Kutendwa mara ya kwanza kunauma zaidi...

...naam, naam...ila wengine au mimi labda nimejaaliwa roho ya ubishi...hata nitendwe vipi bado nakaji reserve ka kumpenda mwingine...maisha yenyewe mafupi haya, acha tu nitupe karata yangu kumpenda nimpendae,...

...ikitokezea siku naye akanitenda sitaona ajabu sana...maana naamini kabisaa hataweza nitenda kama huyo aliyepita, labda anitoe roho yangu...

Mbu kupenda raha..... Hivo nimekupata..... Yaani people just don't know what they miss...... Hasa ukipendwa nawe, hata ikiwa brief it is worth it!!!
 
...naam, naam...ila wengine au mimi labda nimejaaliwa roho ya ubishi...hata nitendwe vipi bado nakaji reserve ka kumpenda mwingine...maisha yenyewe mafupi haya, acha tu nitupe karata yangu kumpenda nimpendae,...

...ikitokezea siku naye akanitenda
sitaona ajabu sana...maana naamini kabisaa hataweza nitenda kama huyo aliyepita, labda anitoe roho yangu...[labda hapa nitakubaliana nawe---less painful- heartbreak ikishazoeleka japo i doubt!]

Ahsante mkuu kwa kunielewa...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mbu kupenda raha..... Hivo nimekupata..... Yaani people just don't know what they miss...... Hasa ukipendwa nawe, hata ikiwa brief it is worth it!!!

Labda niwalaunu wanasayansi AshaDii, maana pamoja na juhudi zao zote hawajawahi kutengeneza kipima-upendo. Kingekuwepo ambacho naweka kwapani mwa mwenzangu kama kipima-joto, then nasoma degrees, ingekuwa safi sana. lakini kwa bahati mbaya binadamu kaumbiwa na moyo wa maigizo, leo mweupe kesho mwekundu, kesho kutwa samawati...
 
Hapana Tuko... Kuna vitu ambavo vyahitaji kipimo kujua Ukweli... lakini sio katika Mapenzi.... Mapenzi hutujenga kwa mambo mengi saana, yaweza kukumaliza kabisa... yaweza kuku rejuvinate... yaweza kukuzeesha ama ukasikia uko young tena... yaweza kukufanya mambo mengi saana for the simple reason kua Umependa na pia labda umehisi kupendwa..... Ile the excitement... anticipation.... euphoria.... na intensive feelings zoote wasikia na ukikaa ukajiuliza vizuri ama uambiwe apa kusema the other is feeling the same way; deep down you know yeye yaweza kua less but it does not matter!!
 
na kuwa mature ndio unatakiwa u fall in love more carefully... sio kichwa, na kiwiliwili, na mikono na miguu...

....nakubaliana nawe hapa, binafsi mimi na mwenzangu tumejijengea 'an open discussion' ya lolote lile....inatusaidia sana
kuwekana kwenye effective communication na better understandings...lakini binadamu sie, kasoro za hapa na pale hazikosekani...kuzi accomodate differences ndio maturity yenyewe hiyo, au sio?...we are not 100% perfect

Mbu kupenda raha..... Hivo nimekupata..... Yaani people just don't know what they miss...... Hasa ukipendwa nawe, hata ikiwa brief it is worth it!!!

...acha tu....watu hawajui ni kwa jinsi gani wana miss haya mambo,
binafsi sijutii kumpenda ninayempenda sasa,...sijutii kabisaaa....na hata akinitenda,
i had the best time with her.

Ahsante mkuu kwa kunielewa...

...lol,...haya bana, umenikumbushia machungu mpaka nimekukubalia usemi wako...
poa lakini...
 
