Kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na wakati umeolewa; ni tamaa au umalaya?

Ubinaadamu kitu cha ajabu sana. Sometimes we do not learn to control our body desires and drives. Ndio maana mtu anaweza akajabadilika kabisa with time mpaka unashangaa inakuwaje.
 
ukiolewa tayari una mume je? Inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.

baadhi ya sababu zinazomfanya mwanamke awe na kibustani.
1. Kutoridhishwa kimapenzi na mumewe
2. Kutojaliwa, mwanamke anapenda kubembelezwa, kusifiwa na kuonywa kwa staha siyo kutukanwa.
3. Kutothaminiwa na kuheshimiwa.
4. Kutopata mahitaji yake.
5. Kuolewa na mume ambaye si wa chaguo lake.
6. Tabia ya mtu.

Kuna wanawake wanaoweza kuvumilia kero hizo, lakini waliowengi huona bora ajitafutie kidumu/kibustani kitakachoweza kumtimizia na kumburudisha moyo wake.
 
QUOTE=Smile;3366875]nadhani na hilo la wanaume kutowatosheleza wake zao linachangia.si unajua wanaume wa siku hz nasikia hadi kikombe?
Hao sio wanaume bana ni wavulana hao hawajafikia kwenye uanaume
Mwanaume kazi yake ni kuhakikisha kazi anaifanya vyema wakati wote wa mwaka.[/QUOTE]

pole na kazi mkuu
kama mwanzo walianza kwa kuridhishana na mashamushamu kwa nini asiporidhika wasijadili ??? je kukimbilia kidumu ndo suruhisho??
 
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.

Huo ni umalaya au kutoridhika na ulichonacho na tabia hii iko pande zote.ila ni ujinga mkubwa kwakua kwanza unajiongezea mzigo kwakutafuta kilekile ulichokiacha ndani.
 
baadhi ya sababu zinazomfanya mwanamke awe na kibustani.
1. Kutoridhishwa kimapenzi na mumewe (mbona mwanzo aliridhika???)
2. Kutojaliwa, mwanamke anapenda kubembelezwa, kusifiwa na kuonywa kwa staha siyo kutukanwa. (je yeye anamjali mume?)
3. Kutothaminiwa na kuheshimiwa.(ukijiheshimu utaheshimuwa .. kwa nini ulilie heshima wakati hujiheshimu?)
4. Kutopata mahitaji yake. (( mahitaji si kwa upande mmoja)
5. Kuolewa na mume ambaye si wa chaguo lake.( kabla ya kuolewa kuna hatua mnapitia je hukujua kama si chaguo??)
6. Tabia ya mtu.

Kuna wanawake wanaoweza kuvumilia kero hizo, lakini waliowengi huona bora ajitafutie kidumu/kibustani kitakachoweza kumtimizia na kumburudisha moyo wake.

kwenye wekundu hapo mhh
wengi huamua kudai anavumilia kero kwa vile hayuko tayari kuzisema au kumshirikisha mwenzie
 
Hivi ukiwa umeolewa na una kidumu kimoja TU ni halali?
Smile mdogo wangu, nna mzabuni mmoja potential, hahesabii hela mfukoni kama Bucho ila nachaji 17% kama crdb. Tuonane basi

mbona bucho anamwaga mahela bila shida . Mjaribu bucho ule mema ya nchi.
 
Huo ni umalaya au kutoridhika na ulichonacho na tabia hii iko pande zote.ila ni ujinga mkubwa kwakua kwanza unajiongezea mzigo kwakutafuta kilekile ulichokiacha ndani.

Wewe unaweza kula kibua kila siku pasipo kubadilisha?
 
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.

