Kutikisa makalio sawa na kuacha kitovu na maziwa nje mbona hamsemi?

Hivi mtu akikuonyesha ndo kakulazimisha twende??Punguzeni tamaa....macho mbele mbele kama tochi!!!

Lakini kwanini mwanamke uonyeshe maziwa yako nje? kila mtu anayaona hadi mdogo wako wa kiume? loooo, hadi majitu ya ajabuajabu tu yanajua jinsi maziwa yako yalivyo? yalitakiwa yawe spesho kwa umpendae tuu sio kila mtu anakuchungulia tuu. aibu kwa mwanamke anayejiamini na kujiheshimu.
 
Mimi napenda mtuonyeshe zaidi. Yaani siyo tu matiti, kutikisa makalio, kitovu na mapaja. yaani naenjoy sana. Nawashangaa wanaume wasiopenda. Na mara nyingi huwa nafika kileleni kwa kuangalia tu kwa makini. Nikirudi hme kwa mamsup nakuwa nimeshashiba. nalala tu

Hiyo ndoa sasa, iko mashakani.
 
kila mtu anayaona hadi mdogo wako wa kiume? loooo, hadi majitu ya ajabuajabu tu yanajua jinsi maziwa yako yalivyo? yalitakiwa yawe spesho kwa umpendae tuu sio kila mtu anakuchungulia tuu. aibu kwa mwanamke anayejiamini na kujiheshimu.

Kila mtu ana uamuzi juu ya nini afanye na kile kilicho chake!Kama mtu anataka kuonyesha mwili wake mwache aonyeshe!Sio mimi wala wewe anaeweza kumwambia mtu hajiamini au hajiheshimu kisa hafanyi vile utakavyo!
 
Tembeeni uchi kabisa, maana kama huko kujiachia hakuta leta matarajio mnayoyatarajia basi hamna budi kutembea uchi kabisa tuone vizuri
 
Hehe na bado!Kila siku sketi zinafupishwa zaidi..suruali zinabanwa zaidi..top zinabanwa,zinafupishwa chini na kushushwa kifuani zaidi !Anzeni na nyie kututega basi!




Sisi mbona siku nyingi tu tunawatega na mnajileta wenyewe au bado hamjaona mitego yetu?Sisi mitego yetu ni Noti tu mama.......
 
Jamani tuongelee yote siyo makalio tu. Akina dada wamebuni vivutio vingi zaidi ya kutikisa makalio. Angalia wanavyoacha vitovu waziwazi na robo tatu ya maziwa yanakuwa nje. Kweli wanaume tutapona?

Na ukiongeza udhaifu wangu mkubwa ni maziwa duh,kufa hatufi ila cha moto tutakiona
 
Mm napenda kuanika nyonyo zangu lakini bra za kuyaseti zinaumiza yaani ikifika jioni lzm nitumie dawa za kupunguza maumivu . Lkn raha kuyaacha yapunge hewa
 
Mm napenda kuanika nyonyo zangu lakini bra za kuyaseti zinaumiza yaani ikifika jioni lzm nitumie dawa za kupunguza maumivu . Lkn raha kuyaacha yapunge hewa

Wakati unapunga upepo wengine suruali hazitoshi, zinabana kana kwamba fundi alipunguza kipimo! Zingine zinalowana kabisa. Jamani starehe zenu zinatutesa wenzenu! Acheni jamani mtuokoe!
 
Anikeni tu nyonyo zenu haina shida yoyote maana mnatupa uwanja wa kuchagua ipi ni poa!
 
Back
Top Bottom