Hapana Tuko... Kuna vitu ambavo vyahitaji kipimo kujua Ukweli... lakini sio katika Mapenzi.... Mapenzi hutujenga kwa mambo mengi saana, yaweza kukumaliza kabisa... yaweza kuku rejuvinate... yaweza kukuzeesha ama ukasikia uko young tena... yaweza kukufanya mambo mengi saana for the simple reason kua Umependa na pia labda umehisi kupendwa..... Ile the excitement... anticipation.... euphoria.... na intensive feelings zoote wasikia na ukikaa ukajiuliza vizuri ama uambiwe apa kusema the other is feeling the same way; deep down you know yeye yaweza kua less but it does not matter!!

AshaDii nakubaliana sna na maneno yako, hasa observation uliyotoa (blue), lakini conclusion yake mama nimeihofia sana... Hivi huajwahi kuona watu wamajiua, au kufeli masoma, au kufukuzwa kazi, au kuwa kilema, au kuishia jela, au kunyongwa, au, au, au au x 1000 kwa sababu tu hawakuwa wamejijengea immunity na hiyo hali ya "yaweza yeye kuwa less"?!!!
 
...lol,...haya bana, umenikumbushia machungu mpaka nimekukubalia usemi wako...
poa lakini...

Pole mkuu, haikuwa lengo langu kukumbusha machungu, lakini nakumbuka niliwahi kumuuliza mwalimu wangu wangu wa historia ni kwa nini tunasoma haya mambo ya kuteswa babu zetu wakati yameshapita, akanijibu, kwa kujua tulikotoka, tunaweza kubashiri, na kujiandaa kwa kule tuendako...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
AshaDii nakubaliana sna na maneno yako, hasa observation uliyotoa (blue), lakini conclusion yake mama nimeihofia sana... Hivi huajwahi kuona watu wamajiua, au kufeli masoma, au kufukuzwa kazi, au kuwa kilema, au kuishia jela, au kunyongwa, au, au, au au x 1000 kwa sababu tu hawakuwa wamejijengea immunity na hiyo hali ya "yaweza yeye kuwa less"?!!!

To fall stupidily in love over and over again when young is understandable....
BUT falling stupidily in love over and over again when Mature is not Understandable.....
 
Ahsante kwa kunielewa mkuu...
 
Nikweli mkuu, ukishatendwa next time unakuwa makini na unakuwa umejiandaa kwa chochote.
 
This could be true; sababu ni kuwa hata ukimsamehe alokutenda mapenzi yanapungua kwa kiasi fulani. Kwa hiyo akirudia kukutenda waweza usishtuke kwani kiwango cha penzi kinakuwa kimepungua na the more you love the more it hurts. Nakubali kuwa mara ya kwanza inauma mara nyingine waweza hata usishtuke.

True that u get used to it
 
Mi naona nishazeeka sijui nilitendwa mara moja tu maishani mwangu, toka hapo wala sishtuki yaani ukishaanza kuleta za kuleta sina muda wa kukufikiria mara mbili mbili.

Amini usiamina Maty... unakua bado hujapenda... believe me you....
 
Good gal, ufikirie mara mbili mbili ya nini Maty na watu wa Mungu wako wengi hivyo..lol

Nimekumiss lkn!
 
Amini usiamina Maty... unakua bado hujapenda... believe me you....

AD nilivyomwelewa maty anakuwa amependa lkn kwa kuwa alishapata jeraha anakuwa sensitive zaidi hivyo akiona dalili za hatari anachukua tahadhari mapema kabla haijawa mbaya zaidi...
 
This is fact. The more you get used to "kutendwa", the less painful it becomes...
Hiyo ni kwa sababu automatically utakuwa umekwisha adjust expectations zako....!
Lakini take note always that; better to expect good, and getting better, than expecting the best, but getting the better....!
 
AD nilivyomwelewa maty anakuwa amependa lkn kwa kuwa alishapata jeraha anakuwa sensitive zaidi hivyo akiona dalili za hatari anachukua tahadhari mapema kabla haijawa mbaya zaidi...

Wise lady nilikua sijampata vizuri.... sasa nimeelewa... Thanx.
 
kama ulipenda kwa dhati, haijalishi ni mara ya kwanza au ya kumi....inauma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom