Kutoa bao nje ukiwa kwenye mechi (6x6)

"Remember that it was one sajood/sajda that Iblis (Satan) refused to make. How many sajoods/sajdas do we refuse to make everyday?" - Think about it...
 
mkuu hiyo ni moja ya njia za kale sana za kuzuia mimba kitaalamu inaitwa coitus interruptus hata kwenye kitabu cha mwanzo cha biblia imezungumziwa, hasara yake ni kwamba baadhi ya mbegu hutoka kabla ya bao lenyewe kwa hiyo kwa kiasi sio reliable, halafu inaharibu utamu.
 
Mkuu@Rose1980 Wanapenda kutembea bila viatu bila viatu katika shamba zuri la bustani.......................................... Wanalia kwakwa kwakwaa kwakwa kwakwaa katika shamba zuri la bustani................
halafu waleee wanatembea kwa maringo
 
Its ok, it is one of the commonly adviced method for birth control. Wala usichanganyikiwe kutokana na hilo. Familia nyingi ambazo hazitaki kutumia contraceptives wanatumia hii method. Just be happy man.
hata mimi natumia njia hii lakini kuna kitu ambacho ningehitaji ufumbuzi, kwa mfano baada ya mechi kuanza na nataka kupiga bao nikachomoa na kupiga bao nje; na nataka kuendelea na mechi je, nikiingia tena kwenye mechi hakuna uwezekano wa sprem kuwa zilibaki kwenye urethra na zikasababisha mimba? kwa kutofahamu huwa naamua kuikamua machine kabla sijaendelea na mechi nyingine ili kuhakikisha sprem hazibaki kwenye urethra na kusababisha mimba; je, hii ina madhara gani?
 
Personally sidhani kama ina madhara. Ukijua biologia ya fertilization pengine unaweza usihitaji hata huko kukamua. Kwa sababu kisheria ili fertilization iweze kutokea inabidi angalua kuwe na mbegu zinazozidi milioni moja. So sidhani kama yale matone yanayobakia mle yanaweza kusababisha fertilization. Kuna process ndefu kwenye fertilziation ambayo inaweza ikahitaji somo la siku nzima hapa.
 
Mkuu@Rose1980 Wanapenda kutembea bila viatu bila viatu katika shamba zuri la bustani.......................................... Wanalia kwakwa kwakwaa kwakwa kwakwaa katika shamba zuri la bustani................

Jamani mbona tunakumbushana utoto, enzi zile hadi unamaliza darasa la saba mtu hujui hata kumshika mkono binti,,,,,,,,,,,,,,,,lol!
 
hata mimi natumia njia hii lakini kuna kitu ambacho ningehitaji ufumbuzi, kwa mfano baada ya mechi kuanza na nataka kupiga bao nikachomoa na kupiga bao nje; na nataka kuendelea na mechi je, nikiingia tena kwenye mechi hakuna uwezekano wa sprem kuwa zilibaki kwenye urethra na zikasababisha mimba? kwa kutofahamu huwa naamua kuikamua machine kabla sijaendelea na mechi nyingine ili kuhakikisha sprem hazibaki kwenye urethra na kusababisha mimba; je, hii ina madhara gani?

Daaaaaaah! Usikute hapo una elimu ya kutosha tu ya darasani lakini wapi, kwenye ngono kila mtu husahau kabisa uhalisia wa mambo! Yaani kamanda umenikumbusha stori ya jamaa mmoja eti mkewe ilikuwa anagomea kuendelea na game kila jamaa alipokuwa anataka kurudia mara ya pili. Kwa ufahamu wa huyo demu wake ni kwamba bao la pili ndiyo linalomfanya mwanamke ashike mimba na sio lile la kwanza ambalo huwa linatoka fasta fasta!
 
nikiingia tena kwenye mechi hakuna uwezekano wa sprem kuwa zilibaki kwenye urethra na zikasababisha mimba?
Uwezekano wa manii zilizobaki kwenye njia ya mkojo kutunga mimba ni mkubwa sana kwasababu katone kamoja tuu kanakuwa na mamilion ya manii, huwezi jua kama zile zilizobaki kwenye njia ya mkojo ndo zenye kuhimili mikiki mikiki ya safari ndefu yakufika kwenye yai.

kwa kutofahamu huwa naamua kuikamua machine kabla sijaendelea na mechi nyingine ili kuhakikisha sprem hazibaki kwenye urethra na kusababisha mimba; je, hii ina madhara gani?

Kukamua haitasaidia kwasababu bado kuna manii nyingi tuu (mamilioni) zitakuwa zimebaki ila chakufanya inabidi uende msalani ukojoe. Mkojo una tindikali (uric acid) ambayo inaua manii. Manii ni tete sana, zinahitaji kutunzwa katika halifulani hivi ya alkali na kama hiyo hali itakosekana hufa mara moja. Hii ndiyo sababu kabla ya kutoa shahawa huwa kuna ute unaotoka kwanza ili kupunguza kiasi cha tindikali kilichoachwa kwenye njia ya mkojo.
 
Mkuu MziziMkavu mpe majibu ya kitaalamu huyu mwanzisha uzi, naamini utakuwa umewapa darasa wengi.
@mgodi Mkuu nimpe majibu gani wakati swali lake analoliuliza halina maana yoyote ile. Iweje ufanye mapenzi na mke wako au mpenzi wako kisha umwage nje?na huyo mpenzi wako au mke wako atakubali hivyo?Siwezi kutoa ushauri wowote ule hapa samahani.
 
Mkuu@Rose1980 Wanapenda kutembea bila viatu bila viatu katika shamba zuri la bustani.......................................... Wanalia kwakwa kwakwaa kwakwa kwakwaa katika shamba zuri la bustani................

mkuu usingeumalizia huu wimbo!ungeniachia na mm nimalizie kale ka kibwagizo: Wanalia kwakwa kwakwaa kwakwa kwakwaa katika shamba zuri la bustani................
 
Nawashukuru wale wote waliotoa ushauri na maoni yao juu ya uzi wangu. Uzi huu niliuandika hapa JF Doctor nikijua kwamba nitapata ushauri wa kitaalamu. Lakini kuna wengine wanaona ni kama mpumbavu ingawa inawezekana ikawa kweli kadiri yao. Ila lengo langu lilikuwa kujua madhara yatokanayo ni kitu kama hicho na pia kuwasaidia wengine ambao walikuwa au hawajui au walikuwa wanahitaji msaada zaidi iliwafanikishe uzazi wao wa mpango. Unaweza tumia psi lakini je, madhara ya psi ni yepi? Unaweza kufuata kalenda lakini muda mwingine siku zinabadilika au unawezakuwa na mzuka siku ambayo ni ya mimba. Swali daima ahili lakijinga ila majibu yanawezakuwa yakijinga. Kwasababu anayeuliza swali anahitaji kujua ila anayejibu akiona anauliza ujinga labda kwasababu yeye anajua, basi yeye(anayejibu) ndiye mjinga.
 
Madhara kiafya bali itakupunguzia starehe uipatayo wakati wa ejaculation ukiwa hujachomoa penis kwa mpenzi wako.
 
Back
Top Bottom