Kutoa hewa ukeni(kujamba)

Caritha

Member
Apr 5, 2012
64
13
Ni siku za karibuni amekuwa akilalamika kuwa akiamka asubuh huwa anatoa hewa inayoambatana na sauti hvi hki ni ktu gani?
 
Unapojamba (farting) huna Matatizo tumboni, hiyo ni dalili kuwa digestion inafanyakazi vizuri kwani kitendo hicho huwa kinatoa gas na sumu tumboni. Unapobanwa usijizuie saana, jiachie kwa faida yako....ndiyo Caritha
 
Last edited by a moderator:

Tofauti: kujamba ni dalili kwamba una matatizo tumboni.... yaani chakula kinaoza tumboni. Kujamba thru! ukeni hiyo kwangu ni mpya.
 
Unapojamba (farting) huna Matatizo tumboni, hiyo ni dalili kuwa digestion inafanyakazi vizuri kwani kitendo hicho huwa kinatoa gas na sumu tumboni. Unapobanwa usijizuie saana, jiachie kwa faida yako....ndiyo Caritha
Kujamba UKENI hutokea mara tu baada ya kumaliza kufanya mapenzi. Ile pumping inapeleka hewa tumbo la ukeni hivyo baada ya muda hutoka. Huu si ugonjwa ila inatokana na hiyo shughuli hasa ikichukua muda mrefu sana. Hnh.
 
Last edited by a moderator:
Unapojamba (farting) huna Matatizo tumboni, hiyo ni dalili kuwa digestion inafanyakazi vizuri kwani kitendo hicho huwa kinatoa gas na sumu tumboni. Unapobanwa usijizuie saana, jiachie kwa faida yako....ndiyo Caritha

hujaelewa mada mkuu. Tatizo ni kwamba ushuzi huo hutokea ukeni, sio nyuma! Hii si kawaida, lazima kuna tatizo.
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu hujamuelewa mtoa mada, ye anazungumzia hewa inayotoka ukeni. kama alivosema mchangiaji hapo juu mara nying inatokana na ku-do kwa style ya chuma mboga/mbuz kagoma kwenda. hzo style huwa zinasababisha hewa kuîngia uken cos mtalimbo huwa haujazi uke na kufanya hewa kupita so bda ya tendo ile hewa hutoka nje ndo mana unasikia km unajamba.
solution: acha ku-do hzo style make sometime utakiumiza kizazi, sio salama kabisa!
 
Mi mtalimbo wangu unajaza uke, kwaiyo sijawahi kuisikia hiyo, hata nikiwapiga madem chuma mboga.
 
Last edited by a moderator:
:biggrin1: we chuma mboga huimaindi inaelekea wakati most women wanazipenda ile mbaya

kwa afya ya kizazi na afya yangu pia sipend mastail haya. tena kwa wale wanaoweka lupu kama njia ya kupanga uzazi staili hii inaweza kukuRIP kwa magonjwa na maumivu atii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom