano gani wa tumbo la chakula kunakofanyika digestion na ukeni! Samahani kwa usumbufu mkuu..
 
Vagina fart also called 'vart' happens during coitus when air gets trapped inside the vagina and it needs to come out. About the style which causes this doggy style is common.
A vart doesnt smell unless the woman has a stinking 'love hole'. Sometimes it.can happen few minutes after coitus..How many times? It depends on the amount of air accumulated inside, others vart even 10-20 times in 1 round of coitus.
 
Hii hewa ina toka nyuma au mbele?
Kutoa hewa ukeni(kujamba)?
 
MziziMkavu hujamuelewa mtoa mada, ye anazungumzia hewa inayotoka ukeni. kama alivosema mchangiaji hapo juu mara nying inatokana na ku-do kwa style ya chuma mboga/mbuz kagoma kwenda. hzo style huwa zinasababisha hewa kuîngia uken cos mtalimbo huwa haujazi uke na kufanya hewa kupita so bda ya tendo ile hewa hutoka nje ndo mana unasikia km unajamba.
solution: acha ku-do hzo style make sometime utakiumiza kizazi, sio salama kabisa!

Hapo umenena sana, then wadada wengi hawapendi kusikia hiyo sauti. na kama ni mstaarabu atamwelewesha mpenzi wake. Japo wanaume wengi wanadhani hali hiyo ni kuonyesha manjonjo kunako tendo.
 
Dah,yaani hii JF jamani hadi raha,enhe hebu endeleeni wataalamu kuleta mautamu,maana mie siku moja nilisikia huu mlio "Pwii"nikajua umetokea kwenye hiki kitobo cha nyuma kumbe hata huku kwa mbele nako kuna kujamba mh!ngoja nifanye kwa hiyo style leo na na mtu wangu halafu kesho ntawapa feedback.:yawn:
 
Unapojamba (farting) huna Matatizo tumboni, hiyo ni dalili kuwa digestion inafanyakazi vizuri kwani kitendo hicho huwa kinatoa gas na sumu tumboni. Unapobanwa usijizuie saana, jiachie kwa faida yako....ndiyo Caritha

Wewe nawe, huwa husomi mada vizuri, kujamba ukeni ni digestion? digestion ya nini?
 
Caritha, hiyo haiitwi "kujamba" ukeni, hiyo ni K inacheka! wala usiwe na shaka ni vizuri na ni afya njema, inaonesha ipo tight na ina suction vizuri na release valve ni nzima haijapata dharba za kuisibu.

Ukitaka ushauri zaidi unaweza ni pm.
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu, muuliza swari kasema kutoa hiyo hewa ukeni, sasa kwa mujibu ya maelezo ya jibu lako inaonekana ni hewa inayotekea kwa njia ya haja kubwa..Na kama si hivyo nilivyokuelewa, swali..Je kuna kuna uhusiano gani wa tumbo la chakula kunakofanyika digestion na ukeni! Samahani kwa usumbufu mkuu..
Nilikuwa sikumuelewa vizuri samahani... Dickson Ng'hily
 
Last edited by a moderator:
kujamba baada ya tendo la mapenzi hutokea kwa baadhi ya wanawake , mara chache kwa kweli.Na mara nyingi husababishwa na msimamo kufanya Tendo la mapenzi doggystyle na kama Mwanamme anaendelea kufanya ndani na nje ya njia ya Sex ya wote, polepole. Jaribu kuepuka ngono kwa njia hii na ni lazima kutokea kujamba. Na Kujamba baada ya Tendo la mapenzi kwa Mwanamke sio maradhi.@Caritha
 
Ni siku za karibuni amekuwa akilalamika kuwa akiamka asubuh huwa anatoa hewa inayoambatana na sauti hvi hki ni ktu gani?

Akiamka bila/kabla ya kufanya sex au akiwa amesha fanya sex?. Inatakiwa kujua kipi ni kipi. Akiwa ameamka na akajamba kupitia **** bila/kabla hajafanya sex, basi atakua anatatizo na ikiwezekana aende kwa Maktari walio bobea Magonjwa/mambo ya Kike. Ila akiwa ameshadunguliwa kwa hizo style zinazo wachanganya na mkajisikia mpo peponi basi na atulie kimya kama maji ya mtungini. Tatizo mnakomoana.
 
Bora na Mzizi Mkavu amerudi na kujisahihisha, nachotaka kumwambia Caritha hii kitu si cha ajabu km alivyosema zomba na amPM bila wasiwasi. Km mnatumia Dogystyle huwa kuna mikunjo mingi ambapo mjamaa ukiingia unachanganya na hewa ya nje iliyo njiani na kuijaza ndani baada ya goli anachotakiwa ni kuchuchumaa na kujikamua na hata mpenzio anatakiwa aelewe tatizo ni yeye na na starehe pia kutoa hewa huko km mlitumia style hiyo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom