Kutikisa makalio sawa na kuacha kitovu na maziwa nje mbona hamsemi?

mchina yuko kazini lakini huku mbona wao wachina hawatumii huo ni ulimbukeni tu wa dada zetu
 
"OLE WAKE AMTIAYE MWENZAKE DHAMBINI DAMU YAKE IPO MIKONONÍ MWAKE"
Ukweli wanawake mnanikera sana siku hizi mnavaa ovyo sana na kwa wanawake wenye hekima hata siku moja hawezi kuacha mwili wake hivyo ni kujidhalilisha Ukweli mimi ni MKRISTU NA MKE WANGU ANAVAA BAIBUI/IJABU/NINJA Nawaheshimu sana wanaovaa baibui, ninja au ijabu
 
Wadau nimevumilia tabia kwa muda mrefu tabia hii ya wakina dada ya kutikisa makalio pale waonapo wanaume wengi tumekaa,saa nauliza lengo ni kututia hamasa au tuone maumbile yao.?

Hivi huwa wanatikisa au huwa yanatikisika yenyewe bila mhusika kulazimisha? Mimi nadhani ungetofautisha wale wanaotikisa kwa makusudi ambao wengi wao huwa hawajajaaliwa sana kwenye hiyo idara, na wale ambao hawana jinsi ya kuyazuia yasitikisike kwa maana kuwa wamejaaliwa.
 
Aha aha...wengne wame2mia mchina na kalio moja limekuwa kubwa zaidi ya jingine.

Hahahahahaaaaaaaaaaaa! udhalilishaji huo sasa jamani. Kuna mtu kaongelea jf na kulinganisha na mmea, mkaja juu, hapo kwenye maongezi ya katikati ya mwili, aaaaaaaaaah kimya wote mmekuwa kitu kimoja, mweee!
 
Back
Top Bottom