Huu ni umalaya uliokithiri ambao wala hauna justfication yoyote,
Kwan mlipendana na kuamua kuona,kushindwa kutulia ndani ya ndoa ni umalaya!
Hili si kwa mwanamke pekee bali kwa pande zote mbili wanaume na wanawake,
 
QUOTE=BPM;3367038]Hao sio wanaume bana ni wavulana hao hawajafikia kwenye uanaume
Mwanaume kazi yake ni kuhakikisha kazi anaifanya vyema wakati wote wa mwaka.[/QUOTE]

pole na kazi mkuu
kama mwanzo walianza kwa kuridhishana na mashamushamu kwa nini asiporidhika wasijadili ??? je kukimbilia kidumu ndo suruhisho??[/QUOTE]

Hawa ni wale tatizo likitokea wanakimbilia nje badala ya kutafuta njia ya kusuluhisha zaidi au kuliongelea h
 
kwenye wekundu hapo mhh
wengi huamua kudai anavumilia kero kwa vile hayuko tayari kuzisema au kumshirikisha mwenzie

na wakati mwingine anazitumia hizi kero kama mtaji..............akifikiri anaziba mapungufu kumbe ndio kujikomoa huko!
 
Jamani tusiwalaumu sana wanawake ,wanaume wa siku hizi wakishaoa wanasahau wajibu wao kabisa.

  • Huwa wanajisahau kabisa kuwa wake zao nao wanawahitaji ,unakuta kila siku mwanaume kuingia nyumbani ni saa nane au saa tisa usiku na hapo kalewa mbaya akifika tu anajirusha kitandani anaanza kukoroma.
  • Unakuta mwanaume ana mtu mwingine anatembea naya nje ya ndoa kule atafanya kila mautundu ,romance za kila sector atafanya ,na anahakikisha huyo hawara wake anaridhika kabisa,akirudi kwa waifu hamna kuandaliwa wala nini kinafanywa cha chapchap karidhika hajaridhika atajua mwenyewe ,yy akishabanduka hapo anakoroma kwa kwenda mbele mwanamke wa watu anabakia kuhesabu misumari ya kwenye dari!

Tuweni wa kweli jamani huyu mwanamke naye ni binadamu sio malaika na yeye pia anafeelings kama wengine tu,akatokea mtu akamapproach ni vigumu kumkatalia ,na hapo unakuta kesha fanya kila jitihada mume wake ajirekebisha lakini wapi!
 
Wape wapee vidonge vyaooo, wakimeza wakitema shauri yaooo!
On a serious note: hivi mtu ukiweka efforts za nyumba ndogo kwenye nyumba kubwa yako si mambo yatakuwa bam bam?
Jamani tusiwalaumu sana wanawake ,wanaume wa siku hizi wakishaoa wanasahau wajibu wao kabisa.

  • Huwa wanajisahau kabisa kuwa wake zao nao wanawahitaji ,unakuta kila siku mwanaume kuingia nyumbani ni saa nane au saa tisa usiku na hapo kalewa mbaya akifika tu anajirusha kitandani anaanza kukoroma.
  • Unakuta mwanaume ana mtu mwingine anatembea naya nje ya ndoa kule atafanya kila mautundu ,romance za kila sector atafanya ,na anahakikisha huyo hawara wake anaridhika kabisa,akirudi kwa waifu hamna kuandaliwa wala nini kinafanywa cha chapchap karidhika hajaridhika atajua mwenyewe ,yy akishabanduka hapo anakoroma kwa kwenda mbele mwanamke wa watu anabakia kuhesabu misumari ya kwenye dari!

Tuweni wa kweli jamani huyu mwanamke naye ni binadamu sio malaika na yeye pia anafeelings kama wengine tu,akatokea mtu akamapproach ni vigumu kumkatalia ,na hapo unakuta kesha fanya kila jitihada mume wake ajirekebisha lakini wapi!
 
Mdogo wangu kweli wewe hujui business, hukusoma hata bookkeeping? Hayo maswali unatakiwa umuulize ukiwa Hyatt over a cup of coffee. Afu unamu-evaluate (kama anaendesha corolla tupa kulee heheehehe, nimekunong'oneza ujue)
huyo term zake zikoje? anaprovide nini na nini?
 
Back
Top Bottom