Kutembea na housegirl au kumtamani housegirl ni uchizi

hujui wewe housegirl ni jina tu hata demu wako anaweza kuwa housegirl mm nawapenda sana hasa wakishaanza kupendeza sitoki ndani tena ukitaka kufaidi unagonga bila kondom kumuenzi mwalimu!

ukinyata room kwake unavaa soksi za punda milia hata usikiki wakat huo ameshandaa mazngra matamu,lol
 
Labda kwa umerudi nyumbani uko bwaksiiii ndo pepo la ngono likuanze hv unaanzaje kumtamani mtu full kunuka kikwapa,vitunguu,ana masizi ya mkaa,inataka moyo wa kibazazi kweli kumtamani duh haaingii akilini etiiii housegirl duh!!
That's the wrong image you have about the housegirl. Labda wa kwako ndo yuko hivo.
Such a woman you just described hata akiwa mkeo atakuwa hivo tu.
mahaugeli wengine wako hivi
4117816-young-african-woman-casual-dressed-isolated-on-white.jpg
 
Hakuna ajabu kutembea na HG maana ni km mwanamke mwingine yeyote. Wake zetu inawabidi wasibweteke na kuwaacha HG kufanya kila kaz ht za kuwahudumia waume zao.
 
Hata nje ya ndoa huruhusiwi, ni sexual harassement sababu consent yake inatoka katika circumstances zisizo wazi: amekubali sababu anataka au sababu anakuogopa boss wake?

kuna tofauti gan mfanyakaz kutembea na bos w? Mbona maofisin yanatokea sana lkn wa2 kimya!!
 
Mna uchokozi na mzee mahita nyie....shauri zenu! Msije sema hamkuonywa.
 
Bila hg mi mapenzi nisingeyafahamu alikuwa ndani kanawiri ile mbaya na mm ndo ujana huo ulikwa ukigonga hodi.. yaani we acha tu unakuwa kama umeoa usiku mnaserebuka weee tena kwa wazazi anaonekana mtiifu kwani alikuwa achezi mbali na home kazi anapiga kwa bidii cz kila kitu anapata ndani kwa ndani
 
Kumbe hg ni mtaji hata kwa serengeti boys
 
mimi kuna hg nyumbani mtoto wa mjini alikuwa amefungasha ni balaa, wazazi wakiwepo alikuwa mtiifu ananiita kaka (jamani!), nikikaa sitting room na yeye anakaa kwakuwa mimi si muongeaji basi alikuwa analeta vituko sana mara aelekezee makalio kwangu mara nikimwita anaitika na kulembua macho kama yuo ktk 6x6... nilimpuuza sana na kujifanya kama sioni kwa miezi kadhaa na yeye akizidi mitego mara avae kanga moja mara vile.. daaaa

sasa kuna kipindi nilikorofishana na gf wangu siku hiyo nimeenda kulewa nimerudi home wazee hawapo na mara umeme ukakatika.. tumebaki wawili siiting room, nikajikuta namwita akaitika kiuchokozi, nikamwambia njoo ukae hapa karibu na coach langu akaja.. tukasogea chumbani kidogo, mtoto ni mtundu na mpaka gf wangu nikamwacha.

wazee tuwe waangalifu sana na hawa hg wa sasa wengi ndio mtindo wao wanalijua jiji zaidi ya mkeo kuweka mitego mikali kutafuta njia ya kujiongezea kipato zaidi
 
Kwahiyo house girl haolewi?

Housegirl ni kazi kama wewe unavyoenda kazini kwako

Sioni kwanini mtu aache kutembea naye kama anafanya kazi zake vizuri, na anafaa kufanya na mambo mengine pia
We mlkali lol!
Ina maaana HG wako akifanya kazi nzuri badala ya kumpandisha mshaharaa wewe uttembea naye?
Kutembea na HG ndio utambuzi wa kiwango cha kazi ?
 
We mlkali lol!
Ina maaana HG wako akifanya kazi nzuri badala ya kumpandisha mshaharaa wewe uttembea naye?
Kutembea na HG ndio utambuzi wa kiwango cha kazi ?

Anaweza kupanda daraja zote..mshahara na mapenzi

Mapenzi ni hiari siyo lazima kama mnakubaliana watu wazima..

Sioni ubaya wa HG kutotembea na mtu yeyote akiwemo mimi...

HG ni kazi kama kazi zingine ..kama naweza kutembea na officemate why not HG?
 
hujui wewe housegirl ni jina tu hata demu wako anaweza kuwa housegirl mm nawapenda sana hasa wakishaanza kupendeza sitoki ndani tena ukitaka kufaidi unagonga bila kondom kumuenzi mwalimu!
duh Bushman we noma.
 
jamani eh, mshkaji katoa habari kimini.... labda ana ujumbe wake sema haujafika alivyotegemea
 
Labda kwa umerudi nyumbani uko bwaksiiii ndo pepo la ngono likuanze hv unaanzaje kumtamani mtu full kunuka kikwapa,vitunguu,ana masizi ya mkaa,inataka moyo wa kibazazi kweli kumtamani duh haaingii akilini etiiii housegirl duh!!

He Mkuu, Kuna Nyumba Full Gas Cooker, hawapiki dagaa na full time house girl yupo smart, hapo vp?
 
That's the wrong image you have about the housegirl. Labda wa kwako ndo yuko hivo.
Such a woman you just described hata akiwa mkeo atakuwa hivo tu.
mahaugeli wengine wako hivi
4117816-young-african-woman-casual-dressed-isolated-on-white.jpg

duh, huyu wa ukweli kinoma. Mimi ningetoka naye.
 
Back
Top Bottom