Kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na wakati umeolewa; ni tamaa au umalaya?

daaah aiseee ngoja natuma sasa hv

Haya tuma fasta ! Nafasi ni chache , watumaji ni wengi,
Na kwa ziada , hata ukitaka mambo yako yakuendee shega unantumia Mbuzi mweusi , Mayai mawili ya Bundi , Nazi 7 , uone mambo yatakavyokunyokea !
 
what about ukioa tayarii na una mke?? kibusitani kinaruhusiwa??
well ni vyoote tu tamaa na umalaya kwa wote ke na me!
hehehe wengine hobbie mfano ODM!
 
kuna mambo mengi sana katika ndoa watu huwa wanakurupuka tu na kuoa au kuolewa wakishaanza maisha ya ndoa wanakuta mambo tofauti kabisa hapo n do kama mtu una moyo mdogo ndo unaanza kutafuta vidumu mara hiki mara kile ndomwisho wa siku mambo yanaharibika,,,,majumuisho ndoa ni kitu kingine kuishi maisha ya ndoa ni kitu kingine,watch out,babu
 
Hela ndo sh ngapi? Usije ukawa unamwaga coins, zile sio hela babaake! Kalipe show room prado kipisi kabla sijaja kuongea na wewe, nakuinbox majina yangu, adress yangu na TIN yangu kwa ajili ya kadi)

your wish is my comand darling, fanya fasta hiyo adress . Prado sio shida kwa bucho hata chembe. Na Shoping unataka wapi swty ?
 
kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha mwanamke kutembea na manaume zaidi ya mmoja.Kikubwa ni ufanisi wa mwanaume aliye nae.Si hivo tu pia maelewano ndani ya ndoa yanaweza kupelekea mwana ndoa kumalizia haja zake nje.
 
Kikubwa ni ufanisi wa mwanaume aliye nae.Si hivo tu pia maelewano ndani ya ndoa yanaweza kupelekea mwana ndoa kumalizia haja zake nje.

kingine ni 'k' kuwa na muwasho usio wa kawaida unaohiitaji mkuno all the time teh teh teh..
 
Hela ndo sh ngapi? Usije ukawa unamwaga coins, zile sio hela babaake! Kalipe show room prado kipisi kabla sijaja kuongea na wewe, nakuinbox majina yangu, adress yangu na TIN yangu kwa ajili ya kadi)


sawa King'asti nakuona jinsi unavyorindima tu.........................

haijalishi lakini, uzuri wenu mnajua kweli kuhitaji vilivyo vizuri,

lakini pia mnahitaji mjue kurudisha fadhila, wengi wenu hata penzi mnalotoa halilingani na gharama iliyotumika kuwahudumia,

unakuja kujuta hata kwanini ulihudumia yote hayo..................huduma mbofumbofu tu kwa bed..........

hakyanani unachapa lapa fasta kwa wife ukiwa mpole kabisa............................


ukiwa mroho, usiwe mchoyo......................
 
ndo tatizo la kudusa kwa majirani, unagundua mboga yao imekolea nazi kuliko ya kwenu!
unadhani wazazi wako walivyokuwa wanakataza kabisa kula kwa watu walikuwa hawana akili?
hivi kibamia si alikuwa nacho hata kabla ya kuoana, au ni ugunduzi mpya?
 
Back
Top Bottom