Kutengeneza id

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
250
Habari wakuu!

Wadau nimepata dili la kutengeneza vitambulisho na software niliyonayo ni MS Publisher,
Je naweza print IDs za watu tofauti ktk sheet moja kwa kutumia software hiyo?
au kuna softwar gani inaweza nsaidia?

